Alexandry Nemesi
JF-Expert Member
- Jun 7, 2014
- 1,507
- 589
Ni Mwendo Wa Zubaa UmalizweKiuhalisia hili la waasi kufanikiwa kwa haraka haraka hapo Syria hata mimi limenishangaza sana, inaonekana dunia inakwenda kasi sana kwenye mambo mengi na kuna vitu vingi mnoo vinaendelea chini kwa chini hapa duniani na hatuvijui.