wakuja town
JF-Expert Member
- Oct 26, 2020
- 898
- 1,343
Looo aisee kuna kitu ndani ya hyu mtu, ata waliokuwa wanabisha aliwaambia subirini tu mtaona wkt ukifikaHuyu Jamaa Tumia akili huwa harudi kujigamba haya mambo yakitimia, fuatilia tabiri zake utaona.
Eh bwana eeh! Dunia inatisha hiiMama atapita tu kwa muda, yupo atakayechukua ipasavyo.
Ni sahihiMama atapita tu kwa muda, yupo atakayechukua ipasavyo.
[emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44]Mkuu kuna operation imeshapewa next stage.. 'execute'.. itakuwa mixed feelings kwa wengi.
We jamaa hebu rudiWakuu,
Mwaka 1973 Spiro Agnew alijiuzulu nafasi ya makamu wa Rais wa Marekani kufuatia skendo ya rushwa na matumizi mabaya ya ofisi ikiwemo kukwepa kodi alikofanya wakati ni governor wa Maryland. Rais Richard Nixon akamteua Gerald Ford kuchukua nafasi yake.
August ya mwaka 1974, Rais Richard Nixon alijiuzulu kufuatia skendo ya Watergate. Hapo ikabidi makamu wa Rais, bwana Gerald Ford aapishwe kuwa Rais wa Marekani.
Unaweza kuona jinsi Ford alivyokuwa na bahati. Hakuwahi kugombea umakamu wa Rais au Urais wenyewe lakini alishika vyeo vyote hivyo kwa nyakati tofauti zinazofuatana.
Nimeandika hii habari kuonyesha yanayokuja soon.
Endelea kusubiri!
Na akina Tundu Lissu mamilioniSasa mmezalisha kina Magufuli zaidi ya 1000
Is it possible? Let's wait for longWakuu,
Mwaka 1973 Spiro Agnew alijiuzulu nafasi ya makamu wa Rais wa Marekani kufuatia skendo ya rushwa na matumizi mabaya ya ofisi ikiwemo kukwepa kodi alikofanya wakati ni governor wa Maryland. Rais Richard Nixon akamteua Gerald Ford kuchukua nafasi yake.
August ya mwaka 1974, Rais Richard Nixon alijiuzulu kufuatia skendo ya Watergate. Hapo ikabidi makamu wa Rais, bwana Gerald Ford aapishwe kuwa Rais wa Marekani.
Unaweza kuona jinsi Ford alivyokuwa na bahati. Hakuwahi kugombea umakamu wa Rais au Urais wenyewe lakini alishika vyeo vyote hivyo kwa nyakati tofauti zinazofuatana.
Nimeandika hii habari kuonyesha yanayokuja soon.
Endelea kusubiri!
Mbona alitoa...!Pole ya Nini Sasa wakati hawana urafiki mzuri wa kidipromasia .. marehemu yeye alitoa pongezi kwa Biden aliposhinda uchaguzi !?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyu jamaa ni director wa ile movie, kimbembe aseme waliosoma thread watapukutika hapo ndio tutajua hatujui[emoji23][emoji23][emoji23]
Acha uchawi wewe!.Wakuu,
Mwaka 1973 Spiro Agnew alijiuzulu nafasi ya makamu wa Rais wa Marekani kufuatia skendo ya rushwa na matumizi mabaya ya ofisi ikiwemo kukwepa kodi alikofanya wakati ni governor wa Maryland. Rais Richard Nixon akamteua Gerald Ford kuchukua nafasi yake.
August ya mwaka 1974, Rais Richard Nixon alijiuzulu kufuatia skendo ya Watergate. Hapo ikabidi makamu wa Rais, bwana Gerald Ford aapishwe kuwa Rais wa Marekani.
Unaweza kuona jinsi Ford alivyokuwa na bahati. Hakuwahi kugombea umakamu wa Rais au Urais wenyewe lakini alishika vyeo vyote hivyo kwa nyakati tofauti zinazofuatana.
Nimeandika hii habari kuonyesha yanayokuja soon.
Endelea kusubiri!
Ndio hivyo wanasema Ni imma, Imma mwenyewe ametoka huko nga'mboNgoja tumuweke kwenye maombi yaani hawa wanaoitwa usalama sio watu wa kuwaamini maana wanasomea nje ya nchi wanakuwa vibaraka huko huko
Pia nitafuatilia nani atakuwa VP afu niunge dot nimfuatilie alikokuwa na mchakato wa kumpata
Inaonesha hivyo aisee..Huyu Jamaa Tumia akili huwa harudi kujigamba haya mambo yakitimia, fuatilia tabiri zake utaona.
Hatari sana..Looo aisee kuna kitu ndani ya hyu mtu, ata waliokuwa wanabisha aliwaambia subirini tu mtaona wkt ukifika
Mkuu kuna operation imeshapewa next stage.. 'execute'.. itakuwa mixed feelings kwa wengi.
Alituma salaam za pongezi na pia walitangaza kwenye TVPole ya Nini Sasa wakati hawana urafiki mzuri wa kidipromasia .. marehemu yeye alitoa pongezi kwa Biden aliposhinda uchaguzi !?