Rais anapata wapi mamlaka ya kuagiza Spika asilipe posho za Wabunge?

Mawazo mgando KABISA


WEWE unadhani Bunge linakusanya kodi???

Hao chadema wasiokuwa na mwelekeo ndo wakalipwe posho ya vikao wakiwa nyumbani.


Huo UJINGER UNAOUWAZA HAUPO KATIKA TANZANIA

Sent using Jamii Forums mobile app
Hoja hapa ni uhalali wa hilo AGIZO la Rais. Ni kweli tuna Mihimili mitatu inayojitegemea au ni danganya toto tu? Ikiwa Bunge na Mahakama vimewekwa MFUKONI na Rais, vipi kuhusu ile Tume yake ya Uchaguzi?
 
Ebo! Kumbe ulitegemea walipwe kwa kujiweka karantine na makahaba hotelini dodoma! Nina uhakika hata mh. Spika angefanya hivyo hata bila kushauriwa na rais! Kama hii kwako ni chungu pole lakini ndio ukwwli!
 
Rais hakupaswa kutamka kauli ile, hapo ndipo utata wa uwepo wa mihimili mitatu unapoanzia. Magufuli amedhihirisha kuwa yeye ni mtawala wa MABAVU. Period.
Atamke au asitamke, katiba ya tanzania inampa mamlaka rais ya kifalme! Na yy hawezi kaa kimya anapoona jamaa wanacheza makida! Kama rais wa nchi hii lazima angewasiliana na spika kujua msimamo wake kulingana na kanuni taratibu na sheria za kibunge! Uzuri wa rais wetu hajuagi kuweka vitu moyoni yy anavitoa!
Hii haina maana ya mabavu ni kuhakikisha wote tupo on same page!
 
Amesema ametoa AGIZO kwa Spika, jaribu kuwa na akili japo kidogo Mkuu.
 
naona wengi wanachangia hoja hii kwa kupiga stori,, yaani wanapiga stori . wanataaluma tusaidieni hiyo dhana ya mihimili ikoje na Rais anasimama vipi katika mihili hyo?
 
Rubish kabisa!!
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe hufahamu kama Rais ni sehemu ya Bunge? Pia hufahamu kama ndiye mkuu wa Nchi hii?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbowe alipata wapi mamlaka ya kuwazuia wabunge kuhudhuria vikao vya bunge?. Bunge huomba pesa kutoka serikali kuu hivyo udhibiti wa matumizi yake ni muhimu. Utatu wa mihimili hauifanyi kuwa sawa kikatiba
 
Kwani Bunge wanatoa wapi hela na nani anaidhinisha hela ziende Bungeni? Ili Bunge lipewe hela lazima litoe justification ya matumizi yake, sasa justification za waliojifungia ndani hawaendi kwenye vikao zitatoka wapi ili nao walipwe?

Unaongea utoto gani we dogo? Kwani mbunge ambaye haingii kwenye kikao huwa analipwa posho?
 
Unao
Tuliwaonya Chadema

Mbowe alaumiwe ktk hili

Ukishakua mbunge unafuata sheria za bunge na sio chama

Nitawashangaa wabunge km wataendelea kubaki Chadema
Unaogopa kukosa 300,000/= kwa siku
 
Spika Bosi wake ni Mkuu wa CCM, ambaye ni Raisi wa JMTZ, na fedha yote ya Serikali ya JMTZ msimamizi wake ni Raisi wa JMTZ, Bunge linapewa fedha za walipa kodi wa JMTZ na msimamizi wa Kodi zetu ni Raisi wa JMTZ, ...
Pia Rais ndio kapewa mandate ya kusimamia Mali zetu kikatiba.
 
Magufuli anajua posho lazima usign ndo upewe, ni utaratibu upo miaka yote Sasa kulikua na haja gan kuongelea kitu ambacho kinajulikana Kama sio ujuha
 
Pumbavu,... bungeni hamtaki kwenda, ila pesa zetu munazitaka!?
Jinga sana nyie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaongea kishabiki sana, for your information hata huku kwa mfanyakazi bila mkopo Kuna mambo huwez kufanya kwa hiyo hata huku watu wanadaiwa na bank, kwa hiyo kudaiwa sio ajabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…