Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
jibu limekaa kisiasa sana hili mxiuuMsemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa amemjibu kuhusu hpla za 'Goli la Mama' kwa timu za mpira wa miguu za Simba na Yanga ambazo hutolewa kama motisha baada ya kufunga goli kwenye michuano ya Kimataifa
Hakuna mwenye uchungu na hiyo miradi mkuu, kipaumbele ni kuendelea kulinda madaraka yasiponyokePesa zinachotwa kwa ufisadi ndiyo maana miradi haiendi
Hovyo kabisa asee, tuamkeHakuna mwenye uchungu na hiyo miradi mkuu, kipaumbele ni kuendelea kulinda madaraka yasiponyoke
Angekaa kimya tu! Watanzania wa sasa si wa 1967!jibu limekaa kisiasa sana hili mxiuu
Majibu mazuri sana toka kwa Msigwa kuna nyumbu hata hawajui kuwa Rais anafungu kama hilo wanafikiri labda ni Mwenyekiti wa Chadema huyo. Yaani Rais akose pesa za kusaidia jamii kweli? Basi Urais utakuwa hauna maana kabisa. Rais anafungu lake kwa kizungu wanasema Vote.Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa amemjibu kuhusu hpla za 'Goli la Mama' kwa timu za mpira wa miguu za Simba na Yanga ambazo hutolewa kama motisha baada ya kufunga goli kwenye michuano ya Kimataifa
Yaani ameshindwa kabisa kujibu! Kaulizwa ni fedha zake binafsi? Kaishia kupuyanga tu!Ukiona mtu kaulizwa umekula nini halafu anaanza kukuambia historia ya kilimo na manufaa yake, majembe na mbolea yanauzwa wapi hapo jua tu kuna jambo🐼
Katika kujibu ni lazima utoe pia ufafanuzi ili kuelewaka zaidi ila nyumbu kama nyinyi hamuwezi kuelewa!Ukiona mtu kaulizwa umekula nini halafu anaanza kukuambia historia ya kilimo na manufaa yake, majembe na mbolea yanauzwa wapi hapo jua tu kuna jambo🐼
Matahira kama nyie ndio mtaji wa CcmMajibu mazuri sana toka kwa Msigwa kuna nyumbu hata hawajui kuwa Rais anafungu kama hilo wanafikiri labda ni Mwenyekiti wa Chadema huyo. Yaani Rais akose pesa za kusaidia jamii kweli? Basi Urais utakuwa hauna maana kabisa. Rais anafungu lake kwa kizungu wanasema Vote.
Imagine na wakina mama wenzie wajifungue na malipo ya glove ma hospitalMsemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa amemjibu kuhusu hpla za 'Goli la Mama' kwa timu za mpira wa miguu za Simba na Yanga ambazo hutolewa kama motisha baada ya kufunga goli kwenye michuano ya Kimataifa
Alfu anazunguka kama vile anafundisha historia yaaniAngekaa kimya tu! Watanzania wa sasa si wa 1967!
Mbona kajibu vizuri sana.Yaani ameshindwa kabisa kujibu! Kaulizwa ni fedha zake binafsi? Kaishia kupuyanga tu!
Acha uzwazwa wewe! Hilo fungu lipo kwenye kifungu kipi cha bajeti iliyoidhinishwa ba Bunge? Linawekewa shilingi ngapi kwa mwaka wa fedha?Majibu mazuri sana toka kwa Msigwa kuna nyumbu hata hawajui kuwa Rais anafungu kama hilo wanafikiri labda ni Mwenyekiti wa Chadema huyo. Yaani Rais akose pesa za kusaidia jamii kweli? Basi Urais utakuwa hauna maana kabisa. Rais anafungu lake kwa kizungu wanasema Vote.
DahMajibu mazuri sana toka kwa Msigwa kuna nyumbu hata hawajui kuwa Rais anafungu kama hilo wanafikiri labda ni Mwenyekiti wa Chadema huyo. Yaani Rais akose pesa za kusaidia jamii kweli? Basi Urais utakuwa hauna maana kabisa. Rais anafungu lake kwa kizungu wanasema Vote.
kajibuje vizuri? ameulizwa ni zake binafsi hajatoa majibu!Mbona kajibu vizuri sana.
Kama hujawahi kufanya kwenye mashirika makubwa huwezi kujuwa hili, hata CEO wa kampuni anakuwa nafungu lake la entertainment au matumizi ya kukarimu ni sehemu ya budget ya ofisi ya Rais sasa ukubwa wa budget hiyo inategemea na ukubwa. Hakuna mtu anachukua pesa kwenye fungu lingine huyu mwandishi anaendeshwa na hisia haelewi mifumo ya serikali au makampuni makubwa.Hahahaahaha!
Msigwa hadi ametia huruma aiseee!
Kweli huu ni wizi wa pesa za umma!
Hayo mafungu yanatengwaga chini ya kifungu kipi kwenye bajeti ya Serikali inayopitishwa na Bunge?
Hayo mafungu yanawekewa shilingi ngapi kwa mwaka wa fedha na zinatumikaje?
Aisee kweli hii nchi kodi za wananchi zinatumika vibaya!
Watanzania amkeni kwa kweli! Hamstahili hata kukosa maji ya bomba ila kuna watu wanatumia vibaya fedha zenu wapendavyo.
Sasa wewe unajuwa budget ya ofisi ya Rais?? wewe unaona jumla tu huwezi kuona kila kifungu kwenye budget ya ofisi ya Raisi, kuna mpaka ya nguo, wafanyakazi, chakula na mabalaa yote mpaka simu ni humo humo kwenye budget ya ofisi ya Raisi, Hapa zingatia Ofisi ya Rais sio Raisikajibuje vizuri? ameulizwa ni zake binafsi hajatoa majibu!
Alipaswa kusemwa hizo pesa zipo kwenye kifungu kipi cha Bajeti iliyoidhinishwa na Bunge na alipaswa kusema kama ni za umma au la?
Alipaswa kusemwa pia kifungu hiko kama kipo kinawekewa kiasi gani?
Kumbuka hakuna fedha za Rais nchi hii. Fedha zote ni za wananchi na zinapaswa kutumika kwa namna Ilivyoidhinishwa na Bunge tu kwenye Bajeti ya Serikali.