Rais anaposema "Ngwini" ana maana gani?

Rais anaposema "Ngwini" ana maana gani?

From the world Penguin --- wale publishers maarufu wa vitabu duniani. Mara nyingi wao wakipublish manovo vovo meengi.
Ohoo! Kumbe ndio asili ya neno Ngwini! Yeah, nishasoma novel nyingi tu za Penguin. Wale huwa hawanaga academic books kama Prentince Hall ambao ni subsidiary ya Pearson PLC
 
Katika onyo lake kuhusu watu wanaotoa takwimu zinazotofautiana na zile za idara ya takwimu ya taifa, rais amesema "... unakuta ngwini mmoja amebobea huko anatoa takwimu kwamba anajua kutengeneza takwimu .... Alikuwa ana maanisha nini?
Maneno ya watu wa UDSM hayo.

Ngwini ni mtu anayesoma mitabu ya "Penguin". Penguin = Ngwini. Sanasana watu wa literature na humanities ambao wanaogopa namba.

Rais anatumia misamiati ya mtaani na ya cliques fulani kiasi kwamba anawaacha Watanzania wengi hawajui anasema nini.

Poor communication skills.
 
Kuna ngwini mwingine Ikulu inadaiwa ana Phd ya kuchoma korosho ila watu walioutafuta ushahidi wanadai hakuna uthibitisho wa hilo.
Tafuta PhD ili uheshimu wenye PhD
 
Ohoo! Kumbe ndio asili ya neno Ngwini! Yeah, nishasoma novel nyingi tu za Penguin. Wale huwa hawanaga academic books kama Prentince Hall ambao ni subsidiary ya Pearson PLC
Yaa, ni kwa sababu ya novels nyingi kuchapishwa na kampuni ya Penguin ambazo watu wa Arts walizisoma kwa wingi, sisi wa Sciences tukawa tunawaita mapenguin. Likawa linafupishwa mangwini au ngwin akiwa mmoja. Lilijaa kejeli na dharau na wenyewe hawakulipenda
 
.
Anamaanisha wale ambao hawakusoma masomo ya sayansi, wale waliosomea masomo ya arts. Zamani walitumia vitabu vilivyochapishwa na penguin house (Ngwini) vya Uingereza.

Katika masomo ya sayansi tokea mwanzoni kabisa mtu anafundishwa jinsi ya kutumia vipimo au data kufafanua na kuonesha njia ya kupata jibu pamoja na kujua limits.

Utakuta mtu akifikia elimu ya chuo kikuu teyari utaratibu huo kwake ni wa kawaida na hawezi kukosea. Sasa Mh. Rais alikuwa anampiga mtu dongo ambaye ni 'NGWINI' kwa kufanya makosa ya kutumia data bila kujua msingi wake na kuziwasilisha jumla jumla.
Shida inakuja pale unapotumia maneno hayo hayo kumwelezea yeye unakamatwa na kushtakiwa. Alisema wale wanachuo waliofukuzwa Udom ni vilaza. Raia mmoja alipotumia neno hilo hilo kumwelezea yeye alijikuta mikononi mwa polisi kisha mahakamani na kuhukumiwa miezi 6 au kulipa mil 5 Raia alilipa. Kuna kiongozi mwingine atawaita watu wapumbavu au wajinga na asifanywe kitu. Lakini baadaye watu wakimwita yeye hivyo tayari wanaambiwa amekashifu. Quit unfair!

Sent from my SM-N9005 using JamiiForums mobile app
 
Maneno ya watu wa UDSM hayo.

Ngwini ni mtu anayesoma mitabu ya "Penguin". Penguin = Ngwini. Sanasana watu wa literature na humanities ambao wanaogopa namba.

Rais anatumia misamiati ya mtaani na ya cliques fulani kiasi kwamba anawaacha Watanzania wengi hawajui anasema nini.

Poor communication skills.
Asijua ungwini ni ngwini
 
Tatizo la nchi yetu ngwini wengi ndio wako kwenye uchumi
 
Back
Top Bottom