mtimawachi
JF-Expert Member
- Apr 1, 2020
- 2,108
- 3,155
- Thread starter
-
- #21
Mods wamebadilisha title,niliandika ''hivi kama katiba mpya itapatikana kipengele cha raisi kutoshtakiwa atokapo madarakani kibakie kama kilivyo''Si sheria zipo kwamba rais asishtakiwe hata akisha toka madarakani? au mnataaka sheria gani nyingine?
Hivi nana anambughudhi Rais Mwinyi?
Kwann washamba wapewe madaraka,check alichowatenda bashite yatima wangapi,wajane wangapi nani anahudumia familia zao maana mlisha familia hayupo.Duh!
Mkuu sheria ya kuwashtaki maraisi ni nzuri ila si kwa jamii kama zetu za kishamba(samahani kwa kuziita hivyo) ambazo zinajikita kwenye kukomoana,
Swali la kizushi: Kati ya hawa walobakia unamwombea nani atangulie mapema?
Kuwafanya watu kuwa yatima na wajane kwa Kuwanyima waleta mkate nyumbani haki ya kuishi akiwa kama masta mwenyewe wa operation zote chafu za kuwatenganisha mama kuku na vifaranga.Amefanya jambo gani baya zaidi?
Rais yeyote aliyepo madarakani kama sio mwizi na anatawala kufuatana na sheria na katiba ya nchi, hawezi kuwa na wasiwasi wa kushitakiwa baada ya kumaliza muda wake!!KWA TAARIFA YAKO WANAOTUBUGUDHI WATANZANIA NI HAO MARAISI WASTAAFU. HAWARIDHIKI NA WAMEKUWA CHAWA NA WAPIGA DILI WAKUBWA. UNAONA VITOTO VYAO. MI NAONA NJIA BORA YA KUWAPUMZISHA NI KUWAOMBEA VIFO VYA MAPEMA KWANI HAWATOSHEKI.
Mkuu upo sahihi 100% katika jicho lililostaarabika, ila kwa jamii zetu huwa tuna ushamba wa kumkomesha fulani kama alikugusa maslahi yako hata kama alitenda hivyo kihali.Rais yeyote aliyepo madarakani kama stats wala kifua tans na sheria na katiba ya nchi, hawezi kuwa na wasiwasi wa kushitakiwa baada ya kumaliza muda wake!!
Rais yeyote mwizi na mvunja sheria ndio atakuwa na wasi wasi wa adhabu baada ya kustaafu na ndio maana Hawa wezi wanakuja I kwa kufunga sheria za kuwalinda ili wafaidi matunda ya wizi wao!
Aaah bashite kuwa mpole usikimbie mavuno huu ni wakati wako pokeaMkuu upo sahihi 100% katika jicho lililostaarabika, ila kwa jamii zetu huwa tuna ushamba wa kumkomesha fulani kama alikugusa maslahi yako hata kama alitenda hivyo kihali.
Hivyo mstaafu anaweza ingia jela kwa kuundiwa tu zengwe
Ndiyo maana wanatumia vibaya mali za umma sababu wanajua hakuna wa kuwabughuziSi sheria zipo kwamba rais asishtakiwe hata akisha toka madarakani? au mnataaka sheria gani nyingine?
Hivi nana anambughudhi Rais Mwinyi?
Umesahau alivyozikutanisha familia?Kwann washamba wapewe madaraka,check alichowatenda bashite yatima wangapi,wajane wangapi nani anahudumia familia zao maana mlisha familia hayupo.
Kisasi ni haki na ndio njia sahihi ya kupunguza uovu kwenye Jamii Ili wengine wajifunze kutenda haki.
Hakuna kisasi Hakuna haki.
Huwezi vunja haki za watu kisa uongoziUmesahau alivyozikutanisha familia?
Huu upuuzi walitaka wapeleke mswada eti police wasishtakiwe.Kwa ukosefu wa maadili ya police wetu kushindwa tofautisha majukumu binafsi na majukumu ya Kazi zao si wangeumiza Sana watu.Ndiyo maana wanatumia vibaya mali za umma sababu wanajua hakuna wa kuwabughuzi
Kama mstaafu gani anayesumbuliwa?Huu upumbavu ndiyo maana nchi yetu itaendelea kuwa masikini sababu ya kumtukuza mtu mmoja, kwa akili yako wengine wakistaafu wasumbuliwe lakini Rais hata kama amefanya makosa aachwe?
Mfumo wetu hauruhusu.Kama mstaafu gani anayesumbuliwa?
Kama ni haki kutendeka kwa nini asishtakiwe akiwa madarakani.?
Kama sahivi wanaua live wakipewa rungu itakuwa balaaHuu upuuzi walitaka wapeleke mswada eti police wasishtakiwe.Kwa ukosefu wa maadili ya police wetu kushindwa tofautisha majukumu binafsi na majukumu ya Kazi zao si wangeumiza Sana watu.
Mwanadamu yeyeto ambae ajastaarabika ni lzm awekewe hofu ya jela Ili atende haki.Jamii bila haki ni lzm aman itoweke