Rais ambaye hajawahi kugombea, ilitokea Marekani, itatokea tena huku

Wakati anaingia aligombea uraisi au mgombea mwenza kwa ajili ya umakamu?
Kama comment fupi tuu hiyo hujaelewa, maana ake hata mada hujaelewa 😂

Huyo rais wa usa Gerald Ford hakuwa hata mgombea mwenza ila akaja kuwa makamu na rais bila kugombea popote.

Sasa hapo hujaelewa nini au ndo unatumia kichwa kama Mfuniko wa shingo?
 
YBWYB
 
Back
Top Bottom