Rais Assad aripotiwa kuikimbia Syria, Majeshi ya Waasi yatangaza kuuchukua mji mkuu wa Damascus

Rais Assad aripotiwa kuikimbia Syria, Majeshi ya Waasi yatangaza kuuchukua mji mkuu wa Damascus

Israel imeamua kuhakikisha Haya makundi yote yanapigana na Silaha za kawaida hakuna mtu kumzidi mwenzake mbali
 
Wakuu za muda huu katika pita pita mtandaon nikaona niwaaogezee picha za huyu bwana aliepinduliwa, ushaur tu ukiwa unakula vizuri ule na wenzio...
_20241208_191909.JPG
 
Nikiwa kama Mkristo, sina hakika kama nifurahie au niwe na hofu kwa sababu nimegundua kitu kimoja! Hawa Madikteta wanaomwamini Allah kule Mashariki ya Kati angalau huwa wanajali kwa kiasi fulani uwepo wa watu wa imani nyingine. Tuliona Marekani walipomwondoa Sadam Hussein ambacho kilifuata ni Kilio kwa Wakristo kwa sababu waliokuja baada ya Sadam walikuwa Mujaheeden. Jambo kama hilo likatokea tena kule Libya kwa sababu baada ya kuondolewa Gaddaf, kilichofuata sio tu kilio cha Weusi wenzetu bali hata cha Wakristo! Hawa wa Syria na wenyewe ni Mujaheedin tu hata kama watawapaka vipi mafuta kisa tu wamemuondoa wasiyemtaka! Nina mashaka hili nalo linaweza kuwa pigo kwetu waeneza neno!
 
Assad watamkumbuka sana, kumbuka Assad hajatolewa na Wasiria ila ameondolewa na waasi wanaoungwa mkono na Marekani, Israel na Uturuki
Kinacho fatia sasahivi ni syria kuwa kama libya, Iraq na mataifa mengine ya kiarabu,. Na pengine hata huyu mrusi yawezekana alikua ni mnafiki tu hawa wazungu toka lini wakawa na upendo na waarabu?
 
Back
Top Bottom