Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Acheni longolongo. Semeni fedha hizo zip kwenye kifungu kipi kilichoidhinishwa na Bunge kwenye bajeti ya Serikali?Kama hujawahi kufanya kwenye mashirika makubwa huwezi kujuwa hili, hata CEO wa kampuni anakuwa nafungu lake la entertainment au matumizi ya kukarimu ni sehemu ya budget ya ofisi ya Rais sasa ukubwa wa budget hiyo inategemea na ukubwa. Hakuna mtu anachukua pesa kwenye fungu lingine huyu mwandishi anaendeshwa na hisia haelewi mifumo ya serikali au makampuni makubwa.
Semeni pia kifungu hicho kilichoidhinishwa kwenye hiyo Bajeti kilitengewa kiasi gani?
Kumbuka hizi ni pesa za walipakodi sio pesa za kampuni binafsi.