The man is extremely stubborn. He does what he want, when he want, and at any place. Sasa usalama watamdhibiti vipi mtu wa aina hiyo!!?Kwa kweli kuna saa nabaki tu kumuombea Mh. sana Mwenyekiti wangu.
Nafikiri kuna saa mambo yanakuwa mengi sana na kumlemea.
Pia, kuna haja kujali nafasi ya za juu za nchi kwa kupima afya za viongozi mara kwa mara.
Vilevile, kitengo kwa uhalisia kinapaswa kuwa na watalaam wa kila nyanja. Hawa walipaswa kuwa na uelewa wa mood ya kiongozi na vitu gani vinavyosababisha kuharibu mood ili wakwepe pale inapobidi.
Haikuwepo sababu yeyote ya Mh. Rais kuhutubia baada ya kutoka kwenye msiba wa mtu aliyehusika kwa karibu sana na maisha yake ya siasa.
Idara ya usalama wa taifa ni taasisi ndani ya taasisi ya Urais, hivyo ina mamlaka na uwezo wa kumcontrol Rais kwa maslahi ya nchi na afya yake.
Wananchi wamemuambia kuwa hiyo ulikuwa ni ahadi yake wakati wa Kampeni 2015; hivyo wakamkumbusha kutekeleza kabla ya Octoba. Halmashauri na Mbunge wanahusikaje!? Ajenge au anyimwe kura na watu wa Kilwa, period!Suala la stendi liko chini ya Baraza la Madiwani ambalo mbunge ni mjumbe wa wake. Sasa kama mbunge hashiriki hivyo vikao au hapeleki mahitaji ya eneo lake hapo sasa kuna shida
Barabara ndio ilikuwa ahadi yake na sio stand nilimsikiliza mzungumzahiWananchi wamemuambia kuwa hiyo ulikuwa ni ahadi yake wakati wa Kampeni 2015; hivyo wakamkumbusha kutekeleza kabla ya Octoba. Halmashauri na Mbunge wanahusikaje!? Ajenge au anyimwe kura na watu wa Kilwa, period!
Mpaka tuje kutambua na kukubaliana kuwa tunaongozwa na mtu ambaye ana matatizo upstairs tutakuwa tumeishatoa umizwa beyond repairWatanzania wenzangu jana huko Rufiji kwa Mbunge Bwege, Rais Magufuli ametoa Kauli yenye ukakasi mkubwa. Baada ya wananchi kueleza shida yao ya kupata Stendi, Rais alisikika akiwaambia kuwa kipindi cha kampeni za uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 aliwaomba wamchagulie mtu kutoka CCM, wao wakamchagua Bwege. Hivyo aliwataka wamwambie huyo Bwege awajengee Stendi.
Hii ni Kauli ya kibaguzi na ambayo imetolewa na mtu ambaye aidha hafahamu kuwa kuna Ibara ya Katiba inakataza matamshi ya kibaguzi ya aina hii au anaelewa isipokuwa anaamini kwamba kwa kuwa ni Rais basi hawajibiki kufuata kilichomo kwenye Katiba ya Nchi.
Hebu tuangalie Katiba ya Nchi inasemaje kuhusu maana ya neno "ubaguzi:'
Ibata ya 9: (g) kwamba serikali na vyombo vyake vyote vya umma vinatoa nafasi zilizo sawa kwa raia wote, wake kwa waume, bila kujali Rangi, kabila, dini au Hali ya mtu.
(k) kwamba nchi inatawaliwa kidemokrasia na ujamaa."
Ibara ya 8 (1) "Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayofuata misingi ya demokrasia na haki za kijamii..."
Ibara ya 13(4) "Ni marufuku kwa mtu yeyote kubaguliwa na mtu au mamlaka yoyote inayotekeleza madaraka yake chini ya sheria yoyote au utekelezaji wa kazi au shughuli yoyote ya mamlaka ya nchi."
(5) "kwa madhumuni ya ufafanuzi wa masharti ya ibara hii neno " kubagua" maana yake ni kutimiza haja, haki, au mahitaji mengineyo kwa watu mbalimbali kwa kuzingatia utaifa wao, kabila, pahala wanapotokea, maoni ya kisiasa, rangi, dini, jinsia au hali yao ya maisha kwa namna ambayo watu wa aina fulani wanafanywa au kuhesabiwa kuwa dhaifu au duni na kuwekewa vikwazo au masharti ya vipingamizi ambapo watu wa aina nyingine wanatendewa tofauti, au wanapewa fursa au faida iliyoko nje ya masharti au sifa za lazima..."
Hiyo ndiyo Katiba ya Jamhuri. Inakataza ubaguzi wa kupeleka maendeleo kwa Wana CCM tu kwa sababu kwamba yeye Rais anataka kufanya kazi na Wana CCM tu.
Kuna mtu atasema rais alikuwa anafanya siasa, kama ni hivyo basi hizo zitakuwa ni siasa za maji taka (gutter politics) ambazo ndizo hasa zinakatazwa na ibara za Katiba nilizoanisha hapo juu.
Ni rai yangu kwa wananchi wa Tanzania kuwa kwa kuwa tunaelekea kwenye uchaguzi mkuu mwezi Oktoba, basi wasimrejeshe madarakani mtawala anayedharau katazo la Katiba ya Nchi na kuamua kuwabagua kwa dhahiri.
Baba wa Taifa hili Mwalimu Nyerere aliwahi kusema: "Ubaguzi ni sawa na kula nyama ya mtu,..." Mtu huyo ataendelea kula nyama zaidi na zaidi.
Tumeona Waislamu wanalalamika kuwa wanabaguliwa katika utawala wa nchi, tumeona wananchi wakilalamika kuwa Chato inapendelewa ki maendeleo, tumesikia watu wakidai Wasukuma wanapewa madaraka kwa wingi japokuwa inajulikana kuwa usomi wao ni hafifu. Yote hayo husababishwa na roho ya ubaguzi iliyozama ndani mtawala.
Tusijidanganye kuwa ataishia kwenye ubaguzi wa kiitikadi za kisiasa pekee. Atazama zaidi.
Ndiyo maana leo Makabila yanaonekana ni watu wasiohitajika katika nafasi za juu katika taasisi za Ujenzi wa nchi wakati ukweli i kwa Kuna wasomi mahiri wengi huko katika makabila hayo kuliko katika makabila mengine nchini. Yote haya ni mazao ya ubaguzi. Tusikubali.
Come Octoba, piga chini mbaguzi na mdharau Katiba.
Asanteni.
Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere aliwahi kutuasa kwamba tumchague Rais, kisha tumwapishe kwa Katiba. Asipoheshimu Katiba tumwambie bayana kwamba " bwana, tunakupenda sana, wewe ni rafiki yetu, tuko tayari kukukaribisha chai lakini siyo Ikulu."NA NYIE TUMEWACHOKA KILA JAMBO MNATAKA KULIWEKA OVYO OVYO TU MPO KAMA MAPUNGA VILE
Watanzania wenzangu jana huko Rufiji kwa Mbunge Bwege, Rais Magufuli ametoa Kauli yenye ukakasi mkubwa. Baada ya wananchi kueleza shida yao ya kupata Stendi, Rais alisikika akiwaambia kuwa kipindi cha kampeni za uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 aliwaomba wamchagulie mtu kutoka CCM, wao wakamchagua Bwege. Hivyo aliwataka wamwambie huyo Bwege awajengee Stendi.
Hii ni Kauli ya kibaguzi na ambayo imetolewa na mtu ambaye aidha hafahamu kuwa kuna Ibara ya Katiba inakataza matamshi ya kibaguzi ya aina hii au anaelewa isipokuwa anaamini kwamba kwa kuwa ni Rais basi hawajibiki kufuata kilichomo kwenye Katiba ya Nchi.
Hebu tuangalie Katiba ya Nchi inasemaje kuhusu maana ya neno "ubaguzi:'
Ibata ya 9: (g) kwamba serikali na vyombo vyake vyote vya umma vinatoa nafasi zilizo sawa kwa raia wote, wake kwa waume, bila kujali Rangi, kabila, dini au Hali ya mtu.
(k) kwamba nchi inatawaliwa kidemokrasia na ujamaa."
Ibara ya 8 (1) "Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayofuata misingi ya demokrasia na haki za kijamii..."
Ibara ya 13(4) "Ni marufuku kwa mtu yeyote kubaguliwa na mtu au mamlaka yoyote inayotekeleza madaraka yake chini ya sheria yoyote au utekelezaji wa kazi au shughuli yoyote ya mamlaka ya nchi."
(5) "kwa madhumuni ya ufafanuzi wa masharti ya ibara hii neno " kubagua" maana yake ni kutimiza haja, haki, au mahitaji mengineyo kwa watu mbalimbali kwa kuzingatia utaifa wao, kabila, pahala wanapotokea, maoni ya kisiasa, rangi, dini, jinsia au hali yao ya maisha kwa namna ambayo watu wa aina fulani wanafanywa au kuhesabiwa kuwa dhaifu au duni na kuwekewa vikwazo au masharti ya vipingamizi ambapo watu wa aina nyingine wanatendewa tofauti, au wanapewa fursa au faida iliyoko nje ya masharti au sifa za lazima..."
Hiyo ndiyo Katiba ya Jamhuri. Inakataza ubaguzi wa kupeleka maendeleo kwa Wana CCM tu kwa sababu kwamba yeye Rais anataka kufanya kazi na Wana CCM tu.
Kuna mtu atasema rais alikuwa anafanya siasa, kama ni hivyo basi hizo zitakuwa ni siasa za maji taka (gutter politics) ambazo ndizo hasa zinakatazwa na ibara za Katiba nilizoanisha hapo juu.
Ni rai yangu kwa wananchi wa Tanzania kuwa kwa kuwa tunaelekea kwenye uchaguzi mkuu mwezi Oktoba, basi wasimrejeshe madarakani mtawala anayedharau katazo la Katiba ya Nchi na kuamua kuwabagua kwa dhahiri.
Baba wa Taifa hili Mwalimu Nyerere aliwahi kusema: "Ubaguzi ni sawa na kula nyama ya mtu,..." Mtu huyo ataendelea kula nyama zaidi na zaidi.
Tumeona Waislamu wanalalamika kuwa wanabaguliwa katika utawala wa nchi, tumeona wananchi wakilalamika kuwa Chato inapendelewa ki maendeleo, tumesikia watu wakidai Wasukuma wanapewa madaraka kwa wingi japokuwa inajulikana kuwa usomi wao ni hafifu. Yote hayo husababishwa na roho ya ubaguzi iliyozama ndani mtawala.
Tusijidanganye kuwa ataishia kwenye ubaguzi wa kiitikadi za kisiasa pekee. Atazama zaidi.
Ndiyo maana leo Makabila yanaonekana ni watu wasiohitajika katika nafasi za juu katika taasisi za Ujenzi wa nchi wakati ukweli i kwa Kuna wasomi mahiri wengi huko katika makabila hayo kuliko katika makabila mengine nchini. Yote haya ni mazao ya ubaguzi. Tusikubali.
Come Octoba, piga chini mbaguzi na mdharau Katiba.
Asanteni.
Hasira za ujio wa Lissu na zile ndonga za JK.
Amepaniki, godfather wake kasepa halafu Kuna vikao vya kamati kuu, nec, na mkutano mkuu.
CCM ni chama kinachotugawa wa TZ, baba ndio anaongoza kwa ubaguzi wa waziwazi
Anachoniudhi ni ile kauli yake kuwa yye ni msema kweli, na kwamba yeye ni Mpenzi wa Mungu!
Mbaguzi, roho mbaya, sijui akikaa chini huwa hatafakari kauli na matendo yake ajisikie aibu
Hakuna rais , mtu mishipa imemtoka kama kama nini kila kitu nguvu,mwambieni wilaya ya kongwa na mpwapwa hali mbaya kuna mbunge wa upinzani?
Siku ya Leo Nawakumbuka Wote Ambao Wapo Magereza Kwa Kesi Ambazo Dhamana Zipo Wazi Ila Kwa Makusudi ya Serikali Wamenyimwa, na Wale Ambao Kesi Zao Zinapigwa Kalenda Kila Zinapotajwa. Tito, Theo, Mwaipaya Pamoja na Masheikh Niwatakie EidMubarak. Mwenyenzi Mungu Awalinde.
Magufuli ni roho mbaya, katili, mbaguzi na ni laghai. Tabia yake hiyo ameambukiza wanaCCM wote, yaani tabia na sura zao ni za kichawichawi!
Mm nafirkiri tatizo siyo chama. Ni mtu. Tumuondoe huyu mtu mambo yatakuwa poa.
Nadhani inapaswa kutungwa sheria kuwa, Wana CCM pekee(wenye kadi) ndiyo wanapaswa kulipa Kodi ili wajengewe stendi n.k.
hivi tunakaa tunamkajidili huyu bwana wanini. nimeishasema october tumuondoe huyu, CCM wenyewe hawamtaki yeye mwenyewe anajua.
mtu mmoja anaaibisha taifa sababu tu anasign malipo ya wakandarasi?
Watanzania wenzangu jana huko Rufiji kwa Mbunge Bwege, Rais Magufuli ametoa Kauli yenye ukakasi mkubwa. Baada ya wananchi kueleza shida yao ya kupata Stendi, Rais alisikika akiwaambia kuwa kipindi cha kampeni za uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 aliwaomba wamchagulie mtu kutoka CCM, wao wakamchagua Bwege. Hivyo aliwataka wamwambie huyo Bwege awajengee Stendi.
Hii ni Kauli ya kibaguzi na ambayo imetolewa na mtu ambaye aidha hafahamu kuwa kuna Ibara ya Katiba inakataza matamshi ya kibaguzi ya aina hii au anaelewa isipokuwa anaamini kwamba kwa kuwa ni Rais basi hawajibiki kufuata kilichomo kwenye Katiba ya Nchi.
Hebu tuangalie Katiba ya Nchi inasemaje kuhusu maana ya neno "ubaguzi:'
Ibata ya 9: (g) kwamba serikali na vyombo vyake vyote vya umma vinatoa nafasi zilizo sawa kwa raia wote, wake kwa waume, bila kujali Rangi, kabila, dini au Hali ya mtu.
(k) kwamba nchi inatawaliwa kidemokrasia na ujamaa."
Ibara ya 8 (1) "Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayofuata misingi ya demokrasia na haki za kijamii..."
Ibara ya 13(4) "Ni marufuku kwa mtu yeyote kubaguliwa na mtu au mamlaka yoyote inayotekeleza madaraka yake chini ya sheria yoyote au utekelezaji wa kazi au shughuli yoyote ya mamlaka ya nchi."
(5) "kwa madhumuni ya ufafanuzi wa masharti ya ibara hii neno " kubagua" maana yake ni kutimiza haja, haki, au mahitaji mengineyo kwa watu mbalimbali kwa kuzingatia utaifa wao, kabila, pahala wanapotokea, maoni ya kisiasa, rangi, dini, jinsia au hali yao ya maisha kwa namna ambayo watu wa aina fulani wanafanywa au kuhesabiwa kuwa dhaifu au duni na kuwekewa vikwazo au masharti ya vipingamizi ambapo watu wa aina nyingine wanatendewa tofauti, au wanapewa fursa au faida iliyoko nje ya masharti au sifa za lazima..."
Hiyo ndiyo Katiba ya Jamhuri. Inakataza ubaguzi wa kupeleka maendeleo kwa Wana CCM tu kwa sababu kwamba yeye Rais anataka kufanya kazi na Wana CCM tu.
Kuna mtu atasema rais alikuwa anafanya siasa, kama ni hivyo basi hizo zitakuwa ni siasa za maji taka (gutter politics) ambazo ndizo hasa zinakatazwa na ibara za Katiba nilizoanisha hapo juu.
Ni rai yangu kwa wananchi wa Tanzania kuwa kwa kuwa tunaelekea kwenye uchaguzi mkuu mwezi Oktoba, basi wasimrejeshe madarakani mtawala anayedharau katazo la Katiba ya Nchi na kuamua kuwabagua kwa dhahiri.
Baba wa Taifa hili Mwalimu Nyerere aliwahi kusema: "Ubaguzi ni sawa na kula nyama ya mtu,..." Mtu huyo ataendelea kula nyama zaidi na zaidi.
Tumeona Waislamu wanalalamika kuwa wanabaguliwa katika utawala wa nchi, tumeona wananchi wakilalamika kuwa Chato inapendelewa ki maendeleo, tumesikia watu wakidai Wasukuma wanapewa madaraka kwa wingi japokuwa inajulikana kuwa usomi wao ni hafifu. Yote hayo husababishwa na roho ya ubaguzi iliyozama ndani mtawala.
Tusijidanganye kuwa ataishia kwenye ubaguzi wa kiitikadi za kisiasa pekee. Atazama zaidi.
Ndiyo maana leo Makabila yanaonekana ni watu wasiohitajika katika nafasi za juu katika taasisi za Ujenzi wa nchi wakati ukweli i kwa Kuna wasomi mahiri wengi huko katika makabila hayo kuliko katika makabila mengine nchini. Yote haya ni mazao ya ubaguzi. Tusikubali.
Come Octoba, piga chini mbaguzi na mdharau Katiba.
Asanteni.
Na iwe ilivyoandikwa. AMINAWatanzania wenzangu jana huko Rufiji kwa Mbunge Bwege, Rais Magufuli ametoa Kauli yenye ukakasi mkubwa. Baada ya wananchi kueleza shida yao ya kupata Stendi, Rais alisikika akiwaambia kuwa kipindi cha kampeni za uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 aliwaomba wamchagulie mtu kutoka CCM, wao wakamchagua Bwege. Hivyo aliwataka wamwambie huyo Bwege awajengee Stendi.
Hii ni Kauli ya kibaguzi na ambayo imetolewa na mtu ambaye aidha hafahamu kuwa kuna Ibara ya Katiba inakataza matamshi ya kibaguzi ya aina hii au anaelewa isipokuwa anaamini kwamba kwa kuwa ni Rais basi hawajibiki kufuata kilichomo kwenye Katiba ya Nchi.
Hebu tuangalie Katiba ya Nchi inasemaje kuhusu maana ya neno "ubaguzi:'
Ibata ya 9: (g) kwamba serikali na vyombo vyake vyote vya umma vinatoa nafasi zilizo sawa kwa raia wote, wake kwa waume, bila kujali Rangi, kabila, dini au Hali ya mtu.
(k) kwamba nchi inatawaliwa kidemokrasia na ujamaa."
Ibara ya 8 (1) "Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayofuata misingi ya demokrasia na haki za kijamii..."
Ibara ya 13(4) "Ni marufuku kwa mtu yeyote kubaguliwa na mtu au mamlaka yoyote inayotekeleza madaraka yake chini ya sheria yoyote au utekelezaji wa kazi au shughuli yoyote ya mamlaka ya nchi."
(5) "kwa madhumuni ya ufafanuzi wa masharti ya ibara hii neno " kubagua" maana yake ni kutimiza haja, haki, au mahitaji mengineyo kwa watu mbalimbali kwa kuzingatia utaifa wao, kabila, pahala wanapotokea, maoni ya kisiasa, rangi, dini, jinsia au hali yao ya maisha kwa namna ambayo watu wa aina fulani wanafanywa au kuhesabiwa kuwa dhaifu au duni na kuwekewa vikwazo au masharti ya vipingamizi ambapo watu wa aina nyingine wanatendewa tofauti, au wanapewa fursa au faida iliyoko nje ya masharti au sifa za lazima..."
Hiyo ndiyo Katiba ya Jamhuri. Inakataza ubaguzi wa kupeleka maendeleo kwa Wana CCM tu kwa sababu kwamba yeye Rais anataka kufanya kazi na Wana CCM tu.
Kuna mtu atasema rais alikuwa anafanya siasa, kama ni hivyo basi hizo zitakuwa ni siasa za maji taka (gutter politics) ambazo ndizo hasa zinakatazwa na ibara za Katiba nilizoanisha hapo juu.
Ni rai yangu kwa wananchi wa Tanzania kuwa kwa kuwa tunaelekea kwenye uchaguzi mkuu mwezi Oktoba, basi wasimrejeshe madarakani mtawala anayedharau katazo la Katiba ya Nchi na kuamua kuwabagua kwa dhahiri.
Baba wa Taifa hili Mwalimu Nyerere aliwahi kusema: "Ubaguzi ni sawa na kula nyama ya mtu,..." Mtu huyo ataendelea kula nyama zaidi na zaidi.
Tumeona Waislamu wanalalamika kuwa wanabaguliwa katika utawala wa nchi, tumeona wananchi wakilalamika kuwa Chato inapendelewa ki maendeleo, tumesikia watu wakidai Wasukuma wanapewa madaraka kwa wingi japokuwa inajulikana kuwa usomi wao ni hafifu. Yote hayo husababishwa na roho ya ubaguzi iliyozama ndani mtawala.
Tusijidanganye kuwa ataishia kwenye ubaguzi wa kiitikadi za kisiasa pekee. Atazama zaidi.
Ndiyo maana leo Makabila yanaonekana ni watu wasiohitajika katika nafasi za juu katika taasisi za Ujenzi wa nchi wakati ukweli i kwa Kuna wasomi mahiri wengi huko katika makabila hayo kuliko katika makabila mengine nchini. Yote haya ni mazao ya ubaguzi. Tusikubali.
Come Octoba, piga chini mbaguzi na mdharau Katiba.
Asanteni.
Hoja yako ni nzuri sana ila katiba ndugu katibaaaKwa kweli kuna saa nabaki tu kumuombea Mh. sana Mwenyekiti wangu.
Nafikiri kuna saa mambo yanakuwa mengi sana na kumlemea.
Pia, kuna haja kujali nafasi ya za juu za nchi kwa kupima afya za viongozi mara kwa mara.
Vilevile, kitengo kwa uhalisia kinapaswa kuwa na watalaam wa kila nyanja. Hawa walipaswa kuwa na uelewa wa mood ya kiongozi na vitu gani vinavyosababisha kuharibu mood ili wakwepe pale inapobidi.
Haikuwepo sababu yeyote ya Mh. Rais kuhutubia baada ya kutoka kwenye msiba wa mtu aliyehusika kwa karibu sana na maisha yake ya siasa.
Idara ya usalama wa taifa ni taasisi ndani ya taasisi ya Urais, hivyo ina mamlaka na uwezo wa kumcontrol Rais kwa maslahi ya nchi na afya yake.
Shida nyingine kuhusu Katiba kwa sasa ni eti Mwigulu Nchemba ndiye mshauri mkuu wa Rais wa Sheria na Katiba!!!Hoja yako ni nzuri sana ila katiba ndugu katibaaa
Kalpana, kina mama mmetuangusha sana safari hii. Yaani zile kauli "Nawewe nakuteua uende ukagombee wanaume na DC" , nyie mkapiga kimyaa kama vile ni sawa. Hakuna cha TAMWA, TAWLA, TGNP wala nani aliyeinua sauti japo kuonyesha kuchukizwaYani Huyu baba kuna muda anakera sanaa
Asante mkuu. Tatizo kubwa ni kwamba walau hayo ya kumpatia mama yake mtoa jogoo si neno kubwa. Lakini inapofikia kiwango cha kutojali Katiba ya nchi maana take kuu ni mtu asiyeweza kuthamini hata uhai wa Watanzania unaolindwa na Katiba.Japo nampenda,, kuna wakati mpaka nahisi huenda Mkuu anapungukiwa kitu kichwani. Kuna kauli anazitoa mpaka msikilizaji, mtazamaji au msomaji unaona aibu kwa kauli hiyo kutolewa na mtu mwenye hadhi yake. Inasikitisha sana kwani hakuna mahali atatoa hizo hotuba za ghafla (zisizo na maandalizi) pasipo kujeruhi nafsi za watu wakiwemo wanaomkubali na kumpenda kama mimi. Kumpenda mtu haimaanishi kujitia upofu usione mapungufu yake.
Kauli yake ya jana kwa yule Mzee aliyempatia zawadi ya Jogoo eti kuwa "atampatia mama yake" na juu ya Bwege zilinisononesha sana. Mkuu anapaswa kuwa na maneno machache,vinginevyo ataweka rekodi ya kuwa Rais wa kwanza wa nchi hii "kuponyokwa" na maneno hovyo-hovyo.