Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa nini asigombee??Hivi bado mnaamini mama anagombea 2025? 😂😂😂 mnafurahisha sana ndugu watanzania
Hizi porojo za kutogombea mnazitowa wapi?Sasa Yeye mwenyewe HATOGOMBEA,itakuwaje!!
Tupe za jikoni kbsa mkuuHivi bado mnaamini mama anagombea 2025? 😂😂😂 mnafurahisha sana ndugu watanzania
Mmh 🤔🤔🤔haziepukiki,
sambamba na utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM kitu ambacho hakisubiri chochote kwasababu yoyote ile 🐒
suala sio kujifanya gentleman, huo ndiyo ukweli,Mmh 🤔🤔🤔
Ila wewe rafiki yangu ndugu Tlaatlaah kuna wakati huwa unajifyatua akili kwelikweli..
Hata hili nalo huoni kuwa Mwenyekiti wako kachemka na anavunja taratibu na kanuni za chama chenu wenyewe?
Au unajikosha tu kwa kuwa amekosolewa hadharani huku nje lakini ndani kwenu CCM mnauma meno na kujiuliza;
"Aah, huyu mama naye vipi? Mbona hayuko makini na kutupa kazi ngumu sisi huku nje kumtetea makosa yake?"
Kwamba, "...CCM hakuna anayekosea hata kidogo..."CCM hakuna anaekose hata kidogo,
relax bas gentleman,Kwamba, "...CCM hakuna anayekosea hata kidogo..."
Hata aliyechanganyiwa (confused) huwa anataka aeleweke hivyo hivyo ndani ya uwendawazimu wake..
Nimekuelewa hivyo hivyo..
Kwa heri, usiku mwema..
Angekuwa anapenda kufanya naye kazi asingemtumbua.Kiongozi mpenda maendeleo anapenda kufanya kazi na wapenda maendeleo wenzake. Alichofanya Rais ni kuwakumbusha wananchi Fulani ni mchapakazi na mpenda maendeleo kama yeye hivyo mkimchagua mtakuwa mmemsaidia kuwaleteeni maendeleo kwa haraka
NI wapi wananchi walisema wanataka, na kama wanataka kuna haja gani ya kuwapa maelekezo? Ndio maana tunasema, acha demokrasia ichukue mkondo wakeNi wapi Wananchi walisema hawawataki?
Sio Maelekezo anawashawishi tuuNI wapi wananchi walisema wanataka, na kama wanataka kuna haja gani ya kuwapa maelekezo? Ndio maana tunasema, acha demokrasia ichukue mkondo wake
Kwa nini hamtaki kukubali Raisi Samia anapofanya makosa na mkakiri amefanya makosa? Aliewaambia yeye ni malaika mkamilifu nani?
Huko kuwashawishi ndio tunasema kuna makosa, kulingana na vipengele hapo juu. Anawashawishi dhidi ya nani, anajua wanaotaka kujitokeza na ameona hawafai?Sio Maelekezo anawashawishi tuu
Na nyingi ya mbinu hizo sio halali, sad thingUlikwisha ambiwa CCM inazo mbinu nyingi za ushindi ambazo huwa wanazitangaza bila kumung'unya.
Wakati sisi tunapiga kura yeye yuko saluni anajiandaa.
Huyu aliejipa sifa za kuziba masikio? Angekuwa anasikiliza Makonda asingerudishwa, maana kina Kinana walimkatalia sana, na wapo waliosema kama Makonda anarudi mie niko tayari kuondoka, hakujali.Naunga mkono hoja zako mkuu, lakini si mnakuaga na baraza la wazee, na wewe kama mmoja wa wazee wa chama si mnaweza mshauri mwenyekiti!?
Kwamba miaka 3 tu ameota mapembe makubwa namna hiyo hadi kushindwa kulisikiliza baraza la wazee lililokua likisikilizwa na mtangulizi wake pamoja na umwamba wake?Huyu aliejipa sifa za kuziba masikio? Angekuwa anasikiliza Makonda asingerudishwa, maana kina Kinana walimkatalia sana, na wapo waliosema kama Makonda anarudi mie niko tayari kuondoka, hakujali.
Madaraka kitu kingine bwana, yana utamu wakeKwamba miaka 3 tu ameota mapembe makubwa namna hiyo hadi kushindwa kulisikiliza baraza la wazee lililokua likisikilizwa na mtangulizi wake pamoja na umwamba wake?