miamia100
JF-Expert Member
- Nov 13, 2019
- 416
- 479
Ulipigwa na kitu kizito mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulipigwa na kitu kizito mkuu
Code PJLK je L= ni Laurence mafuru!!!?Huo hapo chini.
Wakuu
Mwaka 1779 jenerali wa Marekani, Benedict Arnold, alianza kuingia makubaliano ya usaliti na majeshi ya uingereza ili kuwasaidia kushinda vita kule Marekani.
Mkakati wake kudhoofisha ngome pale New York uligundulika na aliyekuwa handler wake upande wa uingereza meja John Andre alikamatwa na majeshi ya Marekani na kunyongwa.
Upande wa pili nikawa nimeingia ofisini kwa director nikakuta mazungumzo fulani nikahitaji ufafanuzi.
Nikauliza mbona ilisitishwa? Akajibu, "that's above your paycheck". Nikamwambia hata bado hajastaafishwa akajibu, "JAL 1 is done, 2 and 3 are next".
Nikasema mbona kitabu na fdr hamna dalili akasema stop huku akinionesha nitoke pale ofisini. Basi nikainuka na kusema nilishaaga akajibu, "taarifa zinatoka juu kuja chini".
Akabonyeza namba kwenye simu wakati namalizia kutoka nikasikia anatamka "code PJLK, next stage is ON, desert mission, original plan, over and out."
Nilisikia mlango unagongwa kumbe ni binti yangu aliyekuwa anatoka alfajiri. Hapo nikajua kumbe ilikuwa ni ndoto.
Just a few days.
theState.
Mama yupo mpaka 2035 inshallah, na akitoka anaingia Ridhiwani kikwete inshallah"Mama atapita tu kwa muda, yupo atakayechukua ipasavyo.
MhhMama yupo mpaka 2035 inshallah, na akitoka anaingia Ridhiwani kikwete inshallah"
Ndivyo ilivyo duniani kote!unapangiwa was kuchagua na wenye nchi yao!Bila kujali kama huu uzi ni kweli au la, ifikie mahali tusikubali wala kushabikia kupangiwa na kikundi cha watu wachache nani wa kutuongoza ilihali tunaona wanawekwa kukidhi natakwa ya tamaa zao.
Tuonyeshe kukereka na hii hali ili tuvunje hii circle inayotawala kama haki miliki yake.
Right there where you are!!!?Stay tuned, kuna mada ningeipandisha hapa ungeelewa ila sasa nilitumia id nyingine kimkakati.
Hii haikwepeke popote pale katika ulimwengu huu, kila taifa kuna circle inatawala kwa siri.Bila kujali kama huu uzi ni kweli au la, ifikie mahali tusikubali wala kushabikia kupangiwa na kikundi cha watu wachache nani wa kutuongoza ilihali tunaona wanawekwa kukidhi natakwa ya tamaa zao.
Tuonyeshe kukereka na hii hali ili tuvunje hii circle inayotawala kama haki miliki yake.
Muda bado upo bro!Huu uzi ni wa kitapeli sasa
Aliandika akiwa ndotoni labdaHuu uzi ni wa kitapeli sasa
Nani anamtapeli nani?Huu uzi ni wa kitapeli sasa
Ana hojaWakuu,
Mwaka 1973 Spiro Agnew alijiuzulu nafasi ya makamu wa Rais wa Marekani kufuatia skendo ya rushwa na matumizi mabaya ya ofisi ikiwemo kukwepa kodi alikofanya wakati ni governor wa Maryland. Rais Richard Nixon akamteua Gerald Ford kuchukua nafasi yake.
August ya mwaka 1974, Rais Richard Nixon alijiuzulu kufuatia skendo ya Watergate. Hapo ikabidi makamu wa Rais, bwana Gerald Ford aapishwe kuwa Rais wa Marekani.
Unaweza kuona jinsi Ford alivyokuwa na bahati. Hakuwahi kugombea umakamu wa Rais au Urais wenyewe lakini alishika vyeo vyote hivyo kwa nyakati tofauti zinazofuatana.
Nimeandika hii habari kuonyesha yanayokuja soon.
Endelea kusubiri!