Rais anapovunja Katiba kwa kauli ya kibaguzi

Suala la stendi liko chini ya Baraza la Madiwani ambalo mbunge ni mjumbe wa wake. Sasa kama mbunge hashiriki hivyo vikao au hapeleki mahitaji ya eneo lake hapo sasa kuna shida
 
The man is extremely stubborn. He does what he want, when he want, and at any place. Sasa usalama watamdhibiti vipi mtu wa aina hiyo!!?
 
Suala la stendi liko chini ya Baraza la Madiwani ambalo mbunge ni mjumbe wa wake. Sasa kama mbunge hashiriki hivyo vikao au hapeleki mahitaji ya eneo lake hapo sasa kuna shida
Wananchi wamemuambia kuwa hiyo ulikuwa ni ahadi yake wakati wa Kampeni 2015; hivyo wakamkumbusha kutekeleza kabla ya Octoba. Halmashauri na Mbunge wanahusikaje!? Ajenge au anyimwe kura na watu wa Kilwa, period!
 
Unasemea katiba hii ya nchi etu imekuwa useless toka 2015 ? Si bora tungetumia biblia na Quran.
 
Wananchi wamemuambia kuwa hiyo ulikuwa ni ahadi yake wakati wa Kampeni 2015; hivyo wakamkumbusha kutekeleza kabla ya Octoba. Halmashauri na Mbunge wanahusikaje!? Ajenge au anyimwe kura na watu wa Kilwa, period!
Barabara ndio ilikuwa ahadi yake na sio stand nilimsikiliza mzungumzahi
 
Mpaka tuje kutambua na kukubaliana kuwa tunaongozwa na mtu ambaye ana matatizo upstairs tutakuwa tumeishatoa umizwa beyond repair
 
NA NYIE TUMEWACHOKA KILA JAMBO MNATAKA KULIWEKA OVYO OVYO TU MPO KAMA MAPUNGA VILE
Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere aliwahi kutuasa kwamba tumchague Rais, kisha tumwapishe kwa Katiba. Asipoheshimu Katiba tumwambie bayana kwamba " bwana, tunakupenda sana, wewe ni rafiki yetu, tuko tayari kukukaribisha chai lakini siyo Ikulu."
 
Jamani tusimwache huyu mtu apite October anatugawa na kutuchanganya sana. Nafikiri maamuzi yake mabaya yataleta madhara makubwa nchii hasa kipindi cha pili, unajua kipindi cha kwanza alikuwa bado anabembeleza, kipindi kijacho watu watajuta.
Hasira za ujio wa Lissu na zile ndonga za JK.
Amepaniki, godfather wake kasepa halafu Kuna vikao vya kamati kuu, nec, na mkutano mkuu.
CCM ni chama kinachotugawa wa TZ, baba ndio anaongoza kwa ubaguzi wa waziwazi
Anachoniudhi ni ile kauli yake kuwa yye ni msema kweli, na kwamba yeye ni Mpenzi wa Mungu!

Mbaguzi, roho mbaya, sijui akikaa chini huwa hatafakari kauli na matendo yake ajisikie aibu
Magufuli ni roho mbaya, katili, mbaguzi na ni laghai. Tabia yake hiyo ameambukiza wanaCCM wote, yaani tabia na sura zao ni za kichawichawi!
Mm nafirkiri tatizo siyo chama. Ni mtu. Tumuondoe huyu mtu mambo yatakuwa poa.
Nadhani inapaswa kutungwa sheria kuwa, Wana CCM pekee(wenye kadi) ndiyo wanapaswa kulipa Kodi ili wajengewe stendi n.k.
hivi tunakaa tunamkajidili huyu bwana wanini. nimeishasema october tumuondoe huyu, CCM wenyewe hawamtaki yeye mwenyewe anajua.
mtu mmoja anaaibisha taifa sababu tu anasign malipo ya wakandarasi?
 


Japo nampenda,, kuna wakati mpaka nahisi huenda Mkuu anapungukiwa kitu kichwani. Kuna kauli anazitoa mpaka msikilizaji, mtazamaji au msomaji unaona aibu kwa kauli hiyo kutolewa na mtu mwenye hadhi yake. Inasikitisha sana kwani hakuna mahali atatoa hizo hotuba za ghafla (zisizo na maandalizi) pasipo kujeruhi nafsi za watu wakiwemo wanaomkubali na kumpenda kama mimi. Kumpenda mtu haimaanishi kujitia upofu usione mapungufu yake.

Kauli yake ya jana kwa yule Mzee aliyempatia zawadi ya Jogoo eti kuwa "atampatia mama yake" na juu ya Bwege zilinisononesha sana. Mkuu anapaswa kuwa na maneno machache,vinginevyo ataweka rekodi ya kuwa Rais wa kwanza wa nchi hii "kuponyokwa" na maneno hovyo-hovyo.
 
Kwani majimbo yanaoongozwa na CCM hayana shida zozote, mfano pale Kongwa changamoto ya maji ilishatatuliwa, au hapa tatizo ni mbunge kuwa wa upinzaniii?
 
Na iwe ilivyoandikwa. AMINA
 
Hoja yako ni nzuri sana ila katiba ndugu katibaaa
 
Asante mkuu. Tatizo kubwa ni kwamba walau hayo ya kumpatia mama yake mtoa jogoo si neno kubwa. Lakini inapofikia kiwango cha kutojali Katiba ya nchi maana take kuu ni mtu asiyeweza kuthamini hata uhai wa Watanzania unaolindwa na Katiba.
Tukimpenda twaweza kumwalika chai kwenye nyumba zetu lakini kwa hakika tusimruhusu aendelee kukaa Ikulu baada ya Octoba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…