Sio swala la kula pesa Assad alikuwa na waoinzan ndan ya serikali yake walishamuahama.. sasa hushangai kama kaondolewa halafu waasi watangaze waziri mkuu wa assad awe kiongozi .. hapo Huyo wazir mkuu ni mmoja wao..Kuna viongozi jeshini na serikalini walikula hela za watu,jeshi lilikua halipigani,linarudi tu nyuma,waasi wametangaza serikali itakua chini ya waziri mkuu wa assad mpaka watakapokabidhiwa
Kiuhalisia hili la waasi kufanikiwa kwa haraka haraka hapo Syria hata mimi limenishangaza sana, inaonekana dunia inakwenda kasi sana kwenye mambo mengi na kuna vitu vingi mnoo vinaendelea chini kwa chini hapa duniani na hatuvijui.
Hao mayahudi na makafiri mtawapata wapi? Endeleeni kuchezea mavi miserable sunnah hamtakaa mpate akili hata siku moja. THE BIG SHOW RitzNdugu zangu wasuni na washia tuache kupigania
Mtume wetu akitusia adui yetu Ni mayahud na makafiri
Tuwaangamize Hawa ili mola wetu akatuzawadie katika zile bikra tamu alizotuahidia 😋
Lengo kuu la Magharibi hususan Baba yao Marekani ilikua Assad aondoke na sijui aliwakosea Nini.
Tangu kipindi Cha Obama, Marekani walishasema Assad ataondoka sema imechukua muda na Nguvu nyingi ayo kutokea, Ao waasi ni ufadhili wa Magharibi na ni ufadhiri wa fedha na rasilimali nyingi za walipa Kodi wao.
Wao awajali nani atakaye fuata ili mradi afuate Matakwa Yao ata akiwa mtu muovu kiasi Gani wao hawana shida mradi waliye mkataa asiwepo ana ondoka.
Ni kama walivyo Fanya Libya, maana Libya imezalisha magaidi wa kutosha ila wao hawajali mradi mpango wao ilikua Gaddafi aondoke mengine yatafuata.
Wazungu ni watu hatari sana hasa kwenye uovu, watapanga na kusubiri kwa muda mrefu mpaka wafanikiwe.
Angalia wanavyo Fanya kwenye Mpira, wame utangaza Sana Ushoga mpaka baadhi ya mawazili wa kuu wa kiume wa baadhi ya Nchi wameolewa.
Wameona haitoshi wameamua wautangaze kupitia mchezo maarufu wa Soka.
kwasasa ni lazima Captain wa timu avae kitambaa Cha unahodha chenye rangi za upinde zinazo unga mkono mapenzi ya jinsia Moja na ilo ata uku kwetu linaweza fika ni swala la muda tu.
Yaani Wana unajisi mchezo unao pendwa zaidi Duniani mojakwamoja bila woga.
Na Uingereza ile familia ya kifalme imetawala Karne ngapi?Familia moja imetawala Syria kwa miaka 54!
Wamemteua huyo ili kuondoa dhana na taswira ambayo wengi wanayo juu yao na zaidi ni katika kuliunganisha taifa na danganya toto nyingine in the oubic eyes, ila kiuhalisia ni mateka😀Sio swala la kula pesa Assad alikuwa na waoinzan ndan ya serikali yake walishamuahama.. sasa hushangai kama kaondolewa halafu waasi watangaze waziri mkuu wa assad awe kiongozi .. hapo Huyo wazir mkuu ni mmoja wao..
Turkey anaweza kusaidia wale waasi, ila hawezi kuwa a central thing kwenye maamuzi ya aina ya serikali yaoNa hiyo serikali mpya inaundwa kwa maelekezo ya turkey, labda na westen.. kina Us.. hao waasi wanaenda kwa maelekezo ndio maana wamesema had watakapokabidhiwa ..
Kwamba mamluki wa US na NATO wameyeshinda majeshi ya Syria, Urusi, Iran na Hezbollah??Ukisema mamluki wa US na NATO wanafanya vurugu Syria utapungukiwa na nini?
===
Kwenye mada, sijui huu ni mtego ama kweli Damascus ya Assad imeanguka?
“Tazama, Dameski haitakuwa tena mji bali itakuwa lundo la magofu."And Syrian will be ruled by a selfish Human being who will be challenged by Asad left overs, the unrest follows!
Difficult world
Russia na Syria hazijaungana ki ardhi!Turkey akapiga mkwara urusi akija kulipua raia Dibli atalipua ndege zake..
Vita ni pesa.. sasa wasaidizi wa bashaar yani iran (hezbollah) na russia wote wapo vitani.. na ni nchi chache sana dunian zenye ubavu wakupigana vita mbili kwa wakati mmoja.. gharama zake sio poa.Kiuhalisia hili la waasi kufanikiwa kwa haraka haraka hapo Syria hata mimi limenishangaza sana, inaonekana dunia inakwenda kasi sana kwenye mambo mengi na kuna vitu vingi mnoo vinaendelea chini kwa chini hapa duniani na hatuvijui.
Kuna uwezekano mkubwa Syria itawaka moto wa kiitikadi muda sio mrefu.Lakini cha ajabu ambacho wengi twashangaa ni kwamba HTS ni magaidi kwamba ni generation ya ISIS.
Sasa iweje leo waaminike kufanya kazi waloifanya na je watakubali kuachia uongozi wa kiraia Syria?
Sasa Russia atapita anga lipi ili kwenda Syria kulipua.Turkey akapiga mkwara urusi akija kulipua raia Dibli atalipua ndege zake.
Ngoja waanze kutawala rasmi watabadilikaSidhani. Wakristo wengi wapo Alepo na waasi walipoteka Alepo hawakuua hata mkristo mmoja. Hawa wamekuja kivingine. Ile Ideology ya ISIS wameiondoa.
Huyu Mufti huyu atakuwà muislam huyu, siyo boko Haram.Wasishambulie watu dini tofauti na wao., [emoji120] Mufti Mwenyezi Mungu awe pamoja nawe
Hahahah!! Kweli kabisa ila nae asubilie kwa miaka 53 years. Kurejelea. Kama walivyo subilia wao.Waasi wakishika serekali, nae Assad ataunda kundi lake la waasi kujaribu kupindua serekali itakayokuwa madarakani!
Kuimba ni kupokezana 😂
Tena wanatumia mpaka alphardMwisho wake umefika, hana jinsi yoyote ya kumbakisha madarakani.
Ila hii oparesheni ya waasi imenishangaza sana, ndani ya muda mfupi wamechukua nchi!