Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,095
- 4,632
Hiyo ni ndoto tu Assad ndio kwaheri hivyo na atabaki tu kwenye vitabu vya historia kwamba aliwahi kuwa mtawala wa kibabe wa taifa la Syria.Waasi wakishika serekali, nae Assad ataunda kundi lake la waasi kujaribu kupindua serekali itakayokuwa madarakani!
Kuimba ni kupokezana 😂
Lengo kuu la Magharibi hususan Baba yao Marekani ilikua Assad aondoke na sijui aliwakosea Nini.Lakini cha ajabu ambacho wengi twashangaa ni kwamba HTS ni magaidi kwamba ni generation ya ISIS.
Sasa iweje leo waaminike kufanya kazi waloifanya na je watakubali kuachia uongozi wa kiraia Syria?
Naona mmeukomalia huu uzi ili kudumaza nyuzi zinazozungumzia jinsi utopolo walivyokeketwa vikali na waarabu.Mapigano ndani ya Damascus kwa sasa!!!
Rebel forces have declared Syria "free", saying the "tyrant" President Bashar al-Assad has left.
It is the end of a dark era and the beginning of a new one, HTS says on Telegram.
People who were displaced or were imprisoned by the Assad regime's half-century reign can now come home, the rebels say.
It will be a "new Syria" where "everyone lives in peace and justice prevails", HTS says
BBC
Kila.mpenda haki lazima afurahie kila mwisho wa clashes unapofikia. Iwe kwa makubaliano ama kwa ushindi bali vita ifikie ukomo.Mapigano ndani ya Damascus kwa sasa!!!
Rebel forces have declared Syria "free", saying the "tyrant" President Bashar al-Assad has left.
It is the end of a dark era and the beginning of a new one, HTS says on Telegram.
People who were displaced or were imprisoned by the Assad regime's half-century reign can now come home, the rebels say.
It will be a "new Syria" where "everyone lives in peace and justice prevails", HTS says
BBC
Duh hatari Iran na Russia wamepoteza sana mshiriki wao katika eneo la mashariki ya kati.Wapiganaji wa Kiislamu wameingia Damascus ambapo hawakumbana na kipingamizi chochote. Askari wote wa Serikali wameshatoroka zamani.
Rebels wanasema wamemtafuta Rais Assad kila pahali Damascus lakini hayupo.
Meanwhile,Mufti anawaambia rebels wasishambulie watu wa dini tofauti na wao.
Haya ni mapigano ya siku baada ya mapigano kuduaa kwa miaka minne.
Kama hapa Tanzania ambapo watu wote tumepoteana katikaatukio ya wiki mbili zilizopita.
Na ndipo walipokuwa wanaelekea.Wangeweka kikatiba kwamba Syria itatawaliwa na familia ya Assad milele.
Duh hatariWapiganaji wa Kiislamu wameingia Damascus ambapo hawakumbana na kipingamizi chochote. Askari wote wa Serikali wameshatoroka zamani.
Rebels wanasema wamemtafuta Rais Assad kila pahali Damascus lakini hayupo.
Meanwhile,Mufti anawaambia rebels wasishambulie watu wa dini tofauti na wao.
Haya ni mapigano ya siku baada ya mapigano kuduaa kwa miaka minne.
Kama hapa Tanzania ambapo watu wote tumepoteana katikaatukio ya wiki mbili zilizopita.
Russia hajamchoka Assad, ila RUSSIA yuko hoiKila chenye Mwanzo kina mwisho,Russia walishamchoka hana jipya.
Mwisho zama za Kuuana kama huko Libya,Iraq nk zimeanza rasmi hapo Syria.
Ilikuwa suala la muda tu! Urusi haina uwezo wa kupigana vita mbili!Duh hatari Iran na Russia wamepoteza sana mshiriki wao katika eneo la mashariki ya kati.
Hapa aliemponza ni Iran........mrusi yupo na myahudi japo anazuga tu ili marafiki zake wasishtukeAMEENDA WAPI RAFIKI YAKE KIPENZI RUSSIA......AMEENDA WAPI RAFIKI YAKE KIPENZI IRAN....
Russia mashariki ya kati hana interest za maana na tokea ujio wa Trump ulipoanza kukaribia ni kama alishaanza kua upande wa myahudiRussia hajamchoka Assad, ila RUSSIA yuko hoi
Huyu ni mshirika wa pili wa RUSSIA kudondoka, wa kwanza ni Armenia (Armenia and Azerbaijan in Nagorno-Karabakh war)
Changa la macho tu hilo huyo ni myahudi na mmarekani kaziniASSAD kaanguswa na askari wake ndio mn kashindwa kusaidiwa. Lkn Waas naona wanapeperusha Bendera ya PELASTINE