Rais asibughudhiwe pindi amalizapo wakati wake, aachwe apumzike

Rais asibughudhiwe pindi amalizapo wakati wake, aachwe apumzike

Si sheria zipo kwamba rais asishtakiwe hata akisha toka madarakani? au mnataaka sheria gani nyingine?
Hivi nana anambughudhi Rais Mwinyi?
Mods wamebadilisha title,niliandika ''hivi kama katiba mpya itapatikana kipengele cha raisi kutoshtakiwa atokapo madarakani kibakie kama kilivyo''
 
@Mtimawachi.anaekaa sana mbele mbele ni msogange. Chawa sana huyu.
 
Afrika haiwezi endelea kwa mawazo kama haya.
Raisi si mungu ni mwajiriwa wa wananchi akitenda makosa binafsi kwa kutumia madaraka yake akitoka tu inatakiwa awahi mwenyewe jela.
Mwafrika usipomuwekea mfumo wa kumdhibiti atawaumiza wenzie, ni lzm umuwekee mfumo wa hofu.
Bila hofu ya the Hague au kunyimwa misaada wangetutesa sana hawa watu.
 
Watawala wa kiafrica wakianza kuishia jela kama watawala wa mabara mengine ndipo afrika itakuwa na maendeleo. Kwa maana. Raisi ataogopa
1.Kupora,kuzaa na mke wa mtu
2.Kuiba
3.kufanya ufisadi
4.Kupendelea kwao
5.Kuua wapinzani
6.Kwenda kutibiwa ulaya atajenga hospital nchini kwake
7.Ataacha ukabila, udini
8.Matumizi mabaya ya madaraka
9.Kuzini nje ya ndoa
10.Kuteua wahuni
11.
12.

Mwafrika yeyeto bila kumuwekea mfumo wa kumdhibiti anageuka bomu hatari sana ambalo effect yake ni machafuko ya ndani kwa ndani ambayo uipa dunia mzigo wa kuhudumia wakimbizi, kulinda amani nk.
 
''Mimi mwandishi itikadi yangu sio tu ni CCM, bali ni timu MAGUFULI''. hapa ndo ulipo haribu, kwamba ulikua mfuasi wa ibirisi
 
Duh!
Mkuu sheria ya kuwashtaki maraisi ni nzuri ila si kwa jamii kama zetu za kishamba(samahani kwa kuziita hivyo) ambazo zinajikita kwenye kukomoana,

Swali la kizushi: Kati ya hawa walobakia unamwombea nani atangulie mapema?
Kwann washamba wapewe madaraka,check alichowatenda bashite yatima wangapi,wajane wangapi nani anahudumia familia zao maana mlisha familia hayupo.
Kisasi ni haki na ndio njia sahihi ya kupunguza uovu kwenye Jamii Ili wengine wajifunze kutenda haki.
Hakuna kisasi Hakuna haki.
 
Amefanya jambo gani baya zaidi?
Kuwafanya watu kuwa yatima na wajane kwa Kuwanyima waleta mkate nyumbani haki ya kuishi akiwa kama masta mwenyewe wa operation zote chafu za kuwatenganisha mama kuku na vifaranga.
 
KWA TAARIFA YAKO WANAOTUBUGUDHI WATANZANIA NI HAO MARAISI WASTAAFU. HAWARIDHIKI NA WAMEKUWA CHAWA NA WAPIGA DILI WAKUBWA. UNAONA VITOTO VYAO. MI NAONA NJIA BORA YA KUWAPUMZISHA NI KUWAOMBEA VIFO VYA MAPEMA KWANI HAWATOSHEKI.
Rais yeyote aliyepo madarakani kama sio mwizi na anatawala kufuatana na sheria na katiba ya nchi, hawezi kuwa na wasiwasi wa kushitakiwa baada ya kumaliza muda wake!!
Rais yeyote mwizi na mvunja sheria ndio atakuwa na wasi wasi wa adhabu baada ya kustaafu na ndio maana Hawa wezi wanakuja kutunga sheria za kuwalinda ili wafaidi na familia zao matunda ya wizi wao baadae!
Rais muadilifu hahitaji protection.
 
Rais yeyote aliyepo madarakani kama stats wala kifua tans na sheria na katiba ya nchi, hawezi kuwa na wasiwasi wa kushitakiwa baada ya kumaliza muda wake!!
Rais yeyote mwizi na mvunja sheria ndio atakuwa na wasi wasi wa adhabu baada ya kustaafu na ndio maana Hawa wezi wanakuja I kwa kufunga sheria za kuwalinda ili wafaidi matunda ya wizi wao!
Mkuu upo sahihi 100% katika jicho lililostaarabika, ila kwa jamii zetu huwa tuna ushamba wa kumkomesha fulani kama alikugusa maslahi yako hata kama alitenda hivyo kihali.
Hivyo mstaafu anaweza ingia jela kwa kuundiwa tu zengwe
 
Aaah bashite kuwa mpole usikimbie mavuno huu ni wakati wako pokea
 
Huu upumbavu ndiyo maana nchi yetu itaendelea kuwa masikini sababu ya kumtukuza mtu mmoja, kwa akili yako wengine wakistaafu wasumbuliwe lakini Rais hata kama amefanya makosa aachwe?
 
Kwann washamba wapewe madaraka,check alichowatenda bashite yatima wangapi,wajane wangapi nani anahudumia familia zao maana mlisha familia hayupo.
Kisasi ni haki na ndio njia sahihi ya kupunguza uovu kwenye Jamii Ili wengine wajifunze kutenda haki.
Hakuna kisasi Hakuna haki.
Umesahau alivyozikutanisha familia?
 
Ndiyo maana wanatumia vibaya mali za umma sababu wanajua hakuna wa kuwabughuzi
Huu upuuzi walitaka wapeleke mswada eti police wasishtakiwe.Kwa ukosefu wa maadili ya police wetu kushindwa tofautisha majukumu binafsi na majukumu ya Kazi zao si wangeumiza Sana watu.

Mwanadamu yeyeto ambae ajastaarabika ni lzm awekewe hofu ya jela Ili atende haki.Jamii bila haki ni lzm aman itoweke
 
Huu upumbavu ndiyo maana nchi yetu itaendelea kuwa masikini sababu ya kumtukuza mtu mmoja, kwa akili yako wengine wakistaafu wasumbuliwe lakini Rais hata kama amefanya makosa aachwe?
Kama mstaafu gani anayesumbuliwa?
Kama ni haki kutendeka kwa nini asishtakiwe akiwa madarakani.?
 
Check waliyoyafanya kina iddi Amin, bokasa, mobutu, moi, banda, mugabe, Abacha, savimbi, nk kupambana kutafuta fahari ya dunia ikiwemo kuua watu then nao wamekufa wamebakia historia mbaya kwa jamii na uzao wao hauna heshima tena.
Unaua mtu nawe auishi milele huu si ujinga wa kiwango cha juu Sana cha fikra.
 
Kama mstaafu gani anayesumbuliwa?
Kama ni haki kutendeka kwa nini asishtakiwe akiwa madarakani.?
Mfumo wetu hauruhusu.
We uoni msiba alitamba labda magufuli afe ndio anaweza shtakiwa na Mungu akampa kama alivyoomba.
Nani angemkamata bashite akiwa ndie boss wake.
 
Kisasi ndio mfumo sahihi wa haki. Ukitenda nawe utendwe Ili kuibalance Jamii. Faida za kisasi
Jamii uishi kwa amani kwa hofu ya mtenda utendwa.
 
Huu upuuzi walitaka wapeleke mswada eti police wasishtakiwe.Kwa ukosefu wa maadili ya police wetu kushindwa tofautisha majukumu binafsi na majukumu ya Kazi zao si wangeumiza Sana watu.
Mwanadamu yeyeto ambae ajastaarabika ni lzm awekewe hofu ya jela Ili atende haki.Jamii bila haki ni lzm aman itoweke
Kama sahivi wanaua live wakipewa rungu itakuwa balaa
 
Back
Top Bottom