Atleast mwendazake nadhani angepunguza maana ndiyo ilikuwa lengo lake ila kwa viongozi hawa wa sasa inasikitisha sana yani mtu una bwawa kubwa then price unakuja kujilinganisha na wenye mabwawa madogo madogo so sad 😥Mlokua mnasubiri bei za umeme zishuke poleni...
Mnaosubiri eti hiyo siku ya uzinduzi atatangaza bei ya umeme kushuka kuanzia September mosi poleni
Hii habari nina uhakika nayo asilimia 100%
Niliwaambia hatupendi sisi watu wa Upande huu mkabisha ingekua ni kule kwao angetangaza gharama ya units ishuke
Kuelekea uzinduzi wa bwawa la Nyerere miongoni mwa ajenda na sababu za ujenzi ni gharama za umeme kushuka zaidi gharama ya units
Namheshimu Engineer mramba ni mtendaji nzuri hapo Tanesco lakini hili la kumshawishi Rais umeme usishuke bei sidhani kama umewatendea haki Watanzania.
Anatumia kigezo cha bei za nchi jirani akisema eti sisi bado ni nafuu zaidi na pia akisema eti lazima gharama za mradi zirudi..
Na rais naye amekubali kuwa hakuna tena gharama ya umeme kushuka baada ya bwawa kukamilika, hapo ndo mtajua tulivyo na viongozi wabinafsi nchi hii....
Mramba anadai umeme hauwezi kushuka chini ya sasa kwani eti kitakwimu kwa East africa sisi bado bei ipo chini anasahau lengo la kujengwa kwa bwawa hili ni ili wananchi wote wapate umeme kwa bei ndogo watu wapikie umeme waachane na mikaa na kukata viwanda vifunguliwe nk lakini hii nchi watu ni wabinafsi sana...
kwahiyo mnaosubiri Tangazo la bei za umeme kushuka hiyo siku ya uzinduzi msahau kabisa!!
Ni kweli ila sio hawa walafi wa awamu hiiAtleast mwendazake nadhani angepunguza maana ndiyo ilikuwa lengo lake ila kwa viongozi hawa wa sasa inasikitisha sana yani mtu una bwawa kubwa then price unakuja kujilinganisha na wenye mabwawa madogo madogo so sad 😥
Nchi yetu ni ya hovyo kabisaNi ngumu kwa Tanzania wakiongeza bei ya kitu harafu wakaja kushusha bei hicho kitu hakipo sasa hivi mafuta yamepanda bei kwa sababu ya vita ila vita ikiisha hautasikia wakishusha bei kwa sababu kwenye bidhaa nyingi wao ni wanufaika utasikia wanashusha cents tu kama hizo cent zinatumika ila kupandisha ni kuanzia Tsh 500 kuendelea mpaka Tsh 1000.
Kununua umeme wameweka VAT inaongeza gharama tu watu wapo busy na mitungi ya gesi ambayo nayo tunaibiwa ujazo..
Ni shetani huyo.Mlokua mnasubiri bei za umeme zishuke poleni...
Mnaosubiri eti hiyo siku ya uzinduzi atatangaza bei ya umeme kushuka kuanzia September mosi poleni
Hii habari nina uhakika nayo asilimia 100%
Niliwaambia hatupendi sisi watu wa Upande huu mkabisha ingekua ni kule kwao angetangaza gharama ya units ishuke
Kuelekea uzinduzi wa bwawa la Nyerere miongoni mwa ajenda na sababu za ujenzi ni gharama za umeme kushuka zaidi gharama ya units
Namheshimu Engineer mramba ni mtendaji nzuri hapo Tanesco lakini hili la kumshawishi Rais umeme usishuke bei sidhani kama umewatendea haki Watanzania.
Anatumia kigezo cha bei za nchi jirani akisema eti sisi bado ni nafuu zaidi na pia akisema eti lazima gharama za mradi zirudi..
Na rais naye amekubali kuwa hakuna tena gharama ya umeme kushuka baada ya bwawa kukamilika, hapo ndo mtajua tulivyo na viongozi wabinafsi nchi hii....
Mramba anadai umeme hauwezi kushuka chini ya sasa kwani eti kitakwimu kwa East africa sisi bado bei ipo chini anasahau lengo la kujengwa kwa bwawa hili ni ili wananchi wote wapate umeme kwa bei ndogo watu wapikie umeme waachane na mikaa na kukata viwanda vifunguliwe nk lakini hii nchi watu ni wabinafsi sana...
Kwahiyo mnaosubiri Tangazo la bei za umeme kushuka hiyo siku ya uzinduzi msahau kabisa!!
Hii ya Ku compare na Nchi Jirani, kwanini huwa hawalinganishi pia na mambo mazuri? Mfano Elimu, Miundombinu? N.kMlokua mnasubiri bei za umeme zishuke poleni...
Mnaosubiri eti hiyo siku ya uzinduzi atatangaza bei ya umeme kushuka kuanzia September mosi poleni
Hii habari nina uhakika nayo asilimia 100%
Niliwaambia hatupendi sisi watu wa Upande huu mkabisha ingekua ni kule kwao angetangaza gharama ya units ishuke
Kuelekea uzinduzi wa bwawa la Nyerere miongoni mwa ajenda na sababu za ujenzi ni gharama za umeme kushuka zaidi gharama ya units
Namheshimu Engineer mramba ni mtendaji nzuri hapo Tanesco lakini hili la kumshawishi Rais umeme usishuke bei sidhani kama umewatendea haki Watanzania.
Anatumia kigezo cha bei za nchi jirani akisema eti sisi bado ni nafuu zaidi na pia akisema eti lazima gharama za mradi zirudi..
Na rais naye amekubali kuwa hakuna tena gharama ya umeme kushuka baada ya bwawa kukamilika, hapo ndo mtajua tulivyo na viongozi wabinafsi nchi hii....
Mramba anadai umeme hauwezi kushuka chini ya sasa kwani eti kitakwimu kwa East africa sisi bado bei ipo chini anasahau lengo la kujengwa kwa bwawa hili ni ili wananchi wote wapate umeme kwa bei ndogo watu wapikie umeme waachane na mikaa na kukata viwanda vifunguliwe nk lakini hii nchi watu ni wabinafsi sana...
Kwahiyo mnaosubiri Tangazo la bei za umeme kushuka hiyo siku ya uzinduzi msahau kabisa!!
Nchi ikishaongozwa na mafisadi wananchi wategemee maumivu tuMlokua mnasubiri bei za umeme zishuke poleni...