Rais anafahamu kuwa viongozi wengi Serikalini wanategwa ili waangushwe na mahafidhina, mafisadi na wezi?

Rais anafahamu kuwa viongozi wengi Serikalini wanategwa ili waangushwe na mahafidhina, mafisadi na wezi?

Kabende Msakila

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2020
Posts
1,809
Reaction score
1,692
* RC Makonda alisikika akisema kuwa watu wanamfuatilia,

* Balozi Polepole akitokea Arusha siku moja alikuta nyumbani kwake kaporwa nyaraka,

* Mhe Ole Sendeka majuzi kakoswakoswa kuuawa kwa risasi wkt akiwa ktk gari;

* Mhe Dugange alipopata ajali ya gari mwaka jana alisingiziwa kuwa ktk gari lile kulikuwa na mwanamke na kuwa alifariki ajalini;

* Makamu Mwenyekiti wa CCM hubambikwa mara kadhaa kuwa siyo raia wa nchi hii - lengo ni kuchafua image yake ktk jamii;

So;
Hili suala la RC wa Simiyu alotenguliwa na kushitakiwa kwa makosa ya kijinai ya ulawiti ni drama mpya - ni mtego wa viongozi aliokuwa amewabana kwa vitendo vya ufisadi, wizi na kutorosha fedha.

Sasa watezi ili wafanikiwe waliamua kutumia vibinti na midada ili wafanikiwe azima yao. FIKIRI:-
* Why alawitiwe afu aende nyumbani na siyo kituo cha polisi kushitaki;?

* Why alipotoka kwenye gari hakupiga kelele ili mtenda akamatwe hapo hapo?

* Smart phone zipo kila kona why hakupiga picha gari akiwa ndani na akionekana kwa pamoja na RC?

* Alisema kuwa RC huyo kabla alikuwa akimpigia simu kuomba kule - why hakutoa taarifa ukawekwa mtego?

Mamlaka za uteuzi mnaombwa kuwafunda wateuliwa wenu vinginevyo kuelekea uchaguzi wengi watasingiziwa ili watenguliwe na kupoteza sifa za uongozi.

Ngaika Ndenda
 
Japokuwa sote hatujui kama ni kweli former RC katenda kosa hilo. Ila kwa faida ya uzi wako, n

Hapa kuna mambo mawili ambayo yanaleta ugumu .

1. Kitendo chenyewe.
Kulawitiwa au kubakwa si sawa na kupigwa ngumi. Hiki ni kitendo ambacho kinaleta fedhea, kinatweza utu. Si rahisi mfanyiwa aende moja kwa moja polisi baada ya kufanyiwa maana kwanza anakuwa kwenye state of mind ambayo si ya kawaida.

Kama umewahi kufuatilia matukio ya ubakaji nadhani utaelewa.
Victims mara nyingi huwa hawatoi taarifa palepale au kuchukua actions ambazo zitawezesha kumkamata mtuhumiwa.. wengi huwa wanaingia kwenye hali yakujiona hawafai tena na wengine wanatamani hata kujiua.

2. Status ya Mtuhumiwa
Mtuhumiwa ni RC kwa akili ya haraka victims lazima atafikiria tuu hakuna anachoweza kufanya kikimuweka hatiani mtuhumiwa. Sababu ni mtu mkubwa yule nani atamwamini.

Point yako mwisho, mdangaji hawezi fanya hivyo. Atapeperusha denge.
 
Kama mzigo ukienda basi Binti achunguzwe vizuri!! Pengine ndo mchezo wake wa siku nyingi
 
Jinai kama hiyo kubaka au kulawiti katika umri huo wa RC ni hulka si mara moja au ndio anaanza..amejitega mwenyewe, mchawi ni yeye mwenyewe na upumbavu wake..Acha kutafuta visingizio vya kijinga..
 
Back
Top Bottom