Rais Assad aripotiwa kuikimbia Syria, Majeshi ya Waasi yatangaza kuuchukua mji mkuu wa Damascus

Rais Assad aripotiwa kuikimbia Syria, Majeshi ya Waasi yatangaza kuuchukua mji mkuu wa Damascus

Assad is done and dusted!

Ni nderemo na vifijo tu kwenye mitaa ya Damascus.

Familia moja imetawala Syria kwa miaka 54!

These people have no discernment, whatsoever.
Ile ya Uingereza imetawala miaka elf ngapi?
 
Syria imeanguka, Hezbollah imanguka, Hamass imefutika, Iran inachechemea. Israel iko imara!!

Kazi iendelee.
 
Mimi kwa upande wangu naomba Mungu hao waasi waibuke hata katika nchi zingine za waarabu waondolewe viongozi wote wa hizo nchi hawafai.

Watu wanauwawa hapo Palestine jirani yao wenyewe wanaangalia tu. Unafiki ni mbaya sana.

Hao waasi nawaombea wawe viongozi wema na waadilifu.
 
Assad kasema hapo Urussi baridi kali sana na yeye simlevi hivyo kesho mapema anarejea Damascus!😂😂
Atapiga bomu la 🐖🐖🐖🐖🐖🐖🐖🐖🐖🐖🐖🐖🐖🐖🐖🐖🐖🐖🐖🐖🐖 inchi nzima lazma wasepe
 
Ili lilikua lazima litokee, Waliokua Wana msaidia Assad, Hezbollah na Russia kwasasa Wana kibarua kigumu.
Hezbollah Wana kazi Ngumu kule Rebanon ilibidi atoe Askari wake wake kuongeza Nguvu Lebanon.

Russia Kibarua chake kimekua ki gumu na Cha mda mrefu kwaiyo ni Ngumu mtu anaye hitaji Mamruki kutoka Korea, Houth n.k ili apigane vita yake dhidi ya U kreine aje atoe msaada wa kutosha kama mwanzo kwa Assad.

Vita ya Israel na Hezbollah imefanya Siria ianguke kwa uraisi kwakua Msingi wa ulinzi wake (Hezbollah)umegawanywa kwenda kupigana mwingine.
Hizbollah shughuli kwishne chaliiiiii chezea myahudi wewe!!
Israel wali engineer kila kitu hapa pamoja na USA. Hawa waasi walikuwa wanapewa mafunzo na wanajeshi wa UK pia. Lebanon kule Hizbullah wapo hoi hawajaweza kuja wasaidia. Irani imejeruhiwa sana na Israel. Nimesikitika sana.
Umesema kweli,ngoja waje mujahideen humu wakutupie mabomu sasa
Nadhani Assad mwananchi walimchoka na pia Urusi alipoona mabomu yake hayasaidii kuzuia waasi basi akakimbia.
Mbona sima sikia kama Russia kafunga kambi yake ya Latakia? Naomba unifahamishe?
 
Assad kasema hapo Urussi baridi kali sana na yeye simlevi hivyo kesho mapema anarejea Damascus!😂😂
Atapiga bomu la 🐖🐖🐖🐖🐖🐖🐖🐖🐖🐖🐖🐖🐖🐖🐖🐖🐖🐖🐖🐖🐖 inchi nzima lazma wasepe
😂😂 Walisema Russia atapiga carpet bombs hapo maana russia hawataki mchezo mchezo,sasa naona kaenda kuyaomba hayo harudi kupindua meza kibabe
 
Kwa Syria ni ngumu kuna makundi ya waasi ya jamii mbalimbali duniani, wachina, waturkey, warusi, wasaudi yaani magaidi yooote ya kundi la ISIS waliokuwa magerezani duniani waliachiwa wakapelekwa Syria, kilochowashangaza wamagharibi Moscow na Tehran kuruhusu nchi Assad aiachie pasipo mapigano na mauwaji ya kutisha, swali Syria itaelekea wapi na itaweza kudhibitiwa vipi iweze kutawalika, kumbuka wanajeshi wengi wa Syria wamerudi uraiani na wengine wamekimbilia nchi jirani na silaha zao mkononi kusikilizia game linaendeleaje!!!😀
Nasemaje akuna kitu kama icho eti wanajeshi kuingia nchi jilani na siraha zao mikononi.
 
1000051368.jpg

Ni kama vita mpya inaanza soon kama hawatafikia makubaliano hao wa Zambarau Ndio Waliomtoa Assad Damascus hao wa kijani kuelekea Uturuki Ndio HTS na wanaonekana na nguvu ila wanaunga mkono Serikali nyingine ya mpito.

Wa njano walishajitangazia Uhuru, ila Uturuki hataki kusikia Hilo, Israel na

Marekani inasupport hao Wa njano na Zambarau, ila Israel yeye ana support wa njano kwa 100% na yuko tayari kuwapa msaada wa Kijeshi pia hawaamini sana wa Zambarau but anataka kuwa na State ya Wadruze mpakani kwake...

Kule pekundu ni nyumbani kwa Akina Assad na kambi zote za Russia zipi...

Inshort Uasi mpya Syria unaweza kuanzia popote
 
Mimi kwa upande wangu naomba Mungu hao waasi waibuke hata katika nchi zingine za waarabu waondolewe viongozi wote wa hizo nchi hawafai.

Watu wanauwawa hapo Palestine jirani yao wenyewe wanaangalia tu. Unafiki ni mbaya sana.

Hao waasi nawaombea wawe viongozi wema na waadilifu.
Wapalestina walichagua kuwa upande wa Iran, Iran na Hezbollah wameua Watu wengi sana
 
Mby zaidi Assad bado yupo hai na hajachoka umri wala utajiri! Hapo ni kufunika moto kwa majivu, patakuwa pakichangamka km huko Libya na Sudan
Tena akae kwa kutulia akianzisha choochoko atabadilishiwa jina na kuitwa gaidi halafu atapelekewa moto hukohuko uhamishoni. Si unajua hakuna kitasa kinachomshida zayuni kufungua
 
  • Kicheko
Reactions: EEX
Family ya Al Assad imetawala Syria kwa miaka 53

Leo ndio Wananchi wameamka na Kuvunja vunja Sanamu la Al Assad

Wanafamilia wa Assad walala mbele

Sijajua kama huyu Prof Assad wa bongo naye ni mwanafamilia 😂😂😂
 
View attachment 3171972

Ni kama vita mpya inaanza soon kama hawatafikia makubaliano hao wa Zambarau Ndio Waliomtoa Assad Damascus hao wa kijani kuelekea Uturuki Ndio HTS na wanaonekana na nguvu ila wanaunga mkono Serikali nyingine ya mpito.

Wa njano walishajitangazia Uhuru, ila Uturuki hataki kusikia Hilo, Israel na

Marekani inasupport hao Wa njano na Zambarau, ila Israel yeye ana support wa njano kwa 100% na yuko tayari kuwapa msaada wa Kijeshi pia hawaamini sana wa Zambarau but anataka kuwa na State ya Wadruze mpakani kwake...

Kule pekundu ni nyumbani kwa Akina Assad na kambi zote za Russia zipi...

Inshort Uasi mpya Syria unaweza kuanzia popote
Kama ndio hivyo shughuli bado pevu maana hao wa zambarau na kijani wasipo elewana huko mbeleni wanaweza kupigana wenyewe kwa wenyewe
 
Mwisho wake umefika, hana jinsi yoyote ya kumbakisha madarakani.

Ila hii oparesheni ya waasi imenishangaza sana, ndani ya muda mfupi wamechukua nchi!
Achana na hili shetani linaloitwa CIA, lililotengenezwa kuilinda USA nje ya marekani!
Kuna siri ambazo hata rais wa marekani hazijuh kuhusu hilo shetani!
 
Tena akae kwa kutulia akianzisha choochoko atabadilishiwa jina na kuitwa gaidi halafu atapelekewa moto hukohuko uhamishoni. Si unajua hakuna kitasa kinachomshida zayuni kufungua
Hapo kwa Israel kweli shida, kwa iran huko tumbo majoto sasa mwendo wa usingizi mmoja TU😁😁
 
Back
Top Bottom