Rais Assad aripotiwa kuikimbia Syria, Majeshi ya Waasi yatangaza kuuchukua mji mkuu wa Damascus

Lakini cha ajabu ambacho wengi twashangaa ni kwamba HTS ni magaidi kwamba ni generation ya ISIS.

Sasa iweje leo waaminike kufanya kazi waloifanya na je watakubali kuachia uongozi wa kiraia Syria?
HTS wanaitwa 'magaidi' na nchi za magharibi ila ndio kundi lenye nguvu kati ya makundi yote yenye silaha (ukitoa Wakurdi wanaosaidiwa na Marekani), tuone namna watakavyoaminika mbeleni.

Ila huenda Syria ikaishia kuwa kama Libya tu pale waasi waliotofautiana itikadi za kiimani na kisiasa watakaposhindwa kufikia muafaka.
 
Allah ajaalie huu uwe mwanzo wa utulivu, amani na ustawi kwa watu wa Syria na awaepushe na fitna na mabalaa.

Allah awaunganishe Waislam wa Syria katika kuifuata Qur'aan na Sunnah juu ya ufahamu wa wema waliotangulia.

Aamiin
 
Wapiganaji wa Kiislamu wameingia Damascus ambapo hawakumbana na kipingamizi chochote. Askari wote wa Serikali wameshatoroka zamani.
Rebels wanasema wamemtafuta Rais Assad kila pahali Damascus lakini hayupo.
Meanwhile,Mufti anawaambia rebels wasishambulie watu wa dini tofauti na wao.
Haya ni mapigano ya siku baada ya mapigano kuduaa kwa miaka minne.
Kama hapa Tanzania ambapo watu wote tumepoteana katikaatukio ya wiki mbili zilizopita.
Huyo Assad nilikuwa namhesabia mwisho mbaya tangu zamani na imekuwa hivyo sasa na lazima utasikia makubwa zaidi ya kutoroka.
 
Safi sana, Kinga kutoka Russia na Iran imeisha sasa kakimbia. Hana pa kwenda zaidi ya Iran.

Iko siku tutakuwa tuna soma habari kama hizi, CHADEMA wamechukua mkoa na CCM hawajulikani waliko.

Kumbe dhulma ina mwisho?
 
Wapiganaji wa Kiislamu wameingia Damascus ambapo hawakumbana na kipingamizi chochote. Askari wote wa Serikali wameshatoroka zamani.
Rebels wanasema wamemtafuta Rais Assad kila pahali Damascus lakini hayupo.
Meanwhile,Mufti anawaambia rebels wasishambulie watu wa dini tofauti na wao.
Haya ni mapigano ya siku baada ya mapigano kuduaa kwa miaka minne.
Kama hapa Tanzania ambapo watu wote tumepoteana katikaatukio ya wiki mbili zilizopita.
Ni USA,,Israel, Turkey wamechukua nchi kutoka Iran, Russia.

Upinzani, dini, vikundi vyote vinatumika ha hizo nchi kwa maslahi yao.
 
Wapiganaji wa Kiislamu wameingia Damascus ambapo hawakumbana na kipingamizi chochote. Askari wote wa Serikali wameshatoroka zamani.
Rebels wanasema wamemtafuta Rais Assad kila pahali Damascus lakini hayupo.
Meanwhile,Mufti anawaambia rebels wasishambulie watu wa dini tofauti na wao.
Haya ni mapigano ya siku baada ya mapigano kuduaa kwa miaka minne.
Kama hapa Tanzania ambapo watu wote tumepoteana katikaatukio ya wiki mbili zilizopita.
Waje na huku watusaidie
 
Back
Top Bottom