Rais Assad aripotiwa kuikimbia Syria, Majeshi ya Waasi yatangaza kuuchukua mji mkuu wa Damascus

Rais Assad aripotiwa kuikimbia Syria, Majeshi ya Waasi yatangaza kuuchukua mji mkuu wa Damascus

Kuna viongozi jeshini na serikalini walikula hela za watu,jeshi lilikua halipigani,linarudi tu nyuma,waasi wametangaza serikali itakua chini ya waziri mkuu wa assad mpaka watakapokabidhiwa
Sio swala la kula pesa Assad alikuwa na waoinzan ndan ya serikali yake walishamuahama.. sasa hushangai kama kaondolewa halafu waasi watangaze waziri mkuu wa assad awe kiongozi .. hapo Huyo wazir mkuu ni mmoja wao..

Na hiyo serikali mpya inaundwa kwa maelekezo ya turkey, labda na westen.. kina Us.. hao waasi wanaenda kwa maelekezo ndio maana wamesema had watakapokabidhiwa ..

Maana yake wanaambia cha kufanya
 
Kiuhalisia hili la waasi kufanikiwa kwa haraka haraka hapo Syria hata mimi limenishangaza sana, inaonekana dunia inakwenda kasi sana kwenye mambo mengi na kuna vitu vingi mnoo vinaendelea chini kwa chini hapa duniani na hatuvijui.


...To achieve victory, President Assad could not depend on the country’s under-equipped and poorly motivated conscript army alone, which soon became dangerously stretched and regularly unable to hold positions against rebel attacks.
Instead, he came to rely heavily on Russian airpower and Iranian military help on the ground - mainly through militias sponsored by Tehran.
These included Hezbollah.
There is little doubt that the setback Hezbollah has suffered recently from Israel’s offensive in Lebanon, as well as Israeli strikes on Iranian military commanders in Syria, has played a significant part in the decision by jihadist and rebel groups in Idlib to make their sudden, unexpected move on Aleppo.
In the past few months, Israel has intensified its attacks on Iranian-linked groups as well as their supply lines, inflicting serious damage on the networks that have kept these militias, including Hezbollah, operative in Syria.
Without them, President Assad’s forces have been left exposed.
 
Ndugu zangu wasuni na washia tuache kupigania

Mtume wetu akitusia adui yetu Ni mayahud na makafiri

Tuwaangamize Hawa ili mola wetu akatuzawadie katika zile bikra tamu alizotuahidia 😋
Hao mayahudi na makafiri mtawapata wapi? Endeleeni kuchezea mavi miserable sunnah hamtakaa mpate akili hata siku moja. THE BIG SHOW Ritz
 
Lengo kuu la Magharibi hususan Baba yao Marekani ilikua Assad aondoke na sijui aliwakosea Nini.

Tangu kipindi Cha Obama, Marekani walishasema Assad ataondoka sema imechukua muda na Nguvu nyingi ayo kutokea, Ao waasi ni ufadhili wa Magharibi na ni ufadhiri wa fedha na rasilimali nyingi za walipa Kodi wao.

Wao awajali nani atakaye fuata ili mradi afuate Matakwa Yao ata akiwa mtu muovu kiasi Gani wao hawana shida mradi waliye mkataa asiwepo ana ondoka.

Ni kama walivyo Fanya Libya, maana Libya imezalisha magaidi wa kutosha ila wao hawajali mradi mpango wao ilikua Gaddafi aondoke mengine yatafuata.
Wazungu ni watu hatari sana hasa kwenye uovu, watapanga na kusubiri kwa muda mrefu mpaka wafanikiwe.

Angalia wanavyo Fanya kwenye Mpira, wame utangaza Sana Ushoga mpaka baadhi ya mawazili wa kuu wa kiume wa baadhi ya Nchi wameolewa.
Wameona haitoshi wameamua wautangaze kupitia mchezo maarufu wa Soka.
kwasasa ni lazima Captain wa timu avae kitambaa Cha unahodha chenye rangi za upinde zinazo unga mkono mapenzi ya jinsia Moja na ilo ata uku kwetu linaweza fika ni swala la muda tu.

Yaani Wana unajisi mchezo unao pendwa zaidi Duniani mojakwamoja bila woga.

Kwa Asaad ugomvi ni ilipoanza vita ya Ukraine ambapo Western walitaka
Kupitisha bomba la gas ili wasimtegemee Urusi.. Assad akaamua ku side na Urusi ambaye hakutaka bo
Ba lipite

kosa la assad ni kuwa team putin na team iran
 
Ukisema mamluki wa US na NATO wanafanya vurugu Syria utapungukiwa na nini?
===
Kwenye mada, sijui huu ni mtego ama kweli Damascus ya Assad imeanguka?
 
Sio swala la kula pesa Assad alikuwa na waoinzan ndan ya serikali yake walishamuahama.. sasa hushangai kama kaondolewa halafu waasi watangaze waziri mkuu wa assad awe kiongozi .. hapo Huyo wazir mkuu ni mmoja wao..
Wamemteua huyo ili kuondoa dhana na taswira ambayo wengi wanayo juu yao na zaidi ni katika kuliunganisha taifa na danganya toto nyingine in the oubic eyes, ila kiuhalisia ni mateka😀
Na hiyo serikali mpya inaundwa kwa maelekezo ya turkey, labda na westen.. kina Us.. hao waasi wanaenda kwa maelekezo ndio maana wamesema had watakapokabidhiwa ..
Turkey anaweza kusaidia wale waasi, ila hawezi kuwa a central thing kwenye maamuzi ya aina ya serikali yao
 
Ukisema mamluki wa US na NATO wanafanya vurugu Syria utapungukiwa na nini?
===
Kwenye mada, sijui huu ni mtego ama kweli Damascus ya Assad imeanguka?
Kwamba mamluki wa US na NATO wameyeshinda majeshi ya Syria, Urusi, Iran na Hezbollah??
 
And Syrian will be ruled by a selfish Human being who will be challenged by Asad left overs, the unrest follows!

Difficult world
“Tazama, Dameski haitakuwa tena mji bali itakuwa lundo la magofu."

“See, Damascus will no longer be a city
but will become a heap of ruins”

Isaya 17...
 
Turkey akapiga mkwara urusi akija kulipua raia Dibli atalipua ndege zake..
Russia na Syria hazijaungana ki ardhi!

Ili Russia aingie Syria ni lazima apite Uturuki. Imma apeleke meli zake za kivita au apitishe ndege, ni lazima apite Uturuki.

Mwaka 2015 Uturuki ilikubali kumruhusu Russia kutumia anga yake na ndiyo maana Russia ilifanikiwa pakubwa.

Hivyo Uturuki kumtisha Russia ni haki yake kwa sababu Russia atakatiza kwenye anga ya nchi nyengine bila ruhusa ya nchi yenyewe.
 
Kiuhalisia hili la waasi kufanikiwa kwa haraka haraka hapo Syria hata mimi limenishangaza sana, inaonekana dunia inakwenda kasi sana kwenye mambo mengi na kuna vitu vingi mnoo vinaendelea chini kwa chini hapa duniani na hatuvijui.
Vita ni pesa.. sasa wasaidizi wa bashaar yani iran (hezbollah) na russia wote wapo vitani.. na ni nchi chache sana dunian zenye ubavu wakupigana vita mbili kwa wakati mmoja.. gharama zake sio poa.
 
Lakini cha ajabu ambacho wengi twashangaa ni kwamba HTS ni magaidi kwamba ni generation ya ISIS.

Sasa iweje leo waaminike kufanya kazi waloifanya na je watakubali kuachia uongozi wa kiraia Syria?
Kuna uwezekano mkubwa Syria itawaka moto wa kiitikadi muda sio mrefu.
 
Sidhani. Wakristo wengi wapo Alepo na waasi walipoteka Alepo hawakuua hata mkristo mmoja. Hawa wamekuja kivingine. Ile Ideology ya ISIS wameiondoa.
Ngoja waanze kutawala rasmi watabadilika
 
Back
Top Bottom