Pre GE2025 Rais anafanya makosa makubwa sana kuwapigia debe baadhi ya viongozi wa CCM kwamba "nirudishieni huyu" mwaka 2025

Pre GE2025 Rais anafanya makosa makubwa sana kuwapigia debe baadhi ya viongozi wa CCM kwamba "nirudishieni huyu" mwaka 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
haziepukiki,
sambamba na utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM kitu ambacho hakisubiri chochote kwasababu yoyote ile 🐒
Mmh 🤔🤔🤔

Ila wewe rafiki yangu ndugu Tlaatlaah kuna wakati huwa unajifyatua akili kwelikweli..

Hata hili nalo huoni kuwa Mwenyekiti wako kachemka na anavunja taratibu na kanuni za chama chenu wenyewe?

Au unajikosha tu kwa kuwa amekosolewa hadharani huku nje lakini ndani kwenu CCM mnauma meno na kujiuliza;

"Aah, huyu mama naye vipi? Mbona hayuko makini na kutupa kazi ngumu sisi huku nje kumtetea makosa yake?"
 
wanaona kwa Tanzania ni rahisi sana kutawala kwa sababu ya ujinga na uoga wa wenye nchi.Nchi zinazojitambua ukiongea utumbo lazima ujutie kwa kuwajibishwa.
 
Mmh 🤔🤔🤔

Ila wewe rafiki yangu ndugu Tlaatlaah kuna wakati huwa unajifyatua akili kwelikweli..

Hata hili nalo huoni kuwa Mwenyekiti wako kachemka na anavunja taratibu na kanuni za chama chenu wenyewe?

Au unajikosha tu kwa kuwa amekosolewa hadharani huku nje lakini ndani kwenu CCM mnauma meno na kujiuliza;

"Aah, huyu mama naye vipi? Mbona hayuko makini na kutupa kazi ngumu sisi huku nje kumtetea makosa yake?"
suala sio kujifanya gentleman, huo ndiyo ukweli,
shida na udhaufu wangu huwa siringi na wala sijivungi licha ya dhamana muhimu niliyonayo 🐒

CCM hakuna anaekose hata kidogo,
unasemaje chama tawala, kilichoshika dollar kisifanye jambo fulani kisubiri sijui nini huko, na kwanini kisubiri sasa?😳

au ndivyo sheria inavyotaka kwamba chama kikisha shika dollar halafu kikae pembeni tena kisubiri uchaguz 🤣

sasa madarakani kitakua kinafanya nini, ikiwa kinawajibu, haki na fursa kwa mujibu wa sheria kusimamia utekelezaji wa ahadi zake kwa wanainchi, na kusimamia serikali yake kutekeleza wajibu wake kwa wanainchi waliokipa dhamana ya kuongoza dollar kwa bidii, uadilifu, haki, uwazi na usawa...

inafahamika bayana kwamba,
uelewa na ufahamu wa wengi juu ya jambo hili ni mdogo na kwahiyo wengi wanabaki kwa sababu hiyo 🐒
 
CCM hakuna anaekose hata kidogo,
Kwamba, "...CCM hakuna anayekosea hata kidogo..."

Hata aliyechanganyiwa (confused) huwa anataka aeleweke hivyo hivyo ndani ya uwendawazimu wake..

Nimekuelewa hivyo hivyo..

Kwa heri, usiku mwema..
 
Kwamba, "...CCM hakuna anayekosea hata kidogo..."

Hata aliyechanganyiwa (confused) huwa anataka aeleweke hivyo hivyo ndani ya uwendawazimu wake..

Nimekuelewa hivyo hivyo..

Kwa heri, usiku mwema..
relax bas gentleman,
kuna mambo hayahitaji mihemko, yanahitaji hekima na busara kidogo tu...

kuwaza, kuamua kusema au kutenda jambo ambalo linakuudhi, linakukwaza au kukudhuru wewe mwenyewe ni dalili za mwanzo kabisa za mtu alie confused saikolojikali, namsikitikia muungwana anaetumbukia kwenye utumwa huo mzito...

CCM ni chama Tawala ndicho pekee kinastahili kufanya kazi na siasa kwa wakati moja kwasabb ndicho kilichopewa dhamana na fursa ya kuongoza nchi,

hakuna kusubiri chochote,
kufanya hivyo ni kujiweka katika wakati mgumu wananchi watakapokuja kuhoji mrejesho wa ahadi na ridhaa kubwa walikipa chama 🐒
 
Kiongozi mpenda maendeleo anapenda kufanya kazi na wapenda maendeleo wenzake. Alichofanya Rais ni kuwakumbusha wananchi Fulani ni mchapakazi na mpenda maendeleo kama yeye hivyo mkimchagua mtakuwa mmemsaidia kuwaleteeni maendeleo kwa haraka
Angekuwa anapenda kufanya naye kazi asingemtumbua.
 
Ni wapi Wananchi walisema hawawataki?
NI wapi wananchi walisema wanataka, na kama wanataka kuna haja gani ya kuwapa maelekezo? Ndio maana tunasema, acha demokrasia ichukue mkondo wake

Kwa nini hamtaki kukubali Raisi Samia anapofanya makosa na mkakiri amefanya makosa? Aliewaambia yeye ni malaika mkamilifu nani?
 
Sio Maelekezo anawashawishi tuu
 
Naunga mkono hoja zako mkuu, lakini si mnakuaga na baraza la wazee, na wewe kama mmoja wa wazee wa chama si mnaweza mshauri mwenyekiti!?
Huyu aliejipa sifa za kuziba masikio? Angekuwa anasikiliza Makonda asingerudishwa, maana kina Kinana walimkatalia sana, na wapo waliosema kama Makonda anarudi mie niko tayari kuondoka, hakujali.
 
Huyu aliejipa sifa za kuziba masikio? Angekuwa anasikiliza Makonda asingerudishwa, maana kina Kinana walimkatalia sana, na wapo waliosema kama Makonda anarudi mie niko tayari kuondoka, hakujali.
Kwamba miaka 3 tu ameota mapembe makubwa namna hiyo hadi kushindwa kulisikiliza baraza la wazee lililokua likisikilizwa na mtangulizi wake pamoja na umwamba wake?
 
Kwamba miaka 3 tu ameota mapembe makubwa namna hiyo hadi kushindwa kulisikiliza baraza la wazee lililokua likisikilizwa na mtangulizi wake pamoja na umwamba wake?
Madaraka kitu kingine bwana, yana utamu wake
 
Back
Top Bottom