Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi sikupingi wala kukataa niko 50/50 mpaka nione mwisho wake.
Ila mambo yakienda kama maono yako basi vema ila yakiwa tofauti itakuwa sio poa.huu uzi utaishi muda mrefu sana hapa mpaka tuone muafaka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na tulishasahau hili khaWakuu,
Mwaka 1973 Spiro Agnew alijiuzulu nafasi ya makamu wa Rais wa Marekani kufuatia skendo ya rushwa na matumizi mabaya ya ofisi ikiwemo kukwepa kodi alikofanya wakati ni governor wa Maryland. Rais Richard Nixon akamteua Gerald Ford kuchukua nafasi yake.
August ya mwaka 1974, Rais Richard Nixon alijiuzulu kufuatia skendo ya Watergate. Hapo ikabidi makamu wa Rais, bwana Gerald Ford aapishwe kuwa Rais wa Marekani.
Unaweza kuona jinsi Ford alivyokuwa na bahati. Hakuwahi kugombea umakamu wa Rais au Urais wenyewe lakini alishika vyeo vyote hivyo kwa nyakati tofauti zinazofuatana.
Nimeandika hii habari kuonyesha yanayokuja soon.
Endelea kusubiri!
Na komenti zenu huwenda zikafutwa!Kuna uzi wake juzi hapa umefutwa.
Nimegundua wagalatia mnamchukia Rais, sahauni kupewa mamlaka , forevermoreAtaondoka tu ila uzuri nasikia 2025 hata chukua kiti ataachia wengine
Kwa utafiti upi mkuu?Nimegundua wakristo mnamchukia Rais, sahauni kupewa mamlaka
Jiwe alikuwa primitiveMnafikiri Samia hasomi huu Uzi? anausoma sana tu...SEMA wale wote "the state" amewatoa wote kwenye system na ndo maana huwezi kumsikia Tumia akili akitoa huo utabiri wake wa kijinga ...
NB:walimuweza magu Kwa Sababu ya ushamba na ugeni wa mji
Unazuga?Kwa utafiti upi mkuu?
Unadhihirisha upumbavu ambao hatujawahi kufehemu kama unao
10 May 2020Wakuu,
Mwaka 1973 Spiro Agnew alijiuzulu nafasi ya makamu wa Rais wa Marekani kufuatia skendo ya rushwa na matumizi mabaya ya ofisi ikiwemo kukwepa kodi alikofanya wakati ni governor wa Maryland. Rais Richard Nixon akamteua Gerald Ford kuchukua nafasi yake.
August ya mwaka 1974, Rais Richard Nixon alijiuzulu kufuatia skendo ya Watergate. Hapo ikabidi makamu wa Rais, bwana Gerald Ford aapishwe kuwa Rais wa Marekani.
Unaweza kuona jinsi Ford alivyokuwa na bahati. Hakuwahi kugombea umakamu wa Rais au Urais wenyewe lakini alishika vyeo vyote hivyo kwa nyakati tofauti zinazofuatana.
Nimeandika hii habari kuonyesha yanayokuja soon.
Endelea kusubiri!
Mliwaimbisha nduguze mapambio nini?Kama utaiona post yoyote toka kwa Tumia akili kuanzia tarehe ya post yako (May 12) naomba unishtue.
Basi tuyaache kama yalivyoUnazuga?
Nashukuru nimeuona.Kuna uzi wake juzi hapa umefutwa.
Kwan wameurudishaNashukuru nimeuona.
Hawawezi kuurudisha.Kwan wameurudisha
Kipindi cha nyuma posti zake zote sidhani kama hata moja ilifutwaHawawezi kuurudisha.
Huo hapo chini.Kwan wameurudisha
Aliyeelewa atufafanulieHuo hapo chini.
Wakuu
Mwaka 1779 jenerali wa Marekani, Benedict Arnold, alianza kuingia makubaliano ya usaliti na majeshi ya uingereza ili kuwasaidia kushinda vita kule Marekani.
Mkakati wake kudhoofisha ngome pale New York uligundulika na aliyekuwa handler wake upande wa uingereza meja John Andre alikamatwa na majeshi ya Marekani na kunyongwa.
Upande wa pili nikawa nimeingia ofisini kwa director nikakuta mazungumzo fulani nikahitaji ufafanuzi.
Nikauliza mbona ilisitishwa? Akajibu, "that's above your paycheck". Nikamwambia hata bado hajastaafishwa akajibu, "JAL 1 is done, 2 and 3 are next".
Nikasema mbona kitabu na fdr hamna dalili akasema stop huku akinionesha nitoke pale ofisini. Basi nikainuka na kusema nilishaaga akajibu, "taarifa zinatoka juu kuja chini".
Akabonyeza namba kwenye simu wakati namalizia kutoka nikasikia anatamka "code PJLK, next stage is ON, desert mission, original plan, over and out."
Nilisikia mlango unagongwa kumbe ni binti yangu aliyekuwa anatoka alfajiri. Hapo nikajua kumbe ilikuwa ni ndoto.
Just a few days.
theState.
Kasema just a few days, tuendelee kusubiri.Aliyeelewa atufafanulie
Wengi wangependa kuusoma huu 👍🔥Huo hapo chini.