Rais anavyowakilisha Kenya/Africa huko China

Sisi Tz tunauza bidhaa nying china atuongei lakini hawa manyani wakaskazn ambao hawajielew wanapiga kelele na kibanda kimoja huko kwa bwana wao,wanaitwa nyani pamoja na rais wao lakini bado hawaelew!!!!!!
 
Utawauzia nini china Ambacho hawawezi kutengeneza wenyewe, Hivo vikapu hua vinauzwa sana kule Europe na wakenya, Biashara hio inasababisha tuwe wa pili au tatu Africa kwa kuzalisha makonge
Wewe sijui hizi hekaya zako huwa unatoa wapi, alafu saa nikikupa facts unatokomea kusikojulikana whole week so ngoja ninyamaze kwenye hilo suala la sisal sababu hapo umejamba kwa nguvu sana. Prutatapaa! Paa! Paaa! Pyuuu, skididiiiiiii
 
King of rare business as minerals and gemstones as always

OK alafu inawaletea bilioni au trilioni ngap
1541436661045.png
1541436661045.png
 
Utawauzia nini china Ambacho hawawezi kutengeneza wenyewe, Hivo vikapu hua vinauzwa sana kule Europe na wakenya, Biashara hio inasababisha tuwe wa pili au tatu Africa kwa kuzalisha makonge

Hivyo vikapu mnamlipa Mjapani aliyewazidi akili?
 
hahahaha thats funny babarosa..hivi nikuulize ni kwanini chai yote ya afrika mashariki huwa inakuja Mombasa auction? yaani chai ya Uganda, tz, rwanda zote huwa zinaletwa kwenye auction pale Mombasa...tafakari hayo

Mzungu ndio alileta chai Africa kutoka India na China, yote hiyo ni kutafuta aina mpya ya chai kutokana na mazao yana badilika kutoka nchi moja hadi nyingine. Udongo na hali ya hewa ya nchi husika huchangia jinsi ya kupata mazao ya aina fulani. Lakini mpaka leo hii, bila soko la mzungu chai ya kenya itaishia mashabani tu.
 
so tusifanye biashara na muzungu becoz of Tanzanians..stop joking my frend😀😀...tunaenda kwenye hela ipo
 
Sijasema msifanye biashara na mzungu, nimekujibu swali lako kwanini chai za EAC inauzwa kwenye soko la Mombasa. Hilo soko bila mzungu lisinge kuwepo na mpaka leo hii moyo wa hilo soko umesikwa na mzungu. Kwahiyo is nothing to do with kenya or Mombasa, hata sisi tunafuata pesa.
 
oooo ila nilikuwa namjibu mwenzako aliyejaribu kusema kuwa maua ya kenya yanauzwa kwenye amsterdam auction kisa maua hayo belongs to muzungus....
 
Hiyo ni Sky News.

Teh teh teh tihiii
i never thought/expect such an erroneous report.
Afrika President. hata wangemtaja kagame i could agree, coz he is a AU chairman.
sasa huyu chang'aa guy no one is recognizing him in the continent.

LABDA wanampamba coz is a good way paver for mabeberu kuja kunyonya Afrika.
 
Mkuu hii ni kama hawako makini sana na huyu mtu si kwamba wamempaisha.

Wangeeza andika hata Uhuru kenyatta rais wa kilimanjaro[emoji2][emoji2],yaani kinachowajia kichwani basi wanatiririka nacho pumbaavu.
 
Back
Top Bottom