Rais Assad aripotiwa kuikimbia Syria, Majeshi ya Waasi yatangaza kuuchukua mji mkuu wa Damascus

Rais Assad aripotiwa kuikimbia Syria, Majeshi ya Waasi yatangaza kuuchukua mji mkuu wa Damascus

Mungu ameamua kuwapa wa Israel sabato ya kupumzika na vita,waarabu wataendelea kuchapana wakati muyahudi anaendelea kula kuku kwa Mrija kujaza makorongo alioyapata kutoka kwa Hama's na Hezbollah, watakapochoka kuchapana muyahudi atakuwa ameshajipanga tena,kuendelea na vita,maana vita vya waarabu na muyahudi hakuna kulala mpaka Yesu anarudi.
 
Kiuhalisia hili la waasi kufanikiwa kwa haraka haraka hapo Syria hata mimi limenishangaza sana, inaonekana dunia inakwenda kasi sana kwenye mambo mengi na kuna vitu vingi mnoo vinaendelea chini kwa chini hapa duniani na hatuvijui.
Ni hivi, hao wanajeshi wa jeshi la Syria wamechoka na vita.

Miaka 13 ya vita isiyoeleweka ni mingi sana.

Kupigana vita si kuwa na jeshi na vifaa tu.

Morali ya kupigana nayo ni ‘essential’ piece of the puzzle.

Familia moja imetawala nchi kwa miaka 54. Imejitajirisha beyond belief.

Wanajeshi hawalipwi ujira wa maana.

Sasa waendelee kupigana vita na waasi kwa manufaa ya nani? Kumbakisha Assad madarakani?

Hao wanajeshi nao ni raia wa Syria. Ugumu wa maisha uliopo unawagusa na wao pia ilhali Assad na familia wanaishi kama wako peponi.

Inafikia muda hao wanajeshi nao akili zinawarudia na wanaona hakuna umuhimu wa kuyaweka maisha yao hatarini kulipigania lifisadi.

I hope CCM is taking note…..
 
Kiuhalisia hili la waasi kufanikiwa kwa haraka haraka hapo Syria hata mimi limenishangaza sana, inaonekana dunia inakwenda kasi sana kwenye mambo mengi na kuna vitu vingi mnoo vinaendelea chini kwa chini hapa duniani na hatuvijui.
Ili lilikua lazima litokee, Waliokua Wana msaidia Assad, Hezbollah na Russia kwasasa Wana kibarua kigumu.
Hezbollah Wana kazi Ngumu kule Rebanon ilibidi atoe Askari wake wake kuongeza Nguvu Lebanon.

Russia Kibarua chake kimekua ki gumu na Cha mda mrefu kwaiyo ni Ngumu mtu anaye hitaji Mamruki kutoka Korea, Houth n.k ili apigane vita yake dhidi ya U kreine aje atoe msaada wa kutosha kama mwanzo kwa Assad.

Vita ya Israel na Hezbollah imefanya Siria ianguke kwa uraisi kwakua Msingi wa ulinzi wake (Hezbollah)umegawanywa kwenda kupigana mwingine.
 
Back
Top Bottom