Lengo kuu la Magharibi hususan Baba yao Marekani ilikua Assad aondoke na sijui aliwakosea Nini.
Tangu kipindi Cha Obama, Marekani walishasema Assad ataondoka sema imechukua muda na Nguvu nyingi ayo kutokea, Ao waasi ni ufadhili wa Magharibi na ni ufadhiri wa fedha na rasilimali nyingi za walipa Kodi wao.
Wao awajali nani atakaye fuata ili mradi afuate Matakwa Yao ata akiwa mtu muovu kiasi Gani wao hawana shida mradi waliye mkataa asiwepo ana ondoka.
Ni kama walivyo Fanya Libya, maana Libya imezalisha magaidi wa kutosha ila wao hawajali mradi mpango wao ilikua Gaddafi aondoke mengine yatafuata.
Wazungu ni watu hatari sana hasa kwenye uovu, watapanga na kusubiri kwa muda mrefu mpaka wafanikiwe.
Angalia wanavyo Fanya kwenye Mpira, wame utangaza Sana Ushoga mpaka baadhi ya mawazili wa kuu wa kiume wa baadhi ya Nchi wameolewa.
Wameona haitoshi wameamua wautangaze kupitia mchezo maarufu wa Soka.
kwasasa ni lazima Captain wa timu avae kitambaa Cha unahodha chenye rangi za upinde zinazo unga mkono mapenzi ya jinsia Moja na ilo ata uku kwetu linaweza fika ni swala la muda tu.
Yaani Wana unajisi mchezo unao pendwa zaidi Duniani mojakwamoja bila woga.