Rais Assad aripotiwa kuikimbia Syria, Majeshi ya Waasi yatangaza kuuchukua mji mkuu wa Damascus

Rais Assad aripotiwa kuikimbia Syria, Majeshi ya Waasi yatangaza kuuchukua mji mkuu wa Damascus

Wapiganaji wa Kiislamu wameingia Damascus ambapo hawakumbana na kipingamizi chochote. Askari wote wa Serikali wameshatoroka zamani.
Rebels wanasema wamemtafuta Rais Assad kila pahali Damascus lakini hayupo.
Meanwhile,Mufti anawaambia rebels wasishambulie watu wa dini tofauti na wao.
Haya ni mapigano ya siku baada ya mapigano kuduaa kwa miaka minne.
Kama hapa Tanzania ambapo watu wote tumepoteana katikaatukio ya wiki mbili zilizopita.
 
Waasi wakishika serekali, nae Assad ataunda kundi lake la waasi kujaribu kupindua serekali itakayokuwa madarakani!
Kuimba ni kupokezana 😂
Hiyo ni ndoto tu Assad ndio kwaheri hivyo na atabaki tu kwenye vitabu vya historia kwamba aliwahi kuwa mtawala wa kibabe wa taifa la Syria.

It will be Precious Memories 😍 😍
 
Lakini cha ajabu ambacho wengi twashangaa ni kwamba HTS ni magaidi kwamba ni generation ya ISIS.

Sasa iweje leo waaminike kufanya kazi waloifanya na je watakubali kuachia uongozi wa kiraia Syria?
Lengo kuu la Magharibi hususan Baba yao Marekani ilikua Assad aondoke na sijui aliwakosea Nini.

Tangu kipindi Cha Obama, Marekani walishasema Assad ataondoka sema imechukua muda na Nguvu nyingi ayo kutokea, Ao waasi ni ufadhili wa Magharibi na ni ufadhiri wa fedha na rasilimali nyingi za walipa Kodi wao.

Wao awajali nani atakaye fuata ili mradi afuate Matakwa Yao ata akiwa mtu muovu kiasi Gani wao hawana shida mradi waliye mkataa asiwepo ana ondoka.

Ni kama walivyo Fanya Libya, maana Libya imezalisha magaidi wa kutosha ila wao hawajali mradi mpango wao ilikua Gaddafi aondoke mengine yatafuata.
Wazungu ni watu hatari sana hasa kwenye uovu, watapanga na kusubiri kwa muda mrefu mpaka wafanikiwe.

Angalia wanavyo Fanya kwenye Mpira, wame utangaza Sana Ushoga mpaka baadhi ya mawazili wa kuu wa kiume wa baadhi ya Nchi wameolewa.
Wameona haitoshi wameamua wautangaze kupitia mchezo maarufu wa Soka.
kwasasa ni lazima Captain wa timu avae kitambaa Cha unahodha chenye rangi za upinde zinazo unga mkono mapenzi ya jinsia Moja na ilo ata uku kwetu linaweza fika ni swala la muda tu.

Yaani Wana unajisi mchezo unao pendwa zaidi Duniani mojakwamoja bila woga.
 
Mapigano ndani ya Damascus kwa sasa!!!

Rebel forces have declared Syria "free", saying the "tyrant" President Bashar al-Assad has left.

It is the end of a dark era and the beginning of a new one, HTS says on Telegram.

People who were displaced or were imprisoned by the Assad regime's half-century reign can now come home, the rebels say.

It will be a "new Syria" where "everyone lives in peace and justice prevails", HTS says

BBC
Naona mmeukomalia huu uzi ili kudumaza nyuzi zinazozungumzia jinsi utopolo walivyokeketwa vikali na waarabu.

Wapi ngara23.
 
Mapigano ndani ya Damascus kwa sasa!!!

Rebel forces have declared Syria "free", saying the "tyrant" President Bashar al-Assad has left.

It is the end of a dark era and the beginning of a new one, HTS says on Telegram.

People who were displaced or were imprisoned by the Assad regime's half-century reign can now come home, the rebels say.

It will be a "new Syria" where "everyone lives in peace and justice prevails", HTS says

BBC
Kila.mpenda haki lazima afurahie kila mwisho wa clashes unapofikia. Iwe kwa makubaliano ama kwa ushindi bali vita ifikie ukomo.

Tunaombea DRC, Nigeria, Msumbiji, Ukraine, Gaza, Beirut na kwingineko kwenye vita vifikie ukomo
 
Wapiganaji wa Kiislamu wameingia Damascus ambapo hawakumbana na kipingamizi chochote. Askari wote wa Serikali wameshatoroka zamani.
Rebels wanasema wamemtafuta Rais Assad kila pahali Damascus lakini hayupo.
Meanwhile,Mufti anawaambia rebels wasishambulie watu wa dini tofauti na wao.
Haya ni mapigano ya siku baada ya mapigano kuduaa kwa miaka minne.
Kama hapa Tanzania ambapo watu wote tumepoteana katikaatukio ya wiki mbili zilizopita.
Duh hatari Iran na Russia wamepoteza sana mshiriki wao katika eneo la mashariki ya kati.
 
Wapiganaji wa Kiislamu wameingia Damascus ambapo hawakumbana na kipingamizi chochote. Askari wote wa Serikali wameshatoroka zamani.
Rebels wanasema wamemtafuta Rais Assad kila pahali Damascus lakini hayupo.
Meanwhile,Mufti anawaambia rebels wasishambulie watu wa dini tofauti na wao.
Haya ni mapigano ya siku baada ya mapigano kuduaa kwa miaka minne.
Kama hapa Tanzania ambapo watu wote tumepoteana katikaatukio ya wiki mbili zilizopita.
Duh hatari
 
Kila chenye Mwanzo kina mwisho,Russia walishamchoka hana jipya.

Mwisho zama za Kuuana kama huko Libya,Iraq nk zimeanza rasmi hapo Syria.
Russia hajamchoka Assad, ila RUSSIA yuko hoi
Huyu ni mshirika wa pili wa RUSSIA kudondoka, wa kwanza ni Armenia (Armenia and Azerbaijan in Nagorno-Karabakh war)
 
Sababu kuu za Iran kumsaidia Assad

1. Utawala wa Baba yake Bashar Assad, Uliisaidia Iran dhidi ya uvamizi wa Saddam Hussein miaka ya 1980's

2. Bashar amekuwa ni nguzo muhimu ya kupitishs Silaha kwenda kwa Hizbollah na HAMAS ili kuwasaidia kupambana kujikomboa kutoka ktk uonevu wa Israel.

3. Kuna Ishu za Usunni na Ushia, ambapo Bashar ni shia
 
ASSAD kaanguswa na askari wake ndio mn kashindwa kusaidiwa. Lkn Waas naona wanapeperusha Bendera ya PELASTINE
 
Russia hajamchoka Assad, ila RUSSIA yuko hoi
Huyu ni mshirika wa pili wa RUSSIA kudondoka, wa kwanza ni Armenia (Armenia and Azerbaijan in Nagorno-Karabakh war)
Russia mashariki ya kati hana interest za maana na tokea ujio wa Trump ulipoanza kukaribia ni kama alishaanza kua upande wa myahudi
 
ASSAD kaanguswa na askari wake ndio mn kashindwa kusaidiwa. Lkn Waas naona wanapeperusha Bendera ya PELASTINE
Changa la macho tu hilo huyo ni myahudi na mmarekani kazini
 
Back
Top Bottom