Rais amekataa bei ya umeme isishuke kuelekea uzinduzi wa Bwawa la Nyerere

wapunguze bei wao wakale wapi? uwezo wao wa kufikiria umeshafika mwisho unadhani kuna mpya huko? wee ukiona jitu kama wasira bado linaaminika kuwa lina akili na linaweza kuwatoa mahala kwenda kwenye hatua za maendeleo ujue mmepigwa. KIongozi wao ubongo wa kuku wafuasi wake walewale yaani mbombo ngafu .
 
Kwani Raisi yeye Umeme ananunua shilingi ngapi ?
 
 

Attachments

  • 1000020485.jpg
    12.1 KB · Views: 7
Kwani Raisi yeye Umeme ananunua shilingi ngapi ?
Habari

Asante kwa maoni,tayari serikali ilitolea ufafanuzi kuhusu bei ya umeme kupitia msemaji wa serikali.

Aidha, Mamlaka zinazosimamia upandishaji na ushushaji wa bei zipo. Na zitaendelea kutolea ufafanuzi suala hilo.

Asante. ^HN
 
Niliwaambia ishu ya mramba wengine wakidhani naongopa ona sasa kahojiwa na bbc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…