Hawa Wala rushwa wakubwa,nimeshawai kuwapelekea taarifa ya ukwepaji Kodi na vielelezo vyote vya kampuni fulani, ndiyo kwanza wakapozwa na mpaka Leo hamna kinachoendelea,TRA Mkoa wa Mwanza
Acha unazi wa kishamba, kwani ni uongo kuwa fedha za umma zinaibiwa kila mara?Huwa usikii CAG kila mwaka anaripoti madudu juu ya udhaufu wa taasisi zetu?
Hawa Wala rushwa wakubwa,nimeshawai kuwapelekea taarifa ya ukwepaji Kodi na vielelezo vyote vya kampuni fulani, ndiyo kwanza wakapozwa na mpaka Leo hamna kinachoendelea,TRA Mkoa wa Mwanza
Mpatie taarifa Pm, Kassim majaliwa, utafurahi sana, kwa utendaji wake makini, hatukatai watumishi wabovu wapo wachache, tabia za tamaa za kibinadamu, do what I told, Asante kwa uzalendo!