Mwl Athumani Ramadhani
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 1,280
- 2,522
Tukamuane TU,Deni lime mature SANA!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kuwa wewe na dada yako mna share mume mmoja basi unadhani kila mmoja yupo kwenye hilo kundi.Hapo kwa shemeji bado wanaangalia tv sebuleni, yaani Leo utalala muda umeenda, kulala kwako mpaka waondoke sebuleni utandike godoro
Mama amesababisha uongozi wa wanawake kushuka thamani.
Sio kwa kukopa huku na bado tozo iko pale pale.
Kwani wengine walifanyaje?
Au tatizo ni matumizi?
Maana wanawake tunajuana. anaweza kukopa anunue dela la shughuli badala ya kuwekeza ili izalishe. 🤔
Raslimali tu haitoshi kuwa tajiri, hata wewe baba au Babu yako Wana mashamba huko na mifugo, lakini bado masikini, au na wewe utaanza kulaumu wazazi wako kwa kumiliki ekari 500 na n'gombe 5000, lakini nyie bado masikini?Akili yako fupi sana.
Watanzania wanachosema ni kwamba, Tanzania ina rasilimali nyingi nyingi nyingi sana, lakini bado akili za Viongozi wetu pamoja na wewe zile zisizoweza kusimamia vizuri hizi rasilimali ili kuwaletea maendeleo Watanzania.
Kama mtu mmoja mwenye akili timamu anasema akipewa Bandari moja tu ya Dar es salaam anaweza kuitumia kuhudumia Nchi zote za Afrika Mashariki, inakuwaje sisi tuna Bandari za Mtwara, Dar es salaam, Tanga, lakini pia tuna Mbuga za wanyama,madini, bahari, misitu, mlima Kilimanjaro nk. lakini bado tupo kwenye wimbi la umaskini.
Hili ni tatizo.
Nani alimwambia aache kukusanya 20,000 za matching guys kwenye masoko rasmi yaliyotengwa Kwa kuiboresha vitambulisho vyao Nchi nzima?Mama, hawa ndio wanadamu, ulikopa ili mzigo wa Kodi usiwe mkubwa kuhudumia maendelea, angalau uu-suspend kwa muda au Kwa vijikodi vidogo vidogo, tuhudumie mikopo ya muda mrefu, kuliko kutulima Kodi ya ghafla.
Wenye nongwa wakaongea ooohhh, tuna hela nyingi, mbona sijui nini,nchi yetu tajiri.
Sasa umeanza msako wa Kodi wa ndani kwa ndani Tanzania ili wale wa falsafa ya Ndungai kwamba tukamuane wajue maana yake nini, wameanza kulia tena.
Mama kanyaga twende. Watakuelewa tu, watu hushukuru baadae, hata Nyerere wanaimba juhudi zake baada ya kufariki. Chameleone, mwanamuziki wa uganda aliimba, wanashukuru ukishaenda.
Administration cost za hiyo Kodi ni kubwa kuliko unachopata, unaenda na kundi la mgambo 100, kukusanya laki mbili, halafu unawalipa posho hao mgambo shilingi laki tano, bado usafiri na chakulaNani alimwambia aache kukusanya 20,000 za matching guys kwenye masoko rasmi yaliyotengwa?
Unaposhauriwa, Changanya na zako-JK.
Kwa kuacha kukusanya hizo 20,000 ameacha kulipa mgambo?Administration cost za hiyo Kodi ni kubwa kuliko unachopata, unaenda na kundi la mgambo 100, kukusanya laki mbili, halafu unawalipa posho hao mgambo shilingi laki tano, bado usafiri na chakula
Idea ya hovyo kabisa ya huyo populist aliyejifia.Kwa kuacha kukusanya hizo 20,000 ameacha kulipa mgambo?
Mbona mgambo wako pale pale, na ukusanyaji wa Kodi hizo wanakusanya viongozi wa masoko rasmi wakisimamiwa na watumishi wa halmashauri au Jiji husika.
Pia, usimjibie Rais, acha apokee ushauri, Kodi ya matching guys ilikuwa moja ya idea Bora kabs kupata pesa ya haraka.
UVCCM hawezi kuelewa haya mambo.Akili yako fupi sana.
Watanzania wanachosema ni kwamba, Tanzania ina rasilimali nyingi nyingi nyingi sana, lakini bado akili za Viongozi wetu pamoja na wewe zile zisizoweza kusimamia vizuri hizi rasilimali ili kuwaletea maendeleo Watanzania.
Kama mtu mmoja mwenye akili timamu anasema akipewa Bandari moja tu ya Dar es salaam anaweza kuitumia kuhudumia Nchi zote za Afrika Mashariki, inakuwaje sisi tuna Bandari za Mtwara, Dar es salaam, Tanga, lakini pia tuna Mbuga za wanyama,madini, bahari, misitu, mlima Kilimanjaro nk. lakini bado tupo kwenye wimbi la umaskini.
Hili ni tatizo.
Atarudi pale pale, matching guys wamesharudi barabarani, na soon utasikia wanakusanya hzo 20,000.Idea ya hovyo kabisa ya huyo populist aliyejifia.
Ungetaka nisimjibie Rais ungemuandikia kwa anuani ya ikulu
Haina shida, kinachofanyika Kila bidhaa inaongezewa Kodi bandarini kabla haijatoka.Atarudi pale pale, matching guys wamesharudi barabarani, na soon utasikia wanakusanya hzo 20,000.
Tena awanyooshe kweli kweli,Mtzn sio mtu wa kumchekeaMama, hawa ndio wanadamu, ulikopa ili mzigo wa Kodi usiwe mkubwa kuhudumia maendelea, angalau uu-suspend kwa muda au Kwa vijikodi vidogo vidogo, tuhudumie mikopo ya muda mrefu, kuliko kutulima Kodi ya ghafla.
Wenye nongwa wakaongea ooohhh, tuna hela nyingi, mbona sijui nini,nchi yetu tajiri.
Sasa umeanza msako wa Kodi wa ndani kwa ndani Tanzania ili wale wa falsafa ya Ndungai kwamba tukamuane wajue maana yake nini, wameanza kulia tena.
Mama kanyaga twende. Watakuelewa tu, watu hushukuru baadae, hata Nyerere wanaimba juhudi zake baada ya kufariki. Chameleone, mwanamuziki wa uganda aliimba, wanashukuru ukishaenda.
Magufuli alikopa lakini kwa asilimia kubwa aliweza kudhibiti ufisadi, tofauti na sasa ambapo Mafisadi wanagawana fedha za mikopo hata kabla hazijatua Nchini.Hata Japan wanakopa.. Magufuli alikopa....kila Rais anakopa..la muhimu mikopo itumike Kwa malengo sahihi
Akili kama hizi ndizo zilizotufikisha hapa tulipo.Raslimali tu haitoshi kuwa tajiri, hata wewe baba au Babu yako Wana mashamba huko na mifugo, lakini bado masikini, au na wewe utaanza kulaumu wazazi wako kwa kumiliki ekari 500 na n'gombe 5000, lakini nyie bado masikini?
Hiyo gesi unadhani unaweza kuichimba kama unavyochimba shimo la choo?, Maendeleo sio kama mana jangwani
Magufuli alikopa lakini kwa asilimia kubwa aliweza kudhibiti ufisadi, tofauti na sasa ambapo Mafisadi wanagawana fedha za mikopo hata kabla hazijatua Nchini.
Bado ujabebewa afu tatu yako ya kula mchana ndo mana kisedemnede.Mama, hawa ndio wanadamu, ulikopa ili mzigo wa Kodi usiwe mkubwa kuhudumia maendelea, angalau uu-suspend kwa muda au Kwa vijikodi vidogo vidogo, tuhudumie mikopo ya muda mrefu, kuliko kutulima Kodi ya ghafla.