Rais ambaye hajawahi kugombea, ilitokea Marekani, itatokea tena huku

Rais ambaye hajawahi kugombea, ilitokea Marekani, itatokea tena huku

(PJLK)
Unaingia kwanza kwenye ogani
Ustafiishaji unafanyika
unatumia ogani kuvaa taji
(if 1 is out, 3 can be 2)
4 is known;
5 can be 3.
6 inafutwa,
5 will be negotiated.
JAL 1&2 solved.
Hesabu za kusadikika.
 
Its almost 2025 tyr naona mengi uliweza kutuonyesha lkn kwass imeshindikana. Au its beyond my paycheck, hata hivyo ntaendelea kugonja unabii kutimilika
 
Wakuu,

Mwaka 1973 Spiro Agnew alijiuzulu nafasi ya makamu wa Rais wa Marekani kufuatia skendo ya rushwa na matumizi mabaya ya ofisi ikiwemo kukwepa kodi alikofanya wakati ni governor wa Maryland. Rais Richard Nixon akamteua Gerald Ford kuchukua nafasi yake.

August ya mwaka 1974, Rais Richard Nixon alijiuzulu kufuatia skendo ya Watergate. Hapo ikabidi makamu wa Rais, bwana Gerald Ford aapishwe kuwa Rais wa Marekani.

Unaweza kuona jinsi Ford alivyokuwa na bahati. Hakuwahi kugombea umakamu wa Rais au Urais wenyewe lakini alishika vyeo vyote hivyo kwa nyakati tofauti zinazofuatana.

Nimeandika hii habari kuonyesha yanayokuja soon.

Endelea kusubiri!
SSH.
 
Back
Top Bottom