Rais amekataa bei ya umeme isishuke kuelekea uzinduzi wa Bwawa la Nyerere

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
11,190
Reaction score
24,620
Mlokua mnasubiri bei za umeme zishuke poleni...

Mnaosubiri eti hiyo siku ya uzinduzi atatangaza bei ya umeme kushuka kuanzia September mosi poleni

Hii habari nina uhakika nayo asilimia 100%

Niliwaambia hatupendi sisi watu wa Upande huu mkabisha ingekua ni kule kwao angetangaza gharama ya units ishuke

Kuelekea uzinduzi wa bwawa la Nyerere miongoni mwa ajenda na sababu za ujenzi ni gharama za umeme kushuka zaidi gharama ya units
Namheshimu Engineer mramba ni mtendaji nzuri hapo Tanesco lakini hili la kumshawishi Rais umeme usishuke bei sidhani kama umewatendea haki Watanzania.
Anatumia kigezo cha bei za nchi jirani akisema eti sisi bado ni nafuu zaidi na pia akisema eti lazima gharama za mradi zirudi..

Na rais naye amekubali kuwa hakuna tena gharama ya umeme kushuka baada ya bwawa kukamilika, hapo ndo mtajua tulivyo na viongozi wabinafsi nchi hii....

Mramba anadai umeme hauwezi kushuka chini ya sasa kwani eti kitakwimu kwa East africa sisi bado bei ipo chini anasahau lengo la kujengwa kwa bwawa hili ni ili wananchi wote wapate umeme kwa bei ndogo watu wapikie umeme waachane na mikaa na kukata viwanda vifunguliwe nk lakini hii nchi watu ni wabinafsi sana...

Kwahiyo mnaosubiri Tangazo la bei za umeme kushuka hiyo siku ya uzinduzi msahau kabisa!!
 
kwahiyo mnaosubiri Tangazo la bei za umeme kushuka hiyo siku ya uzinduzi msahau kabisa!!
Atleast mwendazake nadhani angepunguza maana ndiyo ilikuwa lengo lake ila kwa viongozi hawa wa sasa inasikitisha sana yani mtu una bwawa kubwa then price unakuja kujilinganisha na wenye mabwawa madogo madogo so sad 😥
 
Ni ngumu kwa Tanzania wakiongeza bei ya kitu harafu wakaja kushusha bei hicho kitu hakipo sasa hivi mafuta yamepanda bei kwa sababu ya vita ila vita ikiisha hautasikia wakishusha bei kwa sababu kwenye bidhaa nyingi wao ni wanufaika utasikia wanashusha cents tu kama hizo cent zinatumika ila kupandisha ni kuanzia Tsh 500 kuendelea mpaka Tsh 1000.
Kununua umeme wameweka VAT inaongeza gharama tu watu wapo busy na mitungi ya gesi ambayo nayo tunaibiwa ujazo..
 
Ni kweli ila sio hawa walafi wa awamu hii
 
Nchi yetu ni ya hovyo kabisa
 
Mlokua mnasubiri bei za umeme zishuke poleni...

Mnaosubiri eti hiyo siku ya uzinduzi atatangaza bei ya umeme kushuka kuanzia September mosi poleni

Hii habari nina uhakika nayo asilimia 100%

Niliwaambia hatupendi sisi watu wa Upande huu mkabisha ingekua ni kule kwao angetangaza gharama ya units ishuke

Kuelekea uzinduzi wa bwawa la Nyerere miongoni mwa ajenda na sababu za ujenzi ni gharama za umeme kushuka zaidi gharama ya units
Namheshimu Engineer mramba ni mtendaji nzuri hapo Tanesco lakini hili la kumshawishi Rais umeme usishuke bei sidhani kama umewatendea haki Watanzania.
Anatumia kigezo cha bei za nchi jirani akisema eti sisi bado ni nafuu zaidi na pia akisema eti lazima gharama za mradi zirudi..

Na rais naye amekubali kuwa hakuna tena gharama ya umeme kushuka baada ya bwawa kukamilika, hapo ndo mtajua tulivyo na viongozi wabinafsi nchi hii....

Mramba anadai umeme hauwezi kushuka chini ya sasa kwani eti kitakwimu kwa East africa sisi bado bei ipo chini anasahau lengo la kujengwa kwa bwawa hili ni ili wananchi wote wapate umeme kwa bei ndogo watu wapikie umeme waachane na mikaa na kukata viwanda vifunguliwe nk lakini hii nchi watu ni wabinafsi sana...

Kwahiyo mnaosubiri Tangazo la bei za umeme kushuka hiyo siku ya uzinduzi msahau kabisa!!
Ni shetani huyo.
 
Hii ya Ku compare na Nchi Jirani, kwanini huwa hawalinganishi pia na mambo mazuri? Mfano Elimu, Miundombinu? N.k
 
Hii akili ya kujilinganisha na wengine kwenye bei za mafuta na sasa umeme ni takataka.

Ni mashindano?
 
Mlokua mnasubiri bei za umeme zishuke poleni...

Mnaosubiri eti hiyo siku ya uzinduzi atatangaza bei ya umeme kushuka kuanzia September mosi poleni

Hii habari nina uhakika nayo asilimia 100%

Niliwaambia hatupendi sisi watu wa Upande huu mkabisha ingekua ni kule kwao angetangaza gharama ya units ishuke

Kuelekea uzinduzi wa bwawa la Nyerere miongoni mwa ajenda na sababu za ujenzi ni gharama za umeme kushuka zaidi gharama ya units
Namheshimu Engineer mramba ni mtendaji nzuri hapo Tanesco lakini hili la kumshawishi Rais umeme usishuke bei sidhani kama umewatendea haki Watanzania.
Anatumia kigezo cha bei za nchi jirani akisema eti sisi bado ni nafuu zaidi na pia akisema eti lazima gharama za mradi zirudi..

Na rais naye amekubali kuwa hakuna tena gharama ya umeme kushuka baada ya bwawa kukamilika, hapo ndo mtajua tulivyo na viongozi wabinafsi nchi hii....

Mramba anadai umeme hauwezi kushuka chini ya sasa kwani eti kitakwimu kwa East africa sisi bado bei ipo chini anasahau lengo la kujengwa kwa bwawa hili ni ili wananchi wote wapate umeme kwa bei ndogo watu wapikie umeme waachane na mikaa na kukata viwanda vifunguliwe nk lakini hii nchi watu ni wabinafsi sana...

Kwahiyo mnaosubiri Tangazo la bei za umeme kushuka hiyo siku ya uzinduzi msahau kabisa!!
Nchi ikishaongozwa na mafisadi wananchi wategemee maumivu tu
 
Back
Top Bottom