Rais ambaye hajawahi kugombea, ilitokea Marekani, itatokea tena huku

Code PJLK je L= ni Laurence mafuru!!!?

Wajuvi mje huku!!!

Najiuliza tu aiseh!
 
Bila kujali kama huu uzi ni kweli au la, ifikie mahali tusikubali wala kushabikia kupangiwa na kikundi cha watu wachache nani wa kutuongoza ilihali tunaona wanawekwa kukidhi natakwa ya tamaa zao.

Tuonyeshe kukereka na hii hali ili tuvunje hii circle inayotawala kama haki miliki yake.
 
Ndivyo ilivyo duniani kote!unapangiwa was kuchagua na wenye nchi yao!
 
Stay tuned, kuna mada ningeipandisha hapa ungeelewa ila sasa nilitumia id nyingine kimkakati.
Right there where you are!!!?

Ina maana hata hapo Tunguu visiwani mpo!!?kama mlivyokua kule chato!!?
Aiseh!!?kweli right there where you are!!!
 
Hii haikwepeke popote pale katika ulimwengu huu, kila taifa kuna circle inatawala kwa siri.
 
Ana hoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…