Rais anakazana kupata mikopo na misaada lakini mifumo ya ukusanyaji kodi, tozo na mapato mengine imetoboka sana

Rais anakazana kupata mikopo na misaada lakini mifumo ya ukusanyaji kodi, tozo na mapato mengine imetoboka sana

Wacha tukwepe kodi tu, maana mwisho wa siku kodi yetu utasikia tumenunua shangingi na halizimwi tukiamka hadi tukilala.

Mara njoo uone daraja la billion 7
 
TRA wanaomba msaada wako, tafadhali onyesha mahali udhaifu upo ili uzibwe, kuwa mzalendo!
Hawa Wala rushwa wakubwa,nimeshawai kuwapelekea taarifa ya ukwepaji Kodi na vielelezo vyote vya kampuni fulani, ndiyo kwanza wakapozwa na mpaka Leo hamna kinachoendelea,TRA Mkoa wa Mwanza
 
Acha unazi wa kishamba, kwani ni uongo kuwa fedha za umma zinaibiwa kila mara?Huwa usikii CAG kila mwaka anaripoti madudu juu ya udhaufu wa taasisi zetu?
Sio Kila kinachoripotiwa na CAG ni wizi,Tanzania hakuna wizi Bali udokozi.
 
Hawa Wala rushwa wakubwa,nimeshawai kuwapelekea taarifa ya ukwepaji Kodi na vielelezo vyote vya kampuni fulani, ndiyo kwanza wakapozwa na mpaka Leo hamna kinachoendelea,TRA Mkoa wa Mwanza
Mpatie taarifa Pm, Kassim majaliwa, utafurahi sana, kwa utendaji wake makini, hatukatai watumishi wabovu wapo wachache, tabia za tamaa za kibinadamu, do what I told, Asante kwa uzalendo!
 
Back
Top Bottom