Rais Anapaswa Kuwa Mtu Mwenye Maono Makubwa na Upeo Mkubwa Kiakili

Ukiwa na Rais wa hovyo, asiyejiamini kitu anachoweza huwa ni kuuwa tu. Ila auwaye kwa upanga, naye atakufa kwa upanga.
 
Inasemekana mnamchukia Rais sababu ya dini yake.
Mbona Hayati Magufuli alipigwa sana spana na TEC/askofu Niwemugizi enzi zake. Walimchukia kwa sababu ya kabila lake?! Acha hoja ijibiwe kwa hoja sio kutafuta kichaka cha kukwepa kujibu hoja.
 
Samia Suluhu Hassan hana sifa hizo ndiyomaana anapambana kuua watu wenye upeo mkubwa wa akili wanaomwambia ukweli.

"Ni hatari sana kuwa sahihi wakati serikali inakosea" Maxence Melo.
ukuaji wa uchumi ni jukumu la mwananchi, serikali kazi yake kuweka mazingira
 
Samuya hafai hata kua mjumbe wa nyumba 10 sababu hana conflict resolution skills.

Madhara ya kuishi kwa kubebana bebana imepelekea ngumbaru kudondokea ikulu.
Kabisa yani huyu mama inabidi atolewe hapo haraka sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…