Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
na wala hazalishi mafuta ya aina yeyote
Wakati akijenga hoja ya kuteta usafirishaji wa gesi kuja Dsm, Rais alisema kwamba mkoa wa Dar unachangia 80% ya pato la Taifa. kwa hiyo, alimaanisha kwamba kama kila mkoa utang'ang'ania rasimali zake Dar ndo itafaidika kuliko mikoa yote. Kwa maoni yangu Rais amepotoshwa na washauri wake. Kwa sababu zifuatazo;
Walipa kodi wengi wa nchi hii wana makao makuu yao Dar lakini shughuli za uzalishaji wao na watumiaji wa bidhaa zao wako nchi nzima. Nitatoa mifano michache.
1) Bakhresa (Bilionea no 1mwenye kampuni zaidi ya 300) analipa kodi hapa Dar kutokana na biashara zake za mikate, mafuta ya kupikia, ice cream nk. Lakini ngano na alizeti iliyotumika kuzalisha bidhaa hiyo haijazalishwa hapa Dar, imetoka mikoani. Pili, watumiaji wa bidhaa hiyo siyo wa Dar tu, ni nchi nzima. Ila kodi analipia hapa Dar.
Mengi anapolipa kodi kwa biashara ya maji, coca cola analipia TRA Dar, ilipo makao makuu ya IPP. Lakini maji yake yananywewa na watz kutoka mikoa yote. Na kiwanda cha maji si lazima iwe Dar.
Vituo vya Tv, Radio,magazeti nk wanalipa kodi hapa Dar, lakini walaji wa bidhaa yao ni nchi nzima. TV inaoneshwa nchi nzima, magazeti yanasomwa nchi nzima. Nimetoa mifano michache tu.
Kwa hiyo, hoja hii ya Mkapa ( miaka ya nyuma) na Kikwete majuzi kuwa Dsm inachangia 80% ya pato la Taifa ni upotoshaji wa wazi ama ni uvivu wa kufikiri wa wasaidizi wao wanaohusika.
Nawasilisha.
Mimi nawashauri msichukulie kila kitu kwa mtazamo wa kisiasa. Hapa tuko ktk jukwaa la kiuchumi. Hoja ya msingi ni Bakhresa ni mlipa kodi mkubwa kuliko wote hapa nchini. Analipia Dar, haimaanishi kwamba kwa kuwa ofisi zake ziko Dar Bidhaa zake zote zinatoka dar na zinatumika Dar. Hapa Rais amepotoshwa. unakubali au unakataa.we jamaa unatunga maneno,sijui hata huko kwenye tv wanatumia vigezo gani kukualika.hebu tutajie japo makampuni hamsini ya huyo bakharesa ili tuone kama una hakika na unachokiongea.
Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro iko Arusha lakini kwa kuwa Big Tax payer faili liko DSM; Leopard Tours nayo ni Big Tax Payer faili liko DSM; Tanzania Breweries wana plant Arusha na Mwanza faili liko DSM, Tanga Cement Big Tax payer faili liko DSM, Twiga Cement big tax payer faili liko DSM, Mabenki yote mafaili yako DSM ukiacha Community banks. Hili litarekebshwa na sheria ya majimbo 2016
Wakati akijenga hoja ya kuteta usafirishaji wa gesi kuja Dsm, Rais alisema kwamba mkoa wa Dar unachangia 80% ya pato la Taifa. kwa hiyo, alimaanisha kwamba kama kila mkoa utang'ang'ania rasimali zake Dar ndo itafaidika kuliko mikoa yote. Kwa maoni yangu Rais amepotoshwa na washauri wake. Kwa sababu zifuatazo;
Walipa kodi wengi wa nchi hii wana makao makuu yao Dar lakini shughuli za uzalishaji wao na watumiaji wa bidhaa zao wako nchi nzima. Nitatoa mifano michache.
1) Bakhresa (Bilionea no 1mwenye kampuni zaidi ya 300) analipa kodi hapa Dar kutokana na biashara zake za mikate, mafuta ya kupikia, ice cream nk. Lakini ngano na alizeti iliyotumika kuzalisha bidhaa hiyo haijazalishwa hapa Dar, imetoka mikoani. Pili, watumiaji wa bidhaa hiyo siyo wa Dar tu, ni nchi nzima. Ila kodi analipia hapa Dar.
Mengi anapolipa kodi kwa biashara ya maji, coca cola analipia TRA Dar, ilipo makao makuu ya IPP. Lakini maji yake yananywewa na watz kutoka mikoa yote. Na kiwanda cha maji si lazima iwe Dar.
Vituo vya Tv, Radio,magazeti nk wanalipa kodi hapa Dar, lakini walaji wa bidhaa yao ni nchi nzima. TV inaoneshwa nchi nzima, magazeti yanasomwa nchi nzima. Nimetoa mifano michache tu.
Kwa hiyo, hoja hii ya Mkapa ( miaka ya nyuma) na Kikwete majuzi kuwa Dsm inachangia 80% ya pato la Taifa ni upotoshaji wa wazi ama ni uvivu wa kufikiri wa wasaidizi wao wanaohusika.
Nawasilisha.
Mimi nawashauri msichukulie kila kitu kwa mtazamo wa kisiasa. Hapa tuko ktk jukwaa la kiuchumi. Hoja ya msingi ni Bakhresa ni mlipa kodi mkubwa kuliko wote hapa nchini. Analipia Dar, haimaanishi kwamba kwa kuwa ofisi zake ziko Dar Bidhaa zake zote zinatoka dar na zinatumika Dar. Hapa Rais amepotoshwa. unakubali au unakataa.
Wakati akijenga hoja ya kuteta usafirishaji wa gesi kuja Dsm, Rais alisema kwamba mkoa wa Dar unachangia 80% ya pato la Taifa. kwa hiyo, alimaanisha kwamba kama kila mkoa utang'ang'ania rasimali zake Dar ndo itafaidika kuliko mikoa yote. Kwa maoni yangu Rais amepotoshwa na washauri wake. Kwa sababu zifuatazo;
Walipa kodi wengi wa nchi hii wana makao makuu yao Dar lakini shughuli za uzalishaji wao na watumiaji wa bidhaa zao wako nchi nzima. Nitatoa mifano michache.
1) Bakhresa (Bilionea no 1mwenye kampuni zaidi ya 300) analipa kodi hapa Dar kutokana na biashara zake za mikate, mafuta ya kupikia, ice cream nk. Lakini ngano na alizeti iliyotumika kuzalisha bidhaa hiyo haijazalishwa hapa Dar, imetoka mikoani. Pili, watumiaji wa bidhaa hiyo siyo wa Dar tu, ni nchi nzima. Ila kodi analipia hapa Dar.
Mengi anapolipa kodi kwa biashara ya maji, coca cola analipia TRA Dar, ilipo makao makuu ya IPP. Lakini maji yake yananywewa na watz kutoka mikoa yote. Na kiwanda cha maji si lazima iwe Dar.
Vituo vya Tv, Radio,magazeti nk wanalipa kodi hapa Dar, lakini walaji wa bidhaa yao ni nchi nzima. TV inaoneshwa nchi nzima, magazeti yanasomwa nchi nzima. Nimetoa mifano michache tu.
Kwa hiyo, hoja hii ya Mkapa ( miaka ya nyuma) na Kikwete majuzi kuwa Dsm inachangia 80% ya pato la Taifa ni upotoshaji wa wazi ama ni uvivu wa kufikiri wa wasaidizi wao wanaohusika.
Nawasilisha.
hata samsung ni walipa kodi wazuri huko korea japo waraji wa bidhaa zao wako mpaka rufiji.
Sasa hapa sijui umewakilisha nini hasa.
usijitapishie mwenyewe tena mkuu..hoja yako yenyewe iko kisiasa umeiweka kama ulivyochangia jana itv malumbano ya hoja... nashukuru vijana wengi walikuwa kinyume na wewe teh teh....... wewe unafikiria kisiasa badala ya kiuchumi..na sijui kama umewahi kufika mtwara au unakujua arusha,moshi =chadema
Heshima mbele mkuu Mikael P Aweda, Hilo la kusema Bakhresa analipa Kodi sikubaliani nalo na wala sidhani kama Bakhresa analipa kodi inavyotakiwa. Tanzania ni nchi ya ajabu sana TRA wana ofisi zao za kodi kwa Bakhresa huu ni ufisadi. Haiwezekani TRA wakawafuata wafanyabishara kwa kuwafungulia ofisi za kulipia kodi zao. Huu ni upuuzi na upumbavu wa serikali iliyo dhaifu. Kwa nini wasiwe wanalipia TRA kwenyewe? Tangu lini Bill Gates akawa na ofisi za kulipia kodi kwenye ofisi zake?
hata samsung ni walipa kodi wazuri huko korea japo waraji wa bidhaa zao wako mpaka rufiji.
Sasa hapa sijui umewakilisha nini hasa.
hata samsung ni walipa kodi wazuri huko korea japo waraji wa bidhaa zao wako mpaka rufiji.
Sasa hapa sijui umewakilisha nini hasa.
Si 300 ni zaidi ya 300. Ninakupa taarifa za uhakika. Siyo vizuri kutaja majina ya watu lakini ninafahamiana kwa karibu sana na watu wenye nafasi kubwa ktk makampuni ya Bakhresa.
Nakupinga bakhresa hamiliki makampuni 300.