Mtutuwandei
JF-Expert Member
- Jun 28, 2022
- 2,153
- 3,140
Mgombea mwenza. Kwa hivyo na yeye aligombea. Tena 2020 Samia alizunguka zaidi ya Magufuli.Hapana haujatiki bado kwa vile Samia aligombea umakamu na Magu. Deo akibahatika kabla ya 2030 utatiki sababu hajagombea umakamu wala uraisi.
Kama comment fupi tuu hiyo hujaelewa, maana ake hata mada hujaelewa 😂Wakati anaingia aligombea uraisi au mgombea mwenza kwa ajili ya umakamu?
Sijakuelewa unaungana nami Samia aligombea 2015 au unanirekebisha au kunikosoa?Mgombea mwenza. Kwa hivyo na yeye aligombea. Tena 2020 Samia alizunguka zaidi ya Magufuli.
Naungana na wewe. Samahani mimi si mwandishi mzuri.Sijakuelewa unaungana nami Samia aligombea 2015 au unanirekebisha au kunikosoa?
Au hukunielewa?
YBWYBKama comment fupi tuu hiyo hujaelewa, maana ake hata mada hujaelewa 😂
Huyo rais wa usa Gerald Ford hakuwa hata mgombea mwenza ila akaja kuwa makamu na rais bila kugombea popote.
Sasa hapo hujaelewa nini au ndo unatumia kichwa kama Mfuniko wa shingo?