econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Hakuna Cha maana inakwenda kuwa kama Libya tu.kila mtu atataka kuongoza
Bora iwe kama Libya kuliko familia moja kutawala miaka 54
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna Cha maana inakwenda kuwa kama Libya tu.kila mtu atataka kuongoza
Huyo alitakiwa kudakwa na kisha kunyongwa.
BREAKING: The Assad regime has collapsed
Israel wali engineer kila kitu hapa pamoja na USA. Hawa waasi walikuwa wanapewa mafunzo na wanajeshi wa UK pia. Lebanon kule Hizbullah wapo hoi hawajaweza kuja wasaidia. Irani imejeruhiwa sana na Israel. Nimesikitika sana.Mwisho wake umefika, hana jinsi yoyote ya kumbakisha madarakani.
Ila hii oparesheni ya waasi imenishangaza sana, ndani ya muda mfupi wamechukua nchi!
Lakini cha ajabu ambacho wengi twashangaa ni kwamba HTS ni magaidi kwamba ni generation ya ISIS.Ila haya mambo huwa kama yana laana flani hivi.
Sasa hivi watu wanasherehekea lakini baadaye wataishia kufarakana na kuanza kutwangana tena kugombea madaraka.
Kiuhalisia hili la waasi kufanikiwa kwa haraka haraka hapo Syria hata mimi limenishangaza sana, inaonekana dunia inakwenda kasi sana kwenye mambo mengi na kuna vitu vingi mnoo vinaendelea chini kwa chini hapa duniani na hatuvijui.
Israel wali engineer kila kitu hapa pamoja na USA. Hawa waasi walikuwa wanapewa mafunzo na wanajeshi wa UK pia. Lebanon kule Hizbullah wapo hoi hawajaweza kuja wasaidia. Irani imejeruhiwa sana na Israel. Nimesikitika sana.Kiuhalisia hili la waasi kufanikiwa kwa haraka haraka hapo Syria hata mimi limenishangaza sana, inaonekana dunia inakwenda kasi sana kwenye mambo mengi na kuna vitu vingi mnoo vinaendelea chini kwa chini hapa duniani na hatuvijui.
Israel wali engineer kila kitu hapa pamoja na USA. Hawa waasi walikuwa wanapewa mafunzo na wanajeshi wa UK pia. Lebanon kule Hizbullah wapo hoi hawajaweza kuja wasaidia. Irani imejeruhiwa sana na Israel. Nimesikitika sana.Ni sahihi. Inaonekana walijipanga na inawezekana kuna uasi ndani ya jeshi la assard. Haiwezekani jeshi la serikali liwe dhaifu hivyo.
Lakini cha ajabu ambacho wengi twashangaa ni kwamba HTS ni magaidi kwamba ni generation ya ISIS.
Sasa iweje leo waaminike kufanya kazi waloifanya na je watakubali kuachia uongozi wa kiraia Syria?
NATO+US wapo nyuma yao kwakua Assad anaukaribu na Russia ndio maana wamemtoa kwakua Russia yupo na upinzani mkubwa toka US+EUMwisho wake umefika, hana jinsi yoyote ya kumbakisha madarakani.
Ila hii oparesheni ya waasi imenishangaza sana, ndani ya muda mfupi wamechukua nchi!
Nchi kubwa kama Syria inatekwa ndan ya wiki mbili
Walijipanga vilivyo Yaani walikuwa na plan A, B na CMwisho wake umefika, hana jinsi yoyote ya kumbakisha madarakani.
Ila hii oparesheni ya waasi imenishangaza sana, ndani ya muda mfupi wamechukua nchi!
Israel wali engineer kila kitu hapa pamoja na USA. Hawa waasi walikuwa wanapewa mafunzo na wanajeshi wa UK pia. Lebanon kule Hizbullah wapo hoi hawajaweza kuja wasaidia. Irani imejeruhiwa sana na Israel. Nimesikitika sana.
NATO+US wapo nyuma yao kwakua Assad anaukaribu na Russia ndio maana wamemtoa kwakua Russia yupo na upinzani mkubwa toka US+EU
But hata sisi ni yaleyale tu - Chama kimoja miaka zaidi ya 60 na familia moja miaka 54 kuna tofauti..tena ukiangalia na viinua mgongo na allowances zilizopitishwa kwa wastaafu na wenza wao..Kuna utofauti??Assad is done and dusted!
Ni nderemo na vifijo tu kwenye mitaa ya Damascus.
Familia moja imetawala Syria kwa miaka 54!
These people have no discernment, whatsoever.
Bado CCM na wafuasi wake kukimbia madaraka