Rais anapovunja Katiba kwa kauli ya kibaguzi

Rais anapovunja Katiba kwa kauli ya kibaguzi

Kalpana, kina mama mmetuangusha sana safari hii. Yaani zile kauli "Nawewe nakuteua uende ukagombee wanaume na DC" , nyie mkapiga kimyaa kama vile ni sawa. Hakuna cha TAMWA, TAWLA, TGNP wala nani aliyeinua sauti japo kuonyesha kuchukizwa
Ahaahaaaa hakuna jiwe litasalia juu ya Jiwe
 
Back
Top Bottom