Alexandry Nemesi
JF-Expert Member
- Jun 7, 2014
- 1,507
- 589
Ni Mwendo Wa Zubaa UmalizweKiuhalisia hili la waasi kufanikiwa kwa haraka haraka hapo Syria hata mimi limenishangaza sana, inaonekana dunia inakwenda kasi sana kwenye mambo mengi na kuna vitu vingi mnoo vinaendelea chini kwa chini hapa duniani na hatuvijui.
Source…..
Asante Israel kwa kuwezesha gaidi hili kukimbia nchi.Mwisho wake umefika, hana jinsi yoyote ya kumbakisha madarakani.
Ila hii oparesheni ya waasi imenishangaza sana, ndani ya muda mfupi wamechukua nchi!
Alitakiwa kuondoka wakati wa Arab Spring, ila alitumia Jeshi kuzima maandamano ya raia, sasa leo kiko wapi?Kwa kosa lipi? Mbona unaongea pumba sana
Ujumbe umfikie kiduku wa korea k.Assad is done and dusted!
Ni nderemo na vifijo tu kwenye mitaa ya Damascus.
Familia moja imetawala Syria kwa miaka 54!
These people have no discernment, whatsoever.
Ni hivi, hao wanajeshi wa jeshi la Syria wamechoka na vita.Kiuhalisia hili la waasi kufanikiwa kwa haraka haraka hapo Syria hata mimi limenishangaza sana, inaonekana dunia inakwenda kasi sana kwenye mambo mengi na kuna vitu vingi mnoo vinaendelea chini kwa chini hapa duniani na hatuvijui.
Jeshi lilokuwapo ni kama halikuwepo baada ya msaada wa Russia 2015 jeshi liliishachoka na vita.Ni sahihi. Inaonekana walijipanga na inawezekana kuna uasi ndani ya jeshi la assard. Haiwezekani jeshi la serikali liwe dhaifu hivyo.
Akaishi uhamishoniWamempa safe route nje ya Syria ili wasimSaddam Hussein au kumMuammar Gaddaffi.
Ili lilikua lazima litokee, Waliokua Wana msaidia Assad, Hezbollah na Russia kwasasa Wana kibarua kigumu.Kiuhalisia hili la waasi kufanikiwa kwa haraka haraka hapo Syria hata mimi limenishangaza sana, inaonekana dunia inakwenda kasi sana kwenye mambo mengi na kuna vitu vingi mnoo vinaendelea chini kwa chini hapa duniani na hatuvijui.