YoungD
JF-Expert Member
- Dec 27, 2016
- 1,275
- 1,332
huyo refugee anakuwanga kichaa brathe.wanauza bidhaa nyingi tu ChinaView attachment 922486View attachment 922486
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huyo refugee anakuwanga kichaa brathe.wanauza bidhaa nyingi tu ChinaView attachment 922486View attachment 922486
Hiyo ni Sky News.Pres of africa[emoji23][emoji23][emoji23]hawa wachina wamekula ndizi za wapi???
Wewe sijui hizi hekaya zako huwa unatoa wapi, alafu saa nikikupa facts unatokomea kusikojulikana whole week so ngoja ninyamaze kwenye hilo suala la sisal sababu hapo umejamba kwa nguvu sana. Prutatapaa! Paa! Paaa! Pyuuu, skididiiiiiiiUtawauzia nini china Ambacho hawawezi kutengeneza wenyewe, Hivo vikapu hua vinauzwa sana kule Europe na wakenya, Biashara hio inasababisha tuwe wa pili au tatu Africa kwa kuzalisha makonge
King of rare business as minerals and gemstones as alwayspengine nikuulize hako kanchi kenu LDC kanauzia china nini?....au cassava?😀😀😀au mnaexport beggars
King of rare business as minerals and gemstones as always
pengine nikuulize hako kanchi kenu LDC kanauzia china nini?....au cassava?😀😀😀au mnaexport beggars
Ndio hayo nisiyo yataka, mambo ya kupeleka vinyago, hell no walahiWacha weee..
Naona mnauza vikapu!
Hahahaaaa
King of rare business as minerals and gemstones as always
CHEMA CHAJIUZA WALAHI
TANZANIA TUKO JUU MILELE WALAHI
OK alafu inawaletea bilioni au trilioni ngapView attachment 922544View attachment 922544
HaswaaCHEMA CHAJIUZA WALAHI
TANZANIA TUKO JUU MILELE WALAHI
Utawauzia nini china Ambacho hawawezi kutengeneza wenyewe, Hivo vikapu hua vinauzwa sana kule Europe na wakenya, Biashara hio inasababisha tuwe wa pili au tatu Africa kwa kuzalisha makonge
hahahaha thats funny babarosa..hivi nikuulize ni kwanini chai yote ya afrika mashariki huwa inakuja Mombasa auction? yaani chai ya Uganda, tz, rwanda zote huwa zinaletwa kwenye auction pale Mombasa...tafakari hayo
so tusifanye biashara na muzungu becoz of Tanzanians..stop joking my frend😀😀...tunaenda kwenye hela ipoMzungu ndio alileta chai Africa kutoka India na China, yote hiyo ni kutafuta aina mpya ya chai kutokana na mazao yana badilika kutoka nchi moja hadi nyingine. Udongo na hali ya hewa ya nchi husika huchangia jinsi ya kupata mazao ya aina fulani. Lakini mpaka leo hii, bila soko la mzungu chai ya kenya itaishia mashabani tu.
so tusifanye biashara na muzungu becoz of Tanzanians..stop joking my frend😀😀...tunaenda kwenye hela ipo
oooo ila nilikuwa namjibu mwenzako aliyejaribu kusema kuwa maua ya kenya yanauzwa kwenye amsterdam auction kisa maua hayo belongs to muzungus....Sijasema msifanye biashara na mzungu, nimekujibu swali lako kwanini chai za EAC inauzwa kwenye soko la Mombasa. Hilo soko bila mzungu lisinge kuwepo na mpaka leo hii moyo wa hilo soko umesikwa na mzungu. Kwahiyo is nothing to do with kenya or Mombasa, hata sisi tunafuata pesa.
ok haya leta sasa income mnayoingiza toka kwa hizo bidhaa...
Hiyo ni Sky News.
Teh teh teh tihiii
i never thought/expect such an erroneous report.
Afrika President. hata wangemtaja kagame i could agree, coz he is a AU chairman.
sasa huyu chang'aa guy no one is recognizing him in the continent.
LABDA wanampamba coz is a good way paver for mabeberu kuja kunyonya Afrika.