Rais anatambua bei za vitu zinapanda. Je, ataongeza mishahara?

Kwamba Michele na unga vimepanda 200%..uko Tanzania gani!?..ya jahannam!?
Vitu sio mchele na unga tu
Ila kuhusu 200% ni kweli Kuna bidhaa zimefika hapo.
Mchele na unga hutegemea pembejeo na ni kweli pembejeo zimeongezeka kwa asilimia hizo 200
Mbolea ilikua 50000 kwa Sasa ni 150,000
 
Mbolea gani laki na nusu!?...mbolea zimepanda tangu mwaka Jana katikati, vyakula vimepanda hiyo 200%
 
Rais Samia ameonesha kuwa anafahamu ongezeko la bei linaloendelea kwenye bidhaa mbalimbali nchini, na amesema ongezeko litaendelea kutokea kwa kuwa Vita vya Urusi na Ukraine vinaendelea.

Kwa kutambua kuwa ongezeko la bei kunashusha thamani ya fedha na kupunguza nguvu ya kununua (Purchasing power). Je Rais, atawaongezea mishahara sawa na ongezeko la bei linaloendelea ili kuwafanya watumishi wasiathirike na ongezeko la bei lililoko na litakaloendelea kama anavyosema.

Ikumbuke, thamani ya fedha inapofinywa umasikini unaongezeka na kuathiri hata biashara kwa ujumla kwa kuwa watu hawatakuwa na fedha ya kununua bidhaa husika.

Kuelekea Mei Mosi
Signed
OEDIPUS
Muhimu kwa serikali huu kuthibiti mfumuko wa bei sababu unaathiri kila kitu. Hasa bei ya mafuta na chakula.

Ukiongeza mshahara leo bei zinaongezeka kesho haitasaidia chochote kupunguza makali ya maisha.

Kupunguza makali kwa wakulima ruzuku kwenye pembejeo ingerudishwa. Wakulima wahimizwe na kusaidiwa kulima sana kutosheleza soko la ndani na ziada ya kuuza nje mfano, mafuta ya alizeti, mawese, mpunga, mahindi, nk. Serikali inaweza kununua ziada na kutunza kwenye maghala yao ili kufanya soko kwa wakulima kuwa stable. Kukiwa na nia ya dhati hili jambo linawezekana.

Hizi kodi, tozo, mikopo kiasi flani kingepelekwa kupunguza mfumuko mkubwa wa bei.
 
Wafanyabiashara wakubwa haitowaathiri sana maana yeye hatofanya biashara bila kupata faida hata bidhaa ipande vipi lazima nae ataongeza bei na kwa kuwa yeye anakuwa na mtaji wa kutosha anao uwezo huo shida inakuwa kwa wasio ajiriwa kwanza hajui apate vipi pesa na akipata yote inaishia ktk matumizi na usikute haitoshelezi na kuhusu kuongezwa kwa mishahara sijui kama ktk bajeti ilipitishwa mimi naona wangepunguza gharama za Kodi ili kutoa unafuu kidogo.
Bei ikizidi uwezo wa kununua, zinadoda. i.e, mfanyabiashara hawezi kukubali kukaa na mzigo mwezi mzima, ni hasara. Kwa hiyo uwezo wa kununua ukishuka hata wafanyabiashara wanaathirika.
 
Rais Samia ameonesha kuwa anafahamu ongezeko la bei linaloendelea kwenye bidhaa mbalimbali nchini, na amesema ongezeko litaendelea kutokea kwa kuwa Vita vya Urusi na Ukraine vinaendelea.

Kwa kutambua kuwa ongezeko la bei kunashusha thamani ya fedha na kupunguza nguvu ya kununua (Purchasing power). Je Rais, atawaongezea mishahara sawa na ongezeko la bei linaloendelea ili kuwafanya watumishi wasiathirike na ongezeko la bei lililoko na litakaloendelea kama anavyosema.

Ikumbuke, thamani ya fedha inapofinywa umasikini unaongezeka na kuathiri hata biashara kwa ujumla kwa kuwa watu hawatakuwa na fedha ya kununua bidhaa husika.

Kuelekea Mei Mosi
Signed
OEDIPUS

Kuongeza mishahara sio jawabu, je itakuwaje kwa wale ambao serikali haiwalipi mishahara? Anatakiwa kuangalia na kuweza kuhakikisha bei za bidhaa muhimu hazipandi kiholela na kufanya maisha ya watu kuwa magumu.
 
Muhimu kwa serikali huu kuthibiti mfumuko wa bei sababu unaathiri kila kitu. Hasa bei ya mafuta na chakula.

Ukiongeza mshahara leo bei zinaongezeka kesho haitasaidia chochote kupunguza makali ya maisha.

Kupunguza makali kwa wakulima ruzuku kwenye pembejeo ingerudishwa. Wakulima wahimizwe na kusaidiwa kulima sana kutosheleza soko la ndani na ziada ya kuuza nje mfano, mafuta ya alizeti, mawese, mpunga, mahindi, nk. Serikali inaweza kununua ziada na kutunza kwenye maghala yao ili kufanya soko kwa wakulima kuwa stable. Kukiwa na nia ya dhati hili jambo linawezekana.

Hizi kodi, tozo, mikopo kiasi flani kingepelekwa kupunguza mfumuko mkubwa wa bei.
Mawazo yako ni mazito sana, Hivyo inabidi tufanye vyote, tuongeze mishahara, tupunguze kodi, tutoe ruzuku nk.

Lakini kwa ukubwa huu athari kwa mapato ya serikali yatakuwa makubwa ambayo inaweza isiwe rahisi sana kufanya vyote.
Nadhani ni vyema tuchague moja ambalo litasaidia wananchi kwa kipindi hiki na tusiathiri sana mapato ya serikali
 
Ningekuwa mshauri wa mama samia ningemueleza awaongezee pesa wakulima Kama alivyosema juzi. Ili wazalishe Sana tuache kutegemea ngano kutoka urusi, ni aibu sana kwa nchi kama hii kununua alizeti na ngano nje ya nchi.
Awaongezeaje? Kwa kuwapa hela mkononi au?

Misimu 2 ijayo mafuta ya kula yote yatazalishwa ndani ila kwa ngano sijajua mpango uliopo kwa sababu mziki wa kuzalisha ngano sio mchezo.
 
Nyama na mafuta ya kula ndiyo usiseme utadhani Singida kuna vita ni mambo ya hovyo kabisa
Kwa hiyo unadhani Singida ndio inakupa mafuta kiongozi? Tani na tani za mafuta zinatoka nje, vile vidumu barabarani pale Singida haviwezi kuitosha nchi
 
Alzeti inalimwa sehemu nyingine sn hapa nchini, nyama nayo tunaagiza toka nchi? mchele? Mahindi?
 
Debe mahindi ilikuwa elf 4 sahavi ni 13,000, Mchele toka 1,200 now 2,500 nazo sababu ni vita ya Ukraine?
Unaishi wapi!?...Michele kilo 2200 ndiyo wa Bei Kali,unga kilo 1100,nipo dar ambako hawalimi,mahindi debe elf 4 maana yake gunia elf 24,2019 gunia la mahindi kilikua laki na ishirini,Michele ukiwa 1200 kilo maana yake gunia la mpunga ni elfu 40,2019 lilifika laki
 
Hakikisha mnakula hakikisha pango mnalipa hakikisha kazini mnaenda, hakikisha unaweka Bukubukuhusu kujenga msahau kidogo
 
Alzeti inalimwa sehemu nyingine sn hapa nchini, nyama nayo tunaagiza toka nchi? mchele? Mahindi?
Kiwanda singida kilifungwa kwa kukosa mbegu za alizeti,muwe mnafuatilia mambo kujua uwezo wa nchi yenu kwenye mbo tofauti,mafuta yanatoka Malaysia huko na nchi zingine
 
Unaishi wapi!?...Michele kilo 2200 ndiyo wa Bei Kali,unga kilo 1100,nipo dar ambako hawalimi,mahindi debe elf 4 maana yake gunia elf 24,2019 gunia la mahindi kilikua laki na ishirini,Michele ukiwa 1200 kilo maana yake gunia la mpunga ni elfu 40,2019 lilifika laki
Kajifunze kuandika kwanza dada angu
 
Back
Top Bottom