Rais ambaye hajawahi kugombea, ilitokea Marekani, itatokea tena huku

Wakuu,

Mwaka 1973 Spiro Agnew alijiuzulu nafasi ya makamu wa Rais wa Marekani kufuatia skendo ya rushwa na matumizi mabaya ya ofisi ikiwemo kukwepa kodi alikofanya wakati ni governor wa Maryland. Rais Richard Nixon akamteua Gerald Ford kuchukua nafasi yake.

August ya mwaka 1974, Rais Richard Nixon alijiuzulu kufuatia skendo ya Watergate. Hapo ikabidi makamu wa Rais, bwana Gerald Ford aapishwe kuwa Rais wa Marekani.

Unaweza kuona jinsi Ford alivyokuwa na bahati. Hakuwahi kugombea umakamu wa Rais au Urais wenyewe lakini alishika vyeo vyote hivyo kwa nyakati tofauti zinazofuatana.

Nimeandika hii habari kuonyesha yanayokuja soon.

Endelea kusubiri!
We jamaa hebu rudi
 
Is it possible? Let's wait for long
 
Acha uchawi wewe!.
 
Ngoja tumuweke kwenye maombi yaani hawa wanaoitwa usalama sio watu wa kuwaamini maana wanasomea nje ya nchi wanakuwa vibaraka huko huko

Pia nitafuatilia nani atakuwa VP afu niunge dot nimfuatilie alikokuwa na mchakato wa kumpata
Ndio hivyo wanasema Ni imma, Imma mwenyewe ametoka huko nga'mbo
 
Back
Top Bottom