CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 11,635
- 21,347
CCM ina hazina kubwa sana ya wapumbavu na majuhaKumbe Hujui hata sheria zinatungwa wapi? Pole na kwa heri kijana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CCM ina hazina kubwa sana ya wapumbavu na majuhaKumbe Hujui hata sheria zinatungwa wapi? Pole na kwa heri kijana
Zinatungwa nyumbani kwako mkuu!Kumbe Hujui hata sheria zinatungwa wapi? Pole na kwa heri kijana
Ila CDM ina nyumbu wengi sana!CCM ina hazina kubwa sana ya wapumbavu na majuha
Kwa hiyo fungu la Rais ndo consolidated fund????🤣🤣🤣🤣. Kweli mtaji wa CCM ni wajingaWewe ni nyumbu hata hujui Rais ana Vote yake na hunauwezo wewe nyumbu kuijua wala kuiona! Endelea kucheka tu kama shoga tu!!
Usichojua ni kwamba Rais ni mtumishi wako. Na anapaswa kuwajibika kwako.Inazekana kbsa izo pesa azitoki
Ktk bajeti ya nchi na izo pesa zinaweza kabisa zisiwe kodi zetu
Tunachoshindwa kuelewa Watz kwamba raisi ni mtu mkubwa sana na kuna wafanyabiashara weng sana wanaitaji kua karibu na Raisi so inawezekana kbsa izo pesa zinatoka kwa wafanya biashara wanaotaka kua krb na raisi wanatoa pesa zao wanajua kuna kitu wanafaidika au watafaidika apo badae.
Unaweza kuta izi pesa zinatolewa na kina Mo,Gsm,azam na matajiri wengne
Shida ya wabongo tunazan Raisi ni kitu kdg na akili zetu ndogo tunazan pesa zinatoka hazina kwa maana yake ni kodi za wananchi.
Kuna ile kampuni ya Cargo ile ya warabu naskia hawalipi kodi nying bandarini na mizigo yao haikaguriwi, ukitaka mzgo wako usikaguriwe na usilipe kodi nying bas safirisha na ile kampuni SO
sa unazan kampuni km iyo inashindwa kutoa bilion2 au 5 zikampa raisi kwa ajiri ya goli la mama
Asante kwa mdogo wanguZinatungwa nyumbani kwako mkuu!
Alaf Kuna jamaa anashupaza shingo kubisha na kubisha nakuita wengine nyumbu.Ukweli ni kuwa hayo ni matumizi mabaya ya kodi zetu kwani hela hizo hazisaidii kuinua kiwango cha mchezo huo bali zinamjenga Samia kisiasa yeye binafsi.
kwamba Goli la mama inasaidia nin soka letu ? kuwa ccmu ni ugonjwa wa akili , hizo pesa za mama sio zake ni kodi zake na hizo pesa ni za shughuli maalumi hasa za dharura sio kugawa kweny viwanja vya michezo bali kuboresha nyenzo za michezo , Simba na Yanga maboss wao sio kwamba hawawez kuwalipa wachezaj wao hzo 5M , MoDewj anaproject kila mwezi inacost mpk 100m na hii anaitoa kwa jamii bure , Modewji anasomesha vijana kweny level zote za elimu , kwahiyo Rais angeweza hata andaa chakula cha jion kwa kila mafanikio ambayo timu yetu inayapata ambapo ingegharimu gharama ndogo na ingewapa hamasa kila timu kutaman kuachieve kitu ili wapate mwaliko wa rais , kisha hayo mamilion yangeelekezwa kweny kukarabati shule zetu za vijijini pamoja na kuongeza vifaa kaz huko vijijiniMajibu mazuri sana toka kwa Msigwa kuna nyumbu hata hawajui kuwa Rais anafungu kama hilo wanafikiri labda ni Mwenyekiti wa Chadema huyo. Yaani Rais akose pesa za kusaidia jamii kweli? Basi Urais utakuwa hauna maana kabisa. Rais anafungu lake kwa kizungu wanasema Vote.
Kumbe uko wa waarabu tunatumikishwa! Ndiyo maana una akili za "Slavery Mwntality"!!Njoo wewe Dubai hapa nikufundishe nzi wa kijani
Hata kuandika hujui ccmu ndio nini mkuu?kwamba Goli la mama inasaidia nin soka letu ? kuwa ccmu ni ugonjwa wa akili , hizo pesa za mama sio zake ni kodi zake na hizo pesa ni za shughuli maalumi hasa za dharura sio kugawa kweny viwanja vya michezo bali kuboresha nyenzo za michezo , Simba na Yanga maboss wao sio kwamba hawawez kuwalipa wachezaj wao hzo 5M , MoDewj anaproject kila mwezi inacost mpk 100m na hii anaitoa kwa jamii bure , Modewji anasomesha vijana kweny level zote za elimu , kwahiyo Rais angeweza hata andaa chakula cha jion kwa kila mafanikio ambayo timu yetu inayapata ambapo ingegharimu gharama ndogo na ingewapa hamasa kila timu kutaman kuachieve kitu ili wapate mwaliko wa rais , kisha hayo mamilion yangeelekezwa kweny kukarabati shule zetu za vijijini pamoja na kuongeza vifaa kaz huko vijijini
CCMU sio dini wala kabila kwamba utaunga mkono kila kiti cha ccmu
yaan ww unamuita mwenzio ana IQ ndogo ilihali ww ndo mweny IQ , hakuna pesa rais katengewa kugawa kwa wachezaj , hizo pesa ni muhimu angetoa kwa wahanga wa jengo la K/koo , achana na hii hv GSM na MODewji wanashindwa walipa hao wachezaj hizo pesa ? kuna haja gan kuwapa peaa watu waliolipwa pesa kufanikisha hayo magoli ? hii unahitaj Mwamposa akuombee ndo uelewe ? kuna haja gan ya kuwapa pesa watu wanaolipwa na shirikisho kwa kila hatua wanaingia ? hii unahita ukafundishwe HAVARD ndo uelewe ? hv shule ngap Tz hakuna madawati ya kutosha watoto wanakaa chini ? je kwa mijibu wa rais ni bora kuwapa pesa Simba nana Yanga na huku kweny kuboresga mazingira ya utoaji elimu kwa Samia sio muhimu sana mpk asubir USAIDS ? unaandika utumbo huu wkt mtaani kwako hakuna hata bomba la maji hata mifereji ya majitaka haipo , hakuna hata njia za uchukuz kuingia mtaani kwako na kutoka mtaani kwako wkt huyo Samia katia lami huko Bweni anapoishi na full socila services , hiyo pesa ilipaswa ielekezwe kweny kutoa huduma za kijamii ambazo zingegusa hata maisha yako au ya familia yako au ya watu wako wa karibu ila upo hapa busy unashabikia utakasaji wa pesa za ummaWewe IQ yako ndogo sana nenda kasome au inawezakana maisha yamekupiga sana, unajuwa bugdet inatengenezwa vipi? Kwanini usisikilize siku budget inavyosomwa uletewe wewe hapa kama nani? Budget inapitishwa na wabunge sio wewe sasa kama unashida mfuate mbunge wako muulize hivi ngapi mlipitisha.
ujinga wako ni mtaji wa ccmuTaahira mama na baba yako! Shithole.
Ccmu ndio nini mkuu?ujinga wako ni mtaji wa ccmu
kwan hapa tupo kweny kipindi cha lugha ? mnajua kuandika ila kusoma hamjui , mkataba msaini bila kuisoma , yaan jitu lipo 2025 ila akili ipo 12000BC ZinjanthropussyHata kuandika hujui ccmu ndio nini mkuu?
jifunze kusoma maana hata mikataba yenyew mnasaini bila kusomaCcmu ndio nini mkuu?
huko ndo pesa zimeelekezwa zikagawiwe kwa kila goli la Simba na Yanga ? kwamba hatuna matatizo mengine , m23 waje na huku wajinga ni wengi sanaWewe nyumbu huwezi jua kitu. Tafuta taarifa za Consolidate Fund za Serikali ya JMT kama unataka kuelewa zaidi. Ila kwa kuwa ni nyumbu sidhani kama utazipata zaidi utaendelea kuandika ujinga tu hapa na nyumbu wenzako watakupa like!