Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Nyama, Mahindi na kitimoto?Kiwanda singida kilifungwa kwa kukosa mbegu za alizeti,muwe mnafuatilia mambo kujua uwezo wa nchi yenu kwenye mbo tofauti,mafuta yanatoka Malaysia huko na nchi zingine
VimefanyajeNyama, Mahindi na kitimoto?
Sawa Bashite asanteVimefanyaje
Shida ya humu jf ni ngumu kujua unayezungumza nae ana upeo kiasi gani.Mbolea gani laki na nusu!?...mbolea zimepanda tangu mwaka Jana katikati, vyakula vimepanda hiyo 200%
Mi ni mkulima babu,nalima pwani,urea ni 120 pamoja na can na dap,nanunua hivyo mbagala,vikinduShida ya humu jf ni ngumu kujua unayezungumza nae ana upeo kiasi gani.
Mbolea zimepanda kuanzia mwaka Jana katikati Ila mwaka huu mwanzoni zikapanda zaidi
Waziri chini amekiri hiyo Bei, na hiyo bei ni mjini. Wa kijijini ni 170000
View attachment 2177627
Ngoja nifanye maamuz magumuNyongeza yenyewe inaweza kuwa 30k, hapo bado hajakuokoa
Chukua mfano kwa nchi zingine, wao wamefanya nini kuhusu huu mfumuko wa bei? Wameongeza mishahara? Sisemi kuongeza mshahara ni kosa au haipaswi kuwepo, lakini nachosema sio solution la huu mfumuko.Bei ikizidi uwezo wa kununua, zinadoda. i.e, mfanyabiashara hawezi kukubali kukaa na mzigo mwezi mzima, ni hasara. Kwa hiyo uwezo wa kununua ukishuka hata wafanyabiashara wanaathirika.
Kuwaongezea pesa wakulima sio kuwapa mkononi, ni Kama vile walivyosema kuweka ruzuku kwenye pembejeo. Zikiwa Bei rahisi wakulima wataweza kumudu na watazalisha sanaAwaongezeaje? Kwa kuwapa hela mkononi au?
Misimu 2 ijayo mafuta ya kula yote yatazalishwa ndani ila kwa ngano sijajua mpango uliopo kwa sababu mziki wa kuzalisha ngano sio mchezo.
Ww sasa ni changamoto, nimekuletea statement ya waziri kuhusu bei na hapo waziri kapunguza. Bado tena unabisha[emoji119]Mi ni mkulima babu,nalima pwani,urea ni 120 pamoja na can na dap,nanunua hivyo mbagala,vikindu
Nakwambia Mimi mkulima,nanunua mbolea Bei hizo pwani,na bado unamuona changamoto!!Ww sasa ni changamoto, nimekuletea statement ya waziri kuhusu bei na hapo waziri kapunguza. Bado tena unabisha[emoji119]
Swala sio tu kuongeza mishahara, bali kama rais anajua bei zinapanda na zitaendelea kupanda, je anachukua hatua gani? kuna nchi zime-subsdize bidhaa nk. Je sisi move yetu ni ipi? ikiwa tumekiri uwepo wa ongezeko la bei.?Chukua mfano kwa nchi zingine, wao wamefanya nini kuhusu huu mfumuko wa bei? Wameongeza mishahara? Sisemi kuongeza mshahara ni kosa au haipaswi kuwepo, lakini nachosema sio solution la huu mfumuko.
Nchi zingine zote kukabiliana na huu mfumuko hawajakimbilia kuongeza mshahara. Wamechukua hatua zingine
Hiko ndio nilimaanisha. Anaweza kuongeza may, alafu kufika July mfumuko ukaongezeka tena.Swala sio tu kuongeza mishahara, bali kama rais anajua bei zinapanda na zitaendelea kupanda, je anachukua hatua gani? kuna nchi zime-subsdize bidhaa nk. Je sisi move yetu ni ipi? ikiwa tumekiri uwepo wa ongezeko la bei.?
Mawazo yako ni mazito sana, Hivyo inabidi tufanye vyote, tuongeze mishahara, tupunguze kodi, tutoe ruzuku nk.
Lakini kwa ukubwa huu athari kwa mapato ya serikali yatakuwa makubwa ambayo inaweza isiwe rahisi sana kufanya vyote.
Nadhani ni vyema tuchague moja ambalo litasaidia wananchi kwa kipindi hiki na tusiathiri sana mapato ya serikali
Anajua ni upigaji tu huo wafanyabiashara wanajifidia.Rais Samia ameonesha kuwa anafahamu ongezeko la bei linaloendelea kwenye bidhaa mbalimbali nchini, na amesema ongezeko litaendelea kutokea kwa kuwa Vita vya Urusi na Ukraine vinaendelea.
Kwa kutambua kuwa ongezeko la bei kunashusha thamani ya fedha na kupunguza nguvu ya kununua (Purchasing power). Je Rais, atawaongezea mishahara sawa na ongezeko la bei linaloendelea ili kuwafanya watumishi wasiathirike na ongezeko la bei lililoko na litakaloendelea kama anavyosema.
Ikumbuke, thamani ya fedha inapofinywa umasikini unaongezeka na kuathiri hata biashara kwa ujumla kwa kuwa watu hawatakuwa na fedha ya kununua bidhaa husika.
Kuelekea Mei Mosi
Signed
OEDIPUS
Kumbe subiria utekelezaji,sasa unaposema wewe ungekuwa mama wakati kaanza sijui unataka uwe mama mwenye kitobo au?Kuwaongezea pesa wakulima sio kuwapa mkononi, ni Kama vile walivyosema kuweka ruzuku kwenye pembejeo. Zikiwa Bei rahisi wakulima wataweza kumudu na watazalisha sana