OLS
JF-Expert Member
- Oct 12, 2019
- 426
- 685
Rais Samia ameonesha kuwa anafahamu ongezeko la bei linaloendelea kwenye bidhaa mbalimbali nchini, na amesema ongezeko litaendelea kutokea kwa kuwa Vita vya Urusi na Ukraine vinaendelea.
Kwa kutambua kuwa ongezeko la bei kunashusha thamani ya fedha na kupunguza nguvu ya kununua (Purchasing power). Je Rais, atawaongezea mishahara sawa na ongezeko la bei linaloendelea ili kuwafanya watumishi wasiathirike na ongezeko la bei lililoko na litakaloendelea kama anavyosema.
Ikumbuke, thamani ya fedha inapofinywa umasikini unaongezeka na kuathiri hata biashara kwa ujumla kwa kuwa watu hawatakuwa na fedha ya kununua bidhaa husika.
Kuelekea Mei Mosi
Signed
OEDIPUS