Rais Assad aripotiwa kuikimbia Syria, Majeshi ya Waasi yatangaza kuuchukua mji mkuu wa Damascus

Mwisho wake umefika, hana jinsi yoyote ya kumbakisha madarakani.

Ila hii oparesheni ya waasi imenishangaza sana, ndani ya muda mfupi wamechukua nchi!
Israel wali engineer kila kitu hapa pamoja na USA. Hawa waasi walikuwa wanapewa mafunzo na wanajeshi wa UK pia. Lebanon kule Hizbullah wapo hoi hawajaweza kuja wasaidia. Irani imejeruhiwa sana na Israel. Nimesikitika sana.
 
Ila haya mambo huwa kama yana laana flani hivi.

Sasa hivi watu wanasherehekea lakini baadaye wataishia kufarakana na kuanza kutwangana tena kugombea madaraka.
Lakini cha ajabu ambacho wengi twashangaa ni kwamba HTS ni magaidi kwamba ni generation ya ISIS.

Sasa iweje leo waaminike kufanya kazi waloifanya na je watakubali kuachia uongozi wa kiraia Syria?
 
Kiuhalisia hili la waasi kufanikiwa kwa haraka haraka hapo Syria hata mimi limenishangaza sana, inaonekana dunia inakwenda kasi sana kwenye mambo mengi na kuna vitu vingi mnoo vinaendelea chini kwa chini hapa duniani na hatuvijui.
Israel wali engineer kila kitu hapa pamoja na USA. Hawa waasi walikuwa wanapewa mafunzo na wanajeshi wa UK pia. Lebanon kule Hizbullah wapo hoi hawajaweza kuja wasaidia. Irani imejeruhiwa sana na Israel. Nimesikitika sana.
 
Ni sahihi. Inaonekana walijipanga na inawezekana kuna uasi ndani ya jeshi la assard. Haiwezekani jeshi la serikali liwe dhaifu hivyo.
Israel wali engineer kila kitu hapa pamoja na USA. Hawa waasi walikuwa wanapewa mafunzo na wanajeshi wa UK pia. Lebanon kule Hizbullah wapo hoi hawajaweza kuja wasaidia. Irani imejeruhiwa sana na Israel. Nimesikitika sana.
 
Lakini cha ajabu ambacho wengi twashangaa ni kwamba HTS ni magaidi kwamba ni generation ya ISIS.

Sasa iweje leo waaminike kufanya kazi waloifanya na je watakubali kuachia uongozi wa kiraia Syria?

Naona kwa Sasa wamekuja kivingine. Wameahidi amani na Usalama. Na hata walipoteka miji hawakuua watu.
 
Mwisho wake umefika, hana jinsi yoyote ya kumbakisha madarakani.

Ila hii oparesheni ya waasi imenishangaza sana, ndani ya muda mfupi wamechukua nchi!
NATO+US wapo nyuma yao kwakua Assad anaukaribu na Russia ndio maana wamemtoa kwakua Russia yupo na upinzani mkubwa toka US+EU
 
Nadhani Assad mwananchi walimchoka na pia Urusi alipoona mabomu yake hayasaidii kuzuia waasi basi akakimbia.
 
Assad is done and dusted!

Ni nderemo na vifijo tu kwenye mitaa ya Damascus.

Familia moja imetawala Syria kwa miaka 54!

These people have no discernment, whatsoever.
But hata sisi ni yaleyale tu - Chama kimoja miaka zaidi ya 60 na familia moja miaka 54 kuna tofauti..tena ukiangalia na viinua mgongo na allowances zilizopitishwa kwa wastaafu na wenza wao..Kuna utofauti??
 
Back
Top Bottom