Rais Anapaswa Kuwa Mtu Mwenye Maono Makubwa na Upeo Mkubwa Kiakili

Njia ya uhakika ya kuwapambania GEN Z ni kuhakikisha , tunawazuia kufanya vurugu na maandamano ili wasiuliwe na kupata ulemavu au kuishia magerezani Kama sisi tulivyoishi na kuwaona wajukuu na wao wanabidi kuishi sisi watu wazima tuache ubinafsi mbona watoto wetu tunawalinda na hawakuuliwa ile trh 29/10 iweje tupende kuona watoto wa wenzetu tukiwatuma barabarani wazazi tukatae hii dhambi
 
Mada imekuibua chawa,je ni nini kinafanya watu wafanye fujo?,wewe ni chotara wa kenge na binadamu
 
Unaweza kilaza halafu kesho unatuambia "anashauriwa vibaya". Kumbe hana akili ya kujua ushauri mbaya
 
Mada imekuibua chawa,je ni nini kinafanya watu wafanye fujo?,wewe ni chotara wa kenge na binadamu
Njia ya uhakika ya kuwapambania GEN Z ni kuhakikisha , tunawazuia kufanya vurugu na maandamano ili wasiuliwe na kupata ulemavu au kuishia magerezani Kama sisi tulivyoishi na kuwaona wajukuu na wao wanabidi kuishi sisi watu wazima tuache ubinafsi mbona watoto wetu tunawalinda na hawakuuliwa ile trh 29/10 iweje tupende kuona watoto wa wenzetu tukiwatuma barabarani wazazi tukatae hii dhambi
 
Njia ya uhakika ya kuwapambania GEN Z ni kuhakikisha , tunawazuia kufanya vurugu na maandamano ili wasiuliwe na kupata ulemavu au kuishia magerezani Kama sisi tulivyoishi na kuwaona wajukuu na wao wanabidi kuishi sisi watu wazima tuache ubinafsi mbona watoto wetu tunawalinda na hawakuuliwa ile trh 29/10 iweje tupende kuona watoto wa wenzetu tukiwatuma barabarani wazazi tukatae hii dhambi
Ndio tatizo lenu machawa mashetani hamtaki kukiface chonzo mnakimbilia matokeo
 
Samia kahaba taahira kilaza first class eti naye yupo ikulu , hili taifa LA wapumbavu Kabisa ,na majitu baadhi yapo humu yanakenua kiseng€ tu na kufurahia use ng€ wa huyu Malaya kiazi
 
Samuya ni kilaza mkubwa mno.

1. Hana ushawishi wowote ule kwa wananchi.

2. Haiba yake ni mbovu. Akiongea unatamani umzabe kibao labda akili itakaa sawa 🤡

3. Psychopaths wa CCM wanatumia ujuha wa Samuya kummislead kwenye mambo mengi yanayohitaji akili kubwa ndiyo maana unaona wakina baba na mbupu zao wanamshangilia.

4. Hii kitu yakuongozwa na rais kilaza imesababisha hadi nafasi zote za maamuzi zimejaa vilaza.

5. Nafasi za kiuongozi haziitaji vilaza, inahitaji akili kubwa lakini pia uwezo wakuvumilia kukosolewa.

6. Hutaki acha kuwa rais, nenda kamwe kahawa na ndugu zako.
 
Yaani Leo hii mimi naweza ongoza hili taifa na kulibadilisha Kabisa Ila hawa ******* mithili ya kahaba samia waliopo Kama maharamia hii nchi ni failed state / banana republic tena certified Kabisa
 
Tatizo ni katiba yetu ni mbovu.Tunatakiwa tuwe na katiba ambayo inamwajibisha RAIS pale anapofanya ujingaujinga kama anavyofanya huyu.Katiba imempa mserereko wa kupata urais pasipo kutafuta Kwa wananchi.Naamini akigombea hakuna mtu wa kumchagua ndiyo maana 29/10/2025 watu walikataa kupiga kura na kuanza kuandamana.kura alizojitangaza kuwa ni mshindi ni za uongo.hapakuwa na uchaguzi
 
Honestly mtu aliyeishia kidato cha nne mwisho wake kwenye ushiriki na nyadhifa za kisiasa ni kuwa mjumbe wa chama husika.Kumuamini mtu wa hivyo kuongoza population ambayo hiko diversified ni kutafuta anguko la bure tu.

Huyu mwenzetu shule hana na kichwani ni mweupe kabisa.Basi tu ashukuliwe Mungu mtoa ridhiki maana humpatia atakaye.
 
Back
Top Bottom