Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ohoo! Kumbe ndio asili ya neno Ngwini! Yeah, nishasoma novel nyingi tu za Penguin. Wale huwa hawanaga academic books kama Prentince Hall ambao ni subsidiary ya Pearson PLCFrom the world Penguin --- wale publishers maarufu wa vitabu duniani. Mara nyingi wao wakipublish manovo vovo meengi.
Maneno ya watu wa UDSM hayo.Katika onyo lake kuhusu watu wanaotoa takwimu zinazotofautiana na zile za idara ya takwimu ya taifa, rais amesema "... unakuta ngwini mmoja amebobea huko anatoa takwimu kwamba anajua kutengeneza takwimu .... Alikuwa ana maanisha nini?
Wee! Tutake radhi watu wa Bcom, Computer science, Botany na Zoology...Mangwini ni wasiosoma sayansi sanasana walio nje ya coet hahaha
Tafuta PhD ili uheshimu wenye PhDKuna ngwini mwingine Ikulu inadaiwa ana Phd ya kuchoma korosho ila watu walioutafuta ushahidi wanadai hakuna uthibitisho wa hilo.
Yaa, ni kwa sababu ya novels nyingi kuchapishwa na kampuni ya Penguin ambazo watu wa Arts walizisoma kwa wingi, sisi wa Sciences tukawa tunawaita mapenguin. Likawa linafupishwa mangwini au ngwin akiwa mmoja. Lilijaa kejeli na dharau na wenyewe hawakulipendaOhoo! Kumbe ndio asili ya neno Ngwini! Yeah, nishasoma novel nyingi tu za Penguin. Wale huwa hawanaga academic books kama Prentince Hall ambao ni subsidiary ya Pearson PLC
Shida inakuja pale unapotumia maneno hayo hayo kumwelezea yeye unakamatwa na kushtakiwa. Alisema wale wanachuo waliofukuzwa Udom ni vilaza. Raia mmoja alipotumia neno hilo hilo kumwelezea yeye alijikuta mikononi mwa polisi kisha mahakamani na kuhukumiwa miezi 6 au kulipa mil 5 Raia alilipa. Kuna kiongozi mwingine atawaita watu wapumbavu au wajinga na asifanywe kitu. Lakini baadaye watu wakimwita yeye hivyo tayari wanaambiwa amekashifu. Quit unfair!.
Anamaanisha wale ambao hawakusoma masomo ya sayansi, wale waliosomea masomo ya arts. Zamani walitumia vitabu vilivyochapishwa na penguin house (Ngwini) vya Uingereza.
Katika masomo ya sayansi tokea mwanzoni kabisa mtu anafundishwa jinsi ya kutumia vipimo au data kufafanua na kuonesha njia ya kupata jibu pamoja na kujua limits.
Utakuta mtu akifikia elimu ya chuo kikuu teyari utaratibu huo kwake ni wa kawaida na hawezi kukosea. Sasa Mh. Rais alikuwa anampiga mtu dongo ambaye ni 'NGWINI' kwa kufanya makosa ya kutumia data bila kujua msingi wake na kuziwasilisha jumla jumla.
Kwani alitoa takwimu?Itakuwa mzee wa nywele nyeupe mana ana degree ya kuogelea
Asijua ungwini ni ngwiniManeno ya watu wa UDSM hayo.
Ngwini ni mtu anayesoma mitabu ya "Penguin". Penguin = Ngwini. Sanasana watu wa literature na humanities ambao wanaogopa namba.
Rais anatumia misamiati ya mtaani na ya cliques fulani kiasi kwamba anawaacha Watanzania wengi hawajui anasema nini.
Poor communication skills.
Mana ndo mangwini wenyew wale ko inawezekana
Sio kila mtu kasoma UDSM na vyuo vyenu hivyo.Asijua ungwini ni ngwini