Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,771
- 10,311
Bandiko fupi lakini limebeba ujumbe mzito. Upo sahihi 100%Samia Suluhu Hassan hana sifa hizo ndiyomaana anapambana kuua watu wenye upeo mkubwa wa akili wanaomwambia ukweli.
"Ni hatari sana kuwa sahihi wakati serikali inakosea" Maxence Melo.
Mada imekuibua chawa,je ni nini kinafanya watu wafanye fujo?,wewe ni chotara wa kenge na binadamuNjia ya uhakika ya kuwapambania GEN Z ni kuhakikisha , tunawazuia kufanya vurugu na maandamano ili wasiuliwe na kupata ulemavu au kuishia magerezani Kama sisi tulivyoishi na kuwaona wajukuu na wao wanabidi kuishi sisi watu wazima tuache ubinafsi mbona watoto wetu tunawalinda na hawakuuliwa ile trh 29/10 iweje tupende kuona watoto wa wenzetu tukiwatuma barabarani wazazi tukatae hii dhambi
Ifike mahali watu wakubali ukweli, siyo kila mtu mwenye kujua kusoma na uandika anaweza kuwa RAISSamia Suluhu Hassan hana sifa hizo ndiyomaana anapambana kuua watu wenye upeo mkubwa wa akili wanaomwambia ukweli.
"Ni hatari sana kuwa sahihi wakati serikali inakosea" Maxence Melo.
Njia ya uhakika ya kuwapambania GEN Z ni kuhakikisha , tunawazuia kufanya vurugu na maandamano ili wasiuliwe na kupata ulemavu au kuishia magerezani Kama sisi tulivyoishi na kuwaona wajukuu na wao wanabidi kuishi sisi watu wazima tuache ubinafsi mbona watoto wetu tunawalinda na hawakuuliwa ile trh 29/10 iweje tupende kuona watoto wa wenzetu tukiwatuma barabarani wazazi tukatae hii dhambiMada imekuibua chawa,je ni nini kinafanya watu wafanye fujo?,wewe ni chotara wa kenge na binadamu
Inasemekana mnamchukia Rais sababu ya dini yake.Samia Suluhu Hassan hana sifa hizo ndiyomaana anapambana kuua watu wenye upeo mkubwa wa akili wanaomwambia ukweli.
"Ni hatari sana kuwa sahihi wakati serikali inakosea" Maxence Melo.
Ndio tatizo lenu machawa mashetani hamtaki kukiface chonzo mnakimbilia matokeoNjia ya uhakika ya kuwapambania GEN Z ni kuhakikisha , tunawazuia kufanya vurugu na maandamano ili wasiuliwe na kupata ulemavu au kuishia magerezani Kama sisi tulivyoishi na kuwaona wajukuu na wao wanabidi kuishi sisi watu wazima tuache ubinafsi mbona watoto wetu tunawalinda na hawakuuliwa ile trh 29/10 iweje tupende kuona watoto wa wenzetu tukiwatuma barabarani wazazi tukatae hii dhambi
HaaaaaNdio tatizo lenu machawa mashetani hamtaki kukiface chonzo mnakimbilia matokeo